Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 14,241
- 40,752
Bado kuna hawa askari kanzu wa Mbowe kama Erythrocyte mpaka watasema 😃
Muongo ni muongoNimecheka kama mazuri vile
View attachment 3330839
Mkuu hii kitu imenichekesha sanaNimecheka kama mazuri vile
View attachment 3330839
Najaribu kuifikiria familia ya huyu mgogo baada ya wao kuiona hi video, wanamtazamaje baba yao?Nimecheka kama mazuri vile
View attachment 3330839
Kusema nini?Bado kuna hawa askari kanzu wa Mbowe kama Erythrocyte mpaka watasema 😃
Jericho ni neutral?😐 🧓 yule si ni njaa 55 kajionesha hivo hata kabla ya kupiga kura? Mfatilie vizuri, hajawahi kuunga mkono chochote kinacho fanywa na uongozi wa sasa hvi, always yupo upande wa kina Kigaila so tunawezaje kusema yupo neutral? Ana upande yuleKuna wale wanaojiita neutral pia. Neutral ni Unafiki…. You must take side
I can appreciate G55 maana they took side ba tumewajua
Mtu kama Yeriko yule mtu
Mfupi anajionesha neutral but deep down ni Mnafiki
Tatizo kubwa la g55 ni Lissu kuwa mwenyekiti out of Mbowe hii ndio denial inayowasumbua na watapotea
Nilitamani Yericko nae aanzishe kundi la g57 la watu Neutral …… hawa tutawapiga pesticide za kawaida….. hawahitaji fumigation
Ni suala la muda tu tutajuaKusema nini?
Utakuwa mjinga kama huoni same patterns ndani ya Chadema, tunatoka kukimbia Tatizo la Msingi ambalo ni Tatizo la kijamiiKwako wewe ni point Mgombea Urais huyo huyo yeye ndio mwenyekiti wa CCM,Rais wa Nchi, Mgombea Urais wa CCM na ndio anaechagua na kuwalipa viongozi wote wa Tume ya Uchaguzi?
Mtajua nini?Ni suala la muda tu tutajua
Nimecheka kama mazuri vile
View attachment 3330839
Kumbe ndio maana hata Chama kikiitisha maandamano watu hawatoki. Tumeujua ukweli...
Imepulizwa Fumigation tunaona wadudu wanavyotoka...... kuna wadudu bado wanatambaa.... nashauri Fumigation irudiwe Upya... Chama kibaki na watu wanaomaanisha kuwa tunataka Reform ya kweli. Ma opportunists yote yatoke. Kazi nzuri kabisa chini ya Lissu Heche Mnyika na Wanachama wa Chadema. Chadema ndio Chama Pekee chenye Tija kwa sasa.
Taifa bila Upinzani Makini ni Taifa la wajinga.....na Wapumbavu!
Along the process yataongewa mengi snaa sijui mpasuko sijui Chama kinavurugika and blah blah ..... hizo zote ni kelele za ma Opportunists hazina Tija.....
G55 unaona kabisa ni empty brain zinazosumbuliwa na DENIAL na kuna external force inawatumia Ila hawatoweza.
We can't compromise na watu ambao hawa align na mission and Vision ya Chama. Upinzani wa kuzuga zuga kama wa kina Zitto na Lipumba hauna maslahi tena kwa Taifa .
Ngozi Nyeusi imezoea upigaji, wizi, umalaya na pesa za bure na mchongo mchongo na dili feki huku wakijiona wajanja.
Analopitia Lissu kwa sasa ni same as JPM.... alikutana na upinzani mkubwa sana kutoka kwa MBULULAZI ndani ya CCM ....
snitch akawa Just right his nose ndani ya state..... Ni vile JPM alikuwa mtoto wa bushi but kipindi kile alichotaka kujiuzulu, it was the perfect time to let go ..... he could have solved a lot of puzzles and how classified intel zilikuwa zina leak .
Namshauri Lissu na Heche wasirudi nyuma, wasifanye kosa la JPM kumzuia mtu kujiuzulu ... waongeze Dawa zaidi wadudu wote watoke.
Kwenye Vita uki sniffing any kind of betrayal....unatakiwa kutumia Elimination Policy . Putin knows better how Eliminatination Policy works kwenye ulimwengu wa Espionage.
Aione; G55, Lissu, Heche, Mnyi
No reform no election in Tanzania in 2025Ulitaka wagomee Uchaguzi lini!?
Kugoma kipindi ambacho hakuna Uchaguzi is that realist ?
Watakujibu tutaboresha uchaguzi ukikaribia. Na ukifika uchaguzi utaambiwa muda umeisha, tusubiri uchaguzi ujao
Walijibiwa hivyo pia kwenye Rasimu ya Warioba…. Tupishe uchaguzi kwanza then tutafinalize katiba.
JPM alipoingia akasema wazi… Katiba sio kipaumbele….. na
Akaanza kuwatoboa wanaodai katiba
If you are smart enough , uta realize kuwa hakutokuja muda sahihi CCM itakuita njoo sasa tuboreshe katiba na tume ya uchaguzi….. over your dead body that will never happen…. Unless wewe ni mtoto wa 2010.
Muda sahihi ndio huu wa kupushi mabadiliko …. Hakuna muda mwingine
Mgombea wa CCM hawezi kuwa Kocha, kipa , refa na Mchezaji at the same time , huku wengine ni wachezaji tu ….. hiyo ndio realistic kwako ?
Hata Samia mbona amepush mabadiliko ya Azimio bila kushindanishwa. Kama hii ishu ingekuwa ipo kwa interest ya CCM hiyo miezi 5 ungeona ni mwaka na
Lingefanyika
You need to be smart dogo, tumia elimu yako kuwa critical thinker na great vision
Mathayo 23 inamhusu huyo mhojiwa.Nimecheka kama mazuri vile
View attachment 3330839
Mi siyo nyumbu kaka hivyo siwezi kuugua huo ugonjwa........Unaugua ugonjwa wa Lissu ukiwa wapi?
Of course tunavisoma kupima kiwango Cha unyumbu tu kilipofikia, si jingine zaidi.Na hamkosi kuvisoma.
Sifa kuu ya kuwa mwanaccm ni kujitoa ufahamu.Of course tunavisoma kupima kiwango Cha unyumbu tu kilipofikia, si jingine zaidi.
Hahahaha amebanwa kwenye kona ameshindwa kuchomokaNimecheka kama mazuri vile
View attachment 3330839
Sifa kuu ya kuwa mwachadema wa chadema chakavu ni kuwa nyumbu.Sifa kuu ya kuwa mwanaccm ni kujitoa ufahamu.
Martin Niemöller (1892-1984) alikuwa Mchungaji maarufu wa Kilutheri nchini Ujerumani kipindi Cha Adolf Hitler akiendesha mauajii ya halaiki (holocaust). Aliwahi kusema yafuatayo na yakawa maarufu sana duniani;Kumbe ndio maana hata Chama kikiitisha maandamano watu hawatoki. Tumeujua ukweli...
Imepulizwa Fumigation tunaona wadudu wanavyotoka...... kuna wadudu bado wanatambaa.... nashauri Fumigation irudiwe Upya... Chama kibaki na watu wanaomaanisha kuwa tunataka Reform ya kweli. Ma opportunists yote yatoke. Kazi nzuri kabisa chini ya Lissu Heche Mnyika na Wanachama wa Chadema. Chadema ndio Chama Pekee chenye Tija kwa sasa.
Taifa bila Upinzani Makini ni Taifa la wajinga.....na Wapumbavu!
Along the process yataongewa mengi snaa sijui mpasuko sijui Chama kinavurugika and blah blah ..... hizo zote ni kelele za ma Opportunists hazina Tija.....
G55 unaona kabisa ni empty brain zinazosumbuliwa na DENIAL na kuna external force inawatumia Ila hawatoweza.
We can't compromise na watu ambao hawa align na mission and Vision ya Chama. Upinzani wa kuzuga zuga kama wa kina Zitto na Lipumba hauna maslahi tena kwa Taifa .
Ngozi Nyeusi imezoea upigaji, wizi, umalaya na pesa za bure na mchongo mchongo na dili feki huku wakijiona wajanja.
Analopitia Lissu kwa sasa ni same as JPM.... alikutana na upinzani mkubwa sana kutoka kwa MBULULAZI ndani ya CCM ....
snitch akawa Just right his nose ndani ya state..... Ni vile JPM alikuwa mtoto wa bushi but kipindi kile alichotaka kujiuzulu, it was the perfect time to let go ..... he could have solved a lot of puzzles and how classified intel zilikuwa zina leak .
Namshauri Lissu na Heche wasirudi nyuma, wasifanye kosa la JPM kumzuia mtu kujiuzulu ... waongeze Dawa zaidi wadudu wote watoke.
Kwenye Vita uki sniffing any kind of betrayal....unatakiwa kutumia Elimination Policy . Putin knows better how Eliminatination Policy works kwenye ulimwengu wa Espionage.
Aione; G55, Lissu, Heche, Mnyika
Ubaya wa fumigation, usipokuwa makini kwenye ku fumigate, ile dawa inakushughukikia hata wewe unaye fumigate!Kumbe ndio maana hata Chama kikiitisha maandamano watu hawatoki. Tumeujua ukweli...
Imepulizwa Fumigation tunaona wadudu wanavyotoka...... kuna wadudu bado wanatambaa.... nashauri Fumigation irudiwe Upya... Chama kibaki na watu wanaomaanisha kuwa tunataka Reform ya kweli. Ma opportunists yote yatoke. Kazi nzuri kabisa chini ya Lissu Heche Mnyika na Wanachama wa Chadema. Chadema ndio Chama Pekee chenye Tija kwa sasa.
Taifa bila Upinzani Makini ni Taifa la wajinga.....na Wapumbavu!
Along the process yataongewa mengi snaa sijui mpasuko sijui Chama kinavurugika and blah blah ..... hizo zote ni kelele za ma Opportunists hazina Tija.....
G55 unaona kabisa ni empty brain zinazosumbuliwa na DENIAL na kuna external force inawatumia Ila hawatoweza.
We can't compromise na watu ambao hawa align na mission and Vision ya Chama. Upinzani wa kuzuga zuga kama wa kina Zitto na Lipumba hauna maslahi tena kwa Taifa .
Ngozi Nyeusi imezoea upigaji, wizi, umalaya na pesa za bure na mchongo mchongo na dili feki huku wakijiona wajanja.
Analopitia Lissu kwa sasa ni same as JPM.... alikutana na upinzani mkubwa sana kutoka kwa MBULULAZI ndani ya CCM ....
snitch akawa Just right his nose ndani ya state..... Ni vile JPM alikuwa mtoto wa bushi but kipindi kile alichotaka kujiuzulu, it was the perfect time to let go ..... he could have solved a lot of puzzles and how classified intel zilikuwa zina leak .
Namshauri Lissu na Heche wasirudi nyuma, wasifanye kosa la JPM kumzuia mtu kujiuzulu ... waongeze Dawa zaidi wadudu wote watoke.
Kwenye Vita uki sniffing any kind of betrayal....unatakiwa kutumia Elimination Policy . Putin knows better how Eliminatination Policy works kwenye ulimwengu wa Espionage.
Aione; G55, Lissu, Heche, Mnyika
Choo lazima kisafishweKumbe ndio maana hata Chama kikiitisha maandamano watu hawatoki. Tumeujua ukweli...

Unakubali kuwa huna akili.Sifa kuu ya kuwa mwachadema wa chadema chakavu ni kuwa nyumbu.