Kumbe ndio maana hata Chama kikiitisha maandamano watu hawatoki. Tumeujua ukweli...
Imepulizwa Fumigation tunaona wadudu wanavyotoka...... kuna wadudu bado wanatambaa.... nashauri Fumigation irudiwe Upya... Chama kibaki na watu wanaomaanisha kuwa tunataka Reform ya kweli. Ma opportunists yote yatoke. Kazi nzuri kabisa chini ya Lissu Heche Mnyika na Wanachama wa Chadema. Chadema ndio Chama Pekee chenye Tija kwa sasa.
Taifa bila Upinzani Makini ni Taifa la wajinga.....na Wapumbavu!
Along the process yataongewa mengi snaa sijui mpasuko sijui Chama kinavurugika and blah blah ..... hizo zote ni kelele za ma Opportunists hazina Tija.....
G55 unaona kabisa ni empty brain zinazosumbuliwa na DENIAL na kuna external force inawatumia Ila hawatoweza.
We can't compromise na watu ambao hawa align na mission and Vision ya Chama. Upinzani wa kuzuga zuga kama wa kina Zitto na Lipumba hauna maslahi tena kwa Taifa .
Ngozi Nyeusi imezoea upigaji, wizi, umalaya na pesa za bure na mchongo mchongo na dili feki huku wakijiona wajanja.
Analopitia Lissu kwa sasa ni same as JPM.... alikutana na upinzani mkubwa sana kutoka kwa MBULULAZI ndani ya CCM ....
snitch akawa Just right his nose ndani ya state..... Ni vile JPM alikuwa mtoto wa bushi but kipindi kile alichotaka kujiuzulu, it was the perfect time to let go ..... he could have solved a lot of puzzles and how classified intel zilikuwa zina leak .
Namshauri Lissu na Heche wasirudi nyuma, wasifanye kosa la JPM kumzuia mtu kujiuzulu ... waongeze Dawa zaidi wadudu wote watoke.
Kwenye Vita uki sniffing any kind of betrayal....unatakiwa kutumia Elimination Policy . Putin knows better how Eliminatination Policy works kwenye ulimwengu wa Espionage.
Aione; G55, Lissu, Heche, Mnyika
Niliwahi kuandika hapa ndani kwamba...,sisi wananchi siku zote tulivishangaa vyama vya upinzani kukubali kwake kuingia katika chaguzi huku waratibu wa chaguzi wakipangwa na chama tawala kwa mujibu wa kanuni na sheria zetu.
Wananchi tulitumia nguvu zote kuunga mkono chama kilichoonekana makini zaidi cha upinzani,Chadema ili kiiondoe ccm madarakani lakini tulijua inabidi tutumie nguvu ya ziada ili mgombea mmoja tu wa udiwani au ubunge wa Chadema aliyeshinda atangazwa na mkurugenzi wa uchaguzi. Mathalan,huyo Hezekiah Wenje ambaye leo hii kajisahaulisha anatakiwa akumbushwe namna gani nguvu ya wananchi ilitumika ili yeye atangazwe mshindi wa ubunge dhidi ya mgombea aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wakati huo ,Laurence Masha.
Wananchi walihesabu matokeo ya kura yaliyobandikwa katika vituo vyote..wakajua mshindi ni Wenje,lakini mkurugenzi akakataa kumtangaza Wenje akidai hajaruhusiwa na tume makao makuu.. Ilipofofikia boiling point...huku wananchi wakisema akitangazwa mtu mwingine tofauti na aliyeshinda ,basi kusingetoka mtu salama lile eneo...,OCD alimkazimisha mkurugenzi kutamtangaza Wenje kama mshindi.
Katika maeneo mengine kutangazwa asiyeshinda ilikuwa kawaida kabisa. Na matukio hayo ndiyo yaliyofanya wananchi waanze kukata tamaa ya kupiga kura...na wengi wetu tukitaka kwanza kuwepo na UWANJA HURU WA UCHAGUZI ili anayeshinda ,ndiye anayetangazwa. Wananchi tunajua tufkifikia hapo,itakuwa ni mwisho wa ccm kufanya upigaji na kuongoza hovyo na kututia umasikini kwa zaidi ya miaka 60.
Kutokana na hayo niliyosema, wananchi wengi wanawashangaa sana hao baadhi ya wapinzani wanaokazania kushiriki uchaguzi kwa kanuni na sheria zile zile. Watashindaje hata kama wameshinda kweli?
Wanasema mkakati wa No reforms ,No election siyo mkakati mzuri wa kukabiliana na ccm katika uchaguzi,.... eti mkakati mzuri ni kushiriki uchaguzi. This is very strange. Unashiriki vipi wakati unajua wazi ccm akiamua kushinda kwa 100% ni jambo la kutoa maelekezo kwa simu moja tu kwa wakurugenzi?
Wenye busara wanasema kama hujawahi kuona sura ya rushwa ilivyo, basi angalia maneno na matendo ya wapinzani wanaokomaa kushiriki uchaguzi msimu huu.
No reforms,No election has come at the right moment,..and the good thing is that it resonates with us....the electorate .