Huo uchaguzi wananchi wataenda kupiga kura kati ya nani na nani?Vijana wa Chadema ni very arrogant sana na sio realistic.
Bado miezi 5 Uchaguzi mkuu ufanyike, hakuna mwananchi ana hamu ya fujo... Uchaguzi utafanyika na kumalizika na Chadema watabaki hawana hoja na watatumia miaka 5 ijayo kusolve migogoro
Kambi zote za Chadema zina Watu waliohama na kurudi Chadema, i.e Msigwa na Slaa, kwa hiyo is mostly likely hata hawa Watu walioko na Lissu watahama na Wenyewe. Mtabaki mashabiki..
Kwani nyie mliobaki kwanini mlikuwa hamuandamani? We ni afadhali ya mwendawazimu una roho ngumu sanaKumbe ndio maana hata Chama kikiitisha maandamano watu hawatoki. Tumeujua ukweli...
Imepulizwa Fumigation tunaona wadudu wanavyotoka...... kuna wadudu bado wanatambaa.... nashauri Fumigation irudiwe Upya... Chama kibaki na watu wanaomaanisha kuwa tunataka Reform ya kweli. Ma opportunists yote yatoke. Kazi nzuri kabisa chini ya Lissu Heche Mnyika na Wanachama wa Chadema. Chadema ndio Chama Pekee chenye Tija kwa sasa.
Taifa bila Upinzani Makini ni Taifa la wajinga.....na Wapumbavu!
Along the process yataongewa mengi snaa sijui mpasuko sijui Chama kinavurugika and blah blah ..... hizo zote ni kelele za ma Opportunists hazina Tija.....
G55 unaona kabisa ni empty brain zinazosumbuliwa na DENIAL na kuna external force inawatumia Ila hawatoweza.
We can't compromise na watu ambao hawa align na mission and Vision ya Chama. Upinzani wa kuzuga zuga kama wa kina Zitto na Lipumba hauna maslahi tena kwa Taifa .
Ngozi Nyeusi imezoea upigaji, wizi, umalaya na pesa za bure na mchongo mchongo na dili feki huku wakijiona wajanja.
Analopitia Lissu kwa sasa ni same as JPM.... alikutana na upinzani mkubwa sana kutoka kwa MBULULAZI ndani ya CCM ....
snitch akawa Just right his nose ndani ya state..... Ni vile JPM alikuwa mtoto wa bushi but kipindi kile alichotaka kujiuzulu, it was the perfect time to let go ..... he could have solved a lot of puzzles and how classified intel zilikuwa zina leak .
Namshauri Lissu na Heche wasirudi nyuma, wasifanye kosa la JPM kumzuia mtu kujiuzulu ... waongeze Dawa zaidi wadudu wote watoke.
Kwenye Vita uki sniffing any kind of betrayal....unatakiwa kutumia Elimination Policy . Putin knows better how Eliminatination Policy works kwenye ulimwengu wa Espionage.
Aione; G55, Lissu, Heche, Mnyika
CCM na ACT.Huo uchaguzi wananchi wataenda kupiga kura kati ya nani na nani?
Wamechangia Dawa za Thiodan za kufukuza wadudu na mchwaKumbe hata tone tone hujachangia?
sema ni maoni yako ila kwamba huoni pointi ni uongoSioni point ya wao kugomea Uchaguzi haya ni maoni yangu.
Masikini mzee wa watu sidhani kama tumikojo hatukugonga boxer maana baada ya kuoneshwa hiyo vedio na macho yalilegea kabisaNimecheka kama mazuri vile
View attachment 3330839
Unaugua ugonjwa wa Lissu ukiwa wapi?Na Bado, mtahangaika kweli kweli na vithreads vyenu uchwara.
Na hamkosi kuvisoma.Na Bado, mtahangaika kweli kweli na vithreads vyenu uchwara.
Endeleeni kukaza MAFUVU tu ,mtumbwi unazama huo! Jitahidini kuhubiri siasa za mshikamano na maridhiano!! Migogoro ndani ya chama siyo mizuri ,kwa point hii CDM iliyofikia ni mbaya!! Unataka kusema wajumbe hao zaidi ya 500 nchi nzima waliomuunga mkono mbowe walikuwa wanalambishwa asali na mbowe?Kumbe ndio maana hata Chama kikiitisha maandamano watu hawatoki. Tumeujua ukweli...
Imepulizwa Fumigation tunaona wadudu wanavyotoka...... kuna wadudu bado wanatambaa.... nashauri Fumigation irudiwe Upya... Chama kibaki na watu wanaomaanisha kuwa tunataka Reform ya kweli. Ma opportunists yote yatoke. Kazi nzuri kabisa chini ya Lissu Heche Mnyika na Wanachama wa Chadema. Chadema ndio Chama Pekee chenye Tija kwa sasa.
Taifa bila Upinzani Makini ni Taifa la wajinga.....na Wapumbavu!
Along the process yataongewa mengi snaa sijui mpasuko sijui Chama kinavurugika and blah blah ..... hizo zote ni kelele za ma Opportunists hazina Tija.....
G55 unaona kabisa ni empty brain zinazosumbuliwa na DENIAL na kuna external force inawatumia Ila hawatoweza.
We can't compromise na watu ambao hawa align na mission and Vision ya Chama. Upinzani wa kuzuga zuga kama wa kina Zitto na Lipumba hauna maslahi tena kwa Taifa .
Ngozi Nyeusi imezoea upigaji, wizi, umalaya na pesa za bure na mchongo mchongo na dili feki huku wakijiona wajanja.
Analopitia Lissu kwa sasa ni same as JPM.... alikutana na upinzani mkubwa sana kutoka kwa MBULULAZI ndani ya CCM ....
snitch akawa Just right his nose ndani ya state..... Ni vile JPM alikuwa mtoto wa bushi but kipindi kile alichotaka kujiuzulu, it was the perfect time to let go ..... he could have solved a lot of puzzles and how classified intel zilikuwa zina leak .
Namshauri Lissu na Heche wasirudi nyuma, wasifanye kosa la JPM kumzuia mtu kujiuzulu ... waongeze Dawa zaidi wadudu wote watoke.
Kwenye Vita uki sniffing any kind of betrayal....unatakiwa kutumia Elimination Policy . Putin knows better how Eliminatination Policy works kwenye ulimwengu wa Espionage.
Aione; G55, Lissu, Heche, Mnyika
🤪 ni mtazamo wako haupingwiEndeleeni kukaza MAFUVU tu ,mtumbwi unazama huo! Jitahidini kuhubiri siasa za mshikamano na maridhiano!! Migogoro ndani ya chama siyo mizuri ,kwa point hii CDM iliyofikia ni mbaya!! Unataka kusema wajumbe hao zaidi ya 500 nchi nzima waliomuunga mkono mbowe walikuwa wanalambishwa asali na mbowe?
Kwani watu kuhama chadema wameanza Leo mkuu? Hawa wamefanya press, Kuna wengi tu walihama kimyakimya lakini chadema Bado ipo...Endeleeni kukaza MAFUVU tu ,mtumbwi unazama huo! Jitahidini kuhubiri siasa za mshikamano na maridhiano!! Migogoro ndani ya chama siyo mizuri ,kwa point hii CDM iliyofikia ni mbaya!! Unataka kusema wajumbe hao zaidi ya 500 nchi nzima waliomuunga mkono mbowe walikuwa wanalambishwa asali na mbowe?
Nyie jidanganyeni tu. Wote wanaohama ni wanachama waandamizi. Wewe undadhani unaweza kuendesha chama kwa kuwategemea watu sampling ya Braza K?Kumbe ndio maana hata Chama kikiitisha maandamano watu hawatoki. Tumeujua ukweli...
Imepulizwa Fumigation tunaona wadudu wanavyotoka...... kuna wadudu bado wanatambaa.... nashauri Fumigation irudiwe Upya... Chama kibaki na watu wanaomaanisha kuwa tunataka Reform ya kweli. Ma opportunists yote yatoke. Kazi nzuri kabisa chini ya Lissu Heche Mnyika na Wanachama wa Chadema. Chadema ndio Chama Pekee chenye Tija kwa sasa.
Taifa bila Upinzani Makini ni Taifa la wajinga.....na Wapumbavu!
Along the process yataongewa mengi snaa sijui mpasuko sijui Chama kinavurugika and blah blah ..... hizo zote ni kelele za ma Opportunists hazina Tija.....
G55 unaona kabisa ni empty brain zinazosumbuliwa na DENIAL na kuna external force inawatumia Ila hawatoweza.
We can't compromise na watu ambao hawa align na mission and Vision ya Chama. Upinzani wa kuzuga zuga kama wa kina Zitto na Lipumba hauna maslahi tena kwa Taifa .
Ngozi Nyeusi imezoea upigaji, wizi, umalaya na pesa za bure na mchongo mchongo na dili feki huku wakijiona wajanja.
Analopitia Lissu kwa sasa ni same as JPM.... alikutana na upinzani mkubwa sana kutoka kwa MBULULAZI ndani ya CCM ....
snitch akawa Just right his nose ndani ya state..... Ni vile JPM alikuwa mtoto wa bushi but kipindi kile alichotaka kujiuzulu, it was the perfect time to let go ..... he could have solved a lot of puzzles and how classified intel zilikuwa zina leak .
Namshauri Lissu na Heche wasirudi nyuma, wasifanye kosa la JPM kumzuia mtu kujiuzulu ... waongeze Dawa zaidi wadudu wote watoke.
Kwenye Vita uki sniffing any kind of betrayal....unatakiwa kutumia Elimination Policy . Putin knows better how Eliminatination Policy works kwenye ulimwengu wa Espionage.
Aione; G55, Lissu, Heche, Mnyika
Na wamenyooka hasa. Kumbe miaka 30 ya upinzani ilikuwa geresha na biashara za watuLazma chama kibaki na watu walonyooka
Niliwahi kuandika hapa ndani kwamba...,sisi wananchi siku zote tulivishangaa vyama vya upinzani kukubali kwake kuingia katika chaguzi huku waratibu wa chaguzi wakipangwa na chama tawala kwa mujibu wa kanuni na sheria zetu.Kumbe ndio maana hata Chama kikiitisha maandamano watu hawatoki. Tumeujua ukweli...
Imepulizwa Fumigation tunaona wadudu wanavyotoka...... kuna wadudu bado wanatambaa.... nashauri Fumigation irudiwe Upya... Chama kibaki na watu wanaomaanisha kuwa tunataka Reform ya kweli. Ma opportunists yote yatoke. Kazi nzuri kabisa chini ya Lissu Heche Mnyika na Wanachama wa Chadema. Chadema ndio Chama Pekee chenye Tija kwa sasa.
Taifa bila Upinzani Makini ni Taifa la wajinga.....na Wapumbavu!
Along the process yataongewa mengi snaa sijui mpasuko sijui Chama kinavurugika and blah blah ..... hizo zote ni kelele za ma Opportunists hazina Tija.....
G55 unaona kabisa ni empty brain zinazosumbuliwa na DENIAL na kuna external force inawatumia Ila hawatoweza.
We can't compromise na watu ambao hawa align na mission and Vision ya Chama. Upinzani wa kuzuga zuga kama wa kina Zitto na Lipumba hauna maslahi tena kwa Taifa .
Ngozi Nyeusi imezoea upigaji, wizi, umalaya na pesa za bure na mchongo mchongo na dili feki huku wakijiona wajanja.
Analopitia Lissu kwa sasa ni same as JPM.... alikutana na upinzani mkubwa sana kutoka kwa MBULULAZI ndani ya CCM ....
snitch akawa Just right his nose ndani ya state..... Ni vile JPM alikuwa mtoto wa bushi but kipindi kile alichotaka kujiuzulu, it was the perfect time to let go ..... he could have solved a lot of puzzles and how classified intel zilikuwa zina leak .
Namshauri Lissu na Heche wasirudi nyuma, wasifanye kosa la JPM kumzuia mtu kujiuzulu ... waongeze Dawa zaidi wadudu wote watoke.
Kwenye Vita uki sniffing any kind of betrayal....unatakiwa kutumia Elimination Policy . Putin knows better how Eliminatination Policy works kwenye ulimwengu wa Espionage.
Aione; G55, Lissu, Heche, Mnyika
Lissu na Heche ongezeni dawa
View attachment 3331052
Wananchi wengi walikuwa hawapigi kura....ukiuliza kwanini walijibu hawawezi kupiga kura ambazo haziheshimiwi.Niliwahi kuandika hapa ndani kwamba...,sisi wananchi siku zote tulivishangaa vyama vya upinzani kukubali kwake kuingia katika chaguzi huku waratibu wa chaguzi wakipangwa na chama tawala kwa mujibu wa kanuni na sheria zetu.
Wananchi tulitumia nguvu zote kuunga mkono chama kilichoonekana makini zaidi cha upinzani,Chadema ili kiiondoe ccm madarakani lakini tulijua inabidi tutumie nguvu ya ziada ili mgombea mmoja tu wa udiwani au ubunge wa Chadema aliyeshinda atangazwa na mkurugenzi wa uchaguzi. Mathalan,huyo Hezekiah Wenje ambaye leo hii kajisahaulisha anatakiwa akumbushwe namna gani nguvu ya wananchi ilitumika ili yeye atangazwe mshindi wa ubunge dhidi ya mgombea aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wakati huo ,Laurence Masha.
Wananchi walihesabu matokeo ya kura yaliyobandikwa katika vituo vyote..wakajua mshindi ni Wenje,lakini mkurugenzi akakataa kumtangaza Wenje akidai hajaruhusiwa na tume makao makuu.. Ilipofofikia boiling point...huku wananchi wakisema akitangazwa mtu mwingine tofauti na aliyeshinda ,basi kusingetoka mtu salama lile eneo...,OCD alimkazimisha mkurugenzi kutamtangaza Wenje kama mshindi.
Katika maeneo mengine kutangazwa asiyeshinda ilikuwa kawaida kabisa. Na matukio hayo ndiyo yaliyofanya wananchi waanze kukata tamaa ya kupiga kura...na wengi wetu tukitaka kwanza kuwepo na UWANJA HURU WA UCHAGUZI ili anayeshinda ,ndiye anayetangazwa. Wananchi tunajua tufkifikia hapo,itakuwa ni mwisho wa ccm kufanya upigaji na kuongoza hovyo na kututia umasikini kwa zaidi ya miaka 60.
Kutokana na hayo niliyosema, wananchi wengi wanawashangaa sana hao baadhi ya wapinzani wanaokazania kushiriki uchaguzi kwa kanuni na sheria zile zile. Watashindaje hata kama wameshinda kweli?
Wanasema mkakati wa No reforms ,No election siyo mkakati mzuri wa kukabiliana na ccm katika uchaguzi,.... eti mkakati mzuri ni kushiriki uchaguzi. This is very strange. Unashiriki vipi wakati unajua wazi ccm akiamua kushinda kwa 100% ni jambo la kutoa maelekezo kwa simu moja tu kwa wakurugenzi?
Wenye busara wanasema kama hujawahi kuona sura ya rushwa ilivyo, basi angalia maneno na matendo ya wapinzani wanaokomaa kushiriki uchaguzi msimu huu.
No reforms,No election has come at the right moment,..and the good thing is that it resonates with us....the electorate .
Kwako wewe ni point Mgombea Urais huyo huyo yeye ndio mwenyekiti wa CCM,Rais wa Nchi, Mgombea Urais wa CCM na ndio anaechagua na kuwalipa viongozi wote wa Tume ya Uchaguzi?Sioni point ya wao kugomea Uchaguzi haya ni maoni yangu.
Kwa kweli inachekeshaKwako wewe ni point Mgombea Urais huyo huyo yeye ndio mwenyekiti wa CCM,Rais wa Nchi, Mgombea Urais wa CCM na ndio anaechagua na kuwalipa viongozi wote wa Tume ya Uchaguzi?