Fumigation iliyopulizwa CHADEMA iongezwe, bBado kuna wadudu wanatambaa!

Fumigation iliyopulizwa CHADEMA iongezwe, bBado kuna wadudu wanatambaa!

Imepulizwa Fumigation tunaona wadudu wanavyotoka...... kuna wadudu bado wanatambaa.... nashauri Fumigation irudiwe Upya... Chama kibaki na watu wanaomaanisha kuwa tunataka Reform ya kweli. Ma opportunists yote yatoke. Kazi nzuri kabisa chini ya Lissu Heche Mnyika na Wanachama wa Chadema. Chadema ndio Chama Pekee chenye Tija kwa sasa.

Taifa bila Upinzani Makini ni Taifa la wajinga.....na Wapumbavu!

Along the process yataongewa mengi snaa sijui mpasuko sijui Chama kinavurugika and blah blah ..... hizo zote ni kelele za ma Opportunists hazina Tija.....

G55 unaona kabisa ni empty brain zinazosumbuliwa na DENIAL na kuna external force inawatumia Ila hawatoweza.

We can't compromise na watu ambao hawa align na mission and Vision ya Chama. Upinzani wa kuzuga zuga kama wa kina Zitto na Lipumba hauna maslahi tena kwa Taifa .

Ngozi Nyeusi imezoea upigaji, wizi, umalaya na pesa za bure na mchongo mchongo na dili feki huku wakijiona wajanja.

Analopitia Lissu kwa sasa ni same as JPM.... alikutana na upinzani mkubwa sana kutoka kwa MBULULAZI ndani ya CCM ....

snitch akawa Just right his nose ndani ya state..... Ni vile JPM alikuwa mtoto wa bushi but kipindi kile alichotaka kujiuzulu, it was the perfect time to let go ..... he could have solved a lot of puzzles and how classified intel zilikuwa zina leak .

Namshauri Lissu na Heche wasirudi nyuma, wasifanye kosa la JPM kumzuia mtu kujiuzulu ... waongeze Dawa zaidi wadudu wote watoke.

Kwenye Vita uki sniffing any kind of betrayal....unatakiwa kutumia Elimination Policy . Putin knows better how Eliminatination Policy works kwenye ulimwengu wa Espionage.

Aione; G55, Lissu, Heche, Mnyika
ukitaka kujua kuwa bado kuna wasaliti wengi, tena viongozi,angalia juzi alipoguswa mbowe, naman boniyai, mnyika na wengien walivyoibuka, unafikiri hao watakuja kumsaliti mbowe?
 
Imepulizwa Fumigation tunaona wadudu wanavyotoka...... kuna wadudu bado wanatambaa.... nashauri Fumigation irudiwe Upya... Chama kibaki na watu wanaomaanisha kuwa tunataka Reform ya kweli. Ma opportunists yote yatoke.

Kazi nzuri kabisa chini ya Lissu Heche Mnyika na Wanachama wa Chadema. Chadema ndio Chama Pekee chenye Tija kwa sasa.

Taifa bila Upinzani Makini ni Taifa la wajinga.....na Wapumbavu!

Along the process yataongewa mengi snaa sijui mpasuko sijui Chama kinavurugika and blah blah ..... hizo zote ni kelele za ma Opportunists hazina Tija.....

G55 unaona kabisa ni empty brain zinazosumbuliwa na DENIAL na kuna external force inawatumia Ila hawatoweza.

We can't compromise na watu ambao hawa align na mission and Vision ya Chama. Upinzani wa kuzuga zuga kama wa kina Zitto na Lipumba hauna maslahi tena kwa Taifa .

Ngozi Nyeusi imezoea upigaji, wizi, umalaya na pesa za bure na mchongo mchongo na dili feki huku wakijiona wajanja.

Analopitia Lissu kwa sasa ni same as JPM.... alikutana na upinzani mkubwa sana kutoka kwa MBULULAZI ndani ya CCM ....

snitch akawa Just right his nose ndani ya state..... Ni vile JPM alikuwa mtoto wa bushi but kipindi kile alichotaka kujiuzulu, it was the perfect time to let go ..... he could have solved a lot of puzzles and how classified intel zilikuwa zina leak .

Namshauri Lissu na Heche wasirudi nyuma, wasifanye kosa la JPM kumzuia mtu kujiuzulu ... waongeze Dawa zaidi wadudu wote watoke.

Kwenye Vita uki sniffing any kind of betrayal....unatakiwa kutumia Elimination Policy . Putin knows better how Eliminatination Policy works kwenye ulimwengu wa Espionage.

Aione; G55, Lissu, Heche, Mnyika
Bado Yericko Nyerere
 
Mtajua nini?
Maji lazima yatengane na mafuta, Timu Mbowe mnajulikana ni kama ng'ombe aliyekatwa mkia😃
1000034454.jpg
 
Kuna wale wanaojiita neutral pia. Neutral ni Unafiki…. You must take side

I can appreciate G55 maana they took side ba tumewajua

Mtu kama Yeriko yule mtu
Mfupi anajionesha neutral but deep down ni Mnafiki

Tatizo kubwa la g55 ni Lissu kuwa mwenyekiti out of Mbowe hii ndio denial inayowasumbua na watapotea

Nilitamani Yericko nae aanzishe kundi la g57 la watu Neutral …… hawa tutawapiga pesticide za kawaida….. hawahitaji fumigation
@Yericko Nyerere bado wewe ndumila kuwili.
Unasubiri nini tema bungo sasa hivi mende wote na viroboto mtasepa taratibu
 
Kwani watu kuhama chadema wameanza Leo mkuu? Hawa wamefanya press, Kuna wengi tu walihama kimyakimya lakini chadema Bado ipo...

Walikuwa wanahama sana mkuu ,hawajaanza leo!!! Tone Tone itakuwa mbadala wa ruzuku mkuu ,hakuna kushiriki uchaguzi.
 
Vijana wa Chadema ni very arrogant sana na sio realistic.

Bado miezi 5 Uchaguzi mkuu ufanyike, hakuna mwananchi ana hamu ya fujo... Uchaguzi utafanyika na kumalizika na Chadema watabaki hawana hoja na watatumia miaka 5 ijayo kusolve migogoro

Kambi zote za Chadema zina Watu waliohama na kurudi Chadema, i.e Msigwa na Slaa, kwa hiyo is mostly likely hata hawa Watu walioko na Lissu watahama na Wenyewe. Mtabaki mashabiki..
Mkuu kwani Msigwa ameretreat
 
Back
Top Bottom