Fumigation iliyopulizwa CHADEMA iongezwe, bBado kuna wadudu wanatambaa!

Vijana wa Chadema ni very arrogant sana na sio realistic.

Bado miezi 5 Uchaguzi mkuu ufanyike, hakuna mwananchi ana hamu ya fujo... Uchaguzi utafanyika na kumalizika na Chadema watabaki hawana hoja na watatumia miaka 5 ijayo kusolve migogoro

Kambi zote za Chadema zina Watu waliohama na kurudi Chadema, i.e Msigwa na Slaa, kwa hiyo is mostly likely hata hawa Watu walioko na Lissu watahama na Wenyewe. Mtabaki mashabiki..
Ulitaka wagomee Uchaguzi lini!?

Kugoma kipindi ambacho hakuna Uchaguzi is that realist ?

Watakujibu tutaboresha uchaguzi ukikaribia. Na ukifika uchaguzi utaambiwa muda umeisha, tusubiri uchaguzi ujao

Walijibiwa hivyo pia kwenye Rasimu ya Warioba…. Tupishe uchaguzi kwanza then tutafinalize katiba.

JPM alipoingia akasema wazi… Katiba sio kipaumbele….. na
Akaanza kuwatoboa wanaodai katiba

If you are smart enough , uta realize kuwa hakutokuja muda sahihi CCM itakuita njoo sasa tuboreshe katiba na tume ya uchaguzi….. over your dead body that will never happen…. Unless wewe ni mtoto wa 2010.
Muda sahihi ndio huu wa kupushi mabadiliko …. Hakuna muda mwingine
Mgombea wa CCM hawezi kuwa Kocha, kipa , refa na Mchezaji at the same time , huku wengine ni wachezaji tu ….. hiyo ndio realistic kwako ?

Hata Samia mbona amepush mabadiliko ya Azimio bila kushindanishwa. Kama hii ishu ingekuwa ipo kwa interest ya CCM hiyo miezi 5 ungeona ni mwaka na
Lingefanyika

You need to be smart dogo, tumia elimu yako kuwa critical thinker na great vision
 
Kumbe ndio maana hata Chama kikiitisha maandamano watu hawatoki. Tumeujua ukweli...

Imepulizwa Fumigation tunaona wadudu wanavyotoka...... kuna wadudu bado wanatambaa.... nashauri Fumigation irudiwe Upya... Chama kibaki na watu wanaomaanisha kuwa tunataka Reform ya kweli. Ma opportunists yote yatoke. Kazi nzuri kabisa chini ya Lissu Heche Mnyika na Wanachama wa Chadema. Chadema ndio Chama Pekee chenye Tija kwa sasa.

Taifa bila Upinzani Makini ni Taifa la wajinga.....na Wapumbavu!

Along the process yataongewa mengi snaa sijui mpasuko sijui Chama kinavurugika and blah blah ..... hizo zote ni kelele za ma Opportunists hazina Tija.....

G55 unaona kabisa ni empty brain zinazosumbuliwa na DENIAL na kuna external force inawatumia Ila hawatoweza.

We can't compromise na watu ambao hawa align na mission and Vision ya Chama. Upinzani wa kuzuga zuga kama wa kina Zitto na Lipumba hauna maslahi tena kwa Taifa .

Ngozi Nyeusi imezoea upigaji, wizi, umalaya na pesa za bure na mchongo mchongo na dili feki huku wakijiona wajanja.

Analopitia Lissu kwa sasa ni same as JPM.... alikutana na upinzani mkubwa sana kutoka kwa MBULULAZI ndani ya CCM ....

snitch akawa Just right his nose ndani ya state..... Ni vile JPM alikuwa mtoto wa bushi but kipindi kile alichotaka kujiuzulu, it was the perfect time to let go ..... he could have solved a lot of puzzles and how classified intel zilikuwa zina leak .

Namshauri Lissu na Heche wasirudi nyuma, wasifanye kosa la JPM kumzuia mtu kujiuzulu ... waongeze Dawa zaidi wadudu wote watoke.

Kwenye Vita uki sniffing any kind of betrayal....unatakiwa kutumia Elimination Policy . Putin knows better how Eliminatination Policy works kwenye ulimwengu wa Espionage.

Aione; G55, Lissu, Heche, Mnyika
Nimejaribu kuwasililiza G55 sijawaelewa kamwe zaidi ya usaliti...
 
Au na yeye alipata mgao kwenye ile 12B ambayo Twitter na Dr Slaa waliisema kuwa imeingia chadema? 12B kama 12B 🤣. Ila 12B sio pesa ya kitoto 🤣🤣🤣

Je hao G55 wamepewa billioni ngapi? Ngoja watu wa Twitter na Dr Slaa watasema 🤣
G55 wapo kwenye vita ya maokoto nothing more . Na kama mbowe yupo nyuma ya hizi movement atapoteza sana Heshima. Mbowe hakuwahi kuwa Minaki day one …. He was a good opportunitist by hook or by crook

So Intelligence ya Chadema kwa sasa imeingia mzigpni to pin point who
Is behind that movement ….Atajulikana
 
Ulitaka wagomee Uchaguzi lini!?

Kugoma kipindi ambacho hakuna Uchaguzi is that realist ?

Watakujibu tutaboresha uchaguzi ukikaribia. Na ukifika uchaguzi utaambiwa muda umeisha, tusubiri uchaguzi ujao

Walijibiwa hivyo pia kwenye Rasimu ya Warioba…. Tupishe uchaguzi kwanza then tutafinalize katiba.

JPM alipoingia akasema wazi… Katiba sio kipaumbele….. na
Akaanza kuwatoboa wanaodai katiba

If you are smart enough , uta realize kuwa hakutokuja muda sahihi CCM itakuita njoo sasa tuboreshe katiba na tume ya uchaguzi….. over your dead body that will never happen…. Unless wewe ni mtoto wa 2010.
Muda sahihi ndio huu wa kupushi mabadiliko …. Hakuna muda mwingine
Mgombea wa CCM hawezi kuwa Kocha, kipa , refa na Mchezaji at the same time , huku wengine ni wachezaji tu ….. hiyo ndio realistic kwako ?

Hata Samia mbona amepush mabadiliko ya Azimio bila kushindanishwa. Kama hii ishu ingekuwa ipo kwa interest ya CCM hiyo miezi 5 ungeona ni mwaka na
Lingefanyika

You need to be smart dogo, tumia elimu yako kuwa critical thinker na great vision
Sioni point ya wao kugomea Uchaguzi haya ni maoni yangu.
 
Wanakimbilia wapi baada kupuliziwa dawa👉🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳🪳
 
Kumbe ndio maana hata Chama kikiitisha maandamano watu hawatoki. Tumeujua ukweli...

Imepulizwa Fumigation tunaona wadudu wanavyotoka...... kuna wadudu bado wanatambaa.... nashauri Fumigation irudiwe Upya... Chama kibaki na watu wanaomaanisha kuwa tunataka Reform ya kweli. Ma opportunists yote yatoke. Kazi nzuri kabisa chini ya Lissu Heche Mnyika na Wanachama wa Chadema. Chadema ndio Chama Pekee chenye Tija kwa sasa.

Taifa bila Upinzani Makini ni Taifa la wajinga.....na Wapumbavu!

Along the process yataongewa mengi snaa sijui mpasuko sijui Chama kinavurugika and blah blah ..... hizo zote ni kelele za ma Opportunists hazina Tija.....

G55 unaona kabisa ni empty brain zinazosumbuliwa na DENIAL na kuna external force inawatumia Ila hawatoweza.

We can't compromise na watu ambao hawa align na mission and Vision ya Chama. Upinzani wa kuzuga zuga kama wa kina Zitto na Lipumba hauna maslahi tena kwa Taifa .

Ngozi Nyeusi imezoea upigaji, wizi, umalaya na pesa za bure na mchongo mchongo na dili feki huku wakijiona wajanja.

Analopitia Lissu kwa sasa ni same as JPM.... alikutana na upinzani mkubwa sana kutoka kwa MBULULAZI ndani ya CCM ....

snitch akawa Just right his nose ndani ya state..... Ni vile JPM alikuwa mtoto wa bushi but kipindi kile alichotaka kujiuzulu, it was the perfect time to let go ..... he could have solved a lot of puzzles and how classified intel zilikuwa zina leak .

Namshauri Lissu na Heche wasirudi nyuma, wasifanye kosa la JPM kumzuia mtu kujiuzulu ... waongeze Dawa zaidi wadudu wote watoke.

Kwenye Vita uki sniffing any kind of betrayal....unatakiwa kutumia Elimination Policy . Putin knows better how Eliminatination Policy works kwenye ulimwengu wa Espionage.

Aione; G55, Lissu, Heche, Mnyika

Huo ni wehu, chama kimeanza kuoza na kinaliwa na funza.
 
Am in love with the heading
 
Ulitaka wagomee Uchaguzi lini!?

Kugoma kipindi ambacho hakuna Uchaguzi is that realist ?

Watakujibu tutaboresha uchaguzi ukikaribia. Na ukifika uchaguzi utaambiwa muda umeisha, tusubiri uchaguzi ujao

Walijibiwa hivyo pia kwenye Rasimu ya Warioba…. Tupishe uchaguzi kwanza then tutafinalize katiba.

JPM alipoingia akasema wazi… Katiba sio kipaumbele….. na
Akaanza kuwatoboa wanaodai katiba

If you are smart enough , uta realize kuwa hakutokuja muda sahihi CCM itakuita njoo sasa tuboreshe katiba na tume ya uchaguzi….. over your dead body that will never happen…. Unless wewe ni mtoto wa 2010.
Muda sahihi ndio huu wa kupushi mabadiliko …. Hakuna muda mwingine
Mgombea wa CCM hawezi kuwa Kocha, kipa , refa na Mchezaji at the same time , huku wengine ni wachezaji tu ….. hiyo ndio realistic kwako ?

Hata Samia mbona amepush mabadiliko ya Azimio bila kushindanishwa. Kama hii ishu ingekuwa ipo kwa interest ya CCM hiyo miezi 5 ungeona ni mwaka na
Lingefanyika

You need to be smart dogo, tumia elimu yako kuwa critical thinker na great vision
Hahahah watu bwana
 
Mbowe atoke hadharani sasa, yeye ni mjumbe wa maisha wa kamati kuu, atamke maneno machache tu No reform no election basi atakuwa amejitenga na vinyesi.
 
Back
Top Bottom