FUMANIZI: Mke amfumania mume (doctor) akimlaza mchepuko kama mgonjwa

FUMANIZI: Mke amfumania mume (doctor) akimlaza mchepuko kama mgonjwa

Siku akimpata me aliye muingia moyoni ndani kabisa. Akaolewa nae afu kikampata hicho ataelewa.
Kwa kawaida ukiona huna wivu na mwenzio ujue kabisa haumpendi kabisa. Na hata ukimwona mwenzio hana hata wivu ujue kuwa hakupendi.
Kama Mrs Thabo Bester si mmesoma comment zake hapa.
Huyo bibie nilisoma comment yake kwenye uzi mmoja kuwa alizaa nje ya ndoa, japo mume wake alimsamehe .



Kumbe Ndiyo maana wengi wamejaa mapema ku pretend wivu kumbe ni ujinga mtupu [emoji108]

Inahitajika elimu ya psycholojia ya mahusiano ya mapenzi
 
Wana akili sasa ovyo ty...yupo mmoja kakubali kua kipoozeo kwa mme wa mty ili mradi ty awe anakula vzr, simu kali, anavaa vzr na kudangwanywa ntakutoa mke wa pili now unaend mwaka 3 amna ndoa
Kwanini asikatae alipotongozwa?

Especially Kama anajua kuwa jamaa ni mume wa mtu?

Labda kama hajui.
 
Ni kweli,nitakuwa simpendi kama kigezo cha upendo ni kupigana na mwanamke ambaye kuna uwezekano mkubwa alitongozwa na mume wangu ambaye anajua ana mke
Kwanza kupigana na mwanamke mwenzio kisa mume ni kumfanya huyo mwanaume avimbe kichwa kwa sababu anagombaniwa,mwanamke mwenye akili Huwa ana mute tu hata kama anajua kila kitu.

Maana hata akipigana na huyo mwanamke ,hiyo sio sababu ya mumewe kumuacha so ni Bora kutulia tu.
 
Back
Top Bottom