Fumigation iliyopulizwa CHADEMA iongezwe, bBado kuna wadudu wanatambaa!

Y
Jericho ni neutral?😐 🧓 yule si ni njaa 55 kajionesha hivo hata kabla ya kupiga kura? Mfatilie vizuri, hajawahi kuunga mkono chochote kinacho fanywa na uongozi wa sasa hvi, always yupo upande wa kina Kigaila so tunawezaje kusema yupo neutral? Ana upande yule
 
Mtu anasema Chadema imekufa mara imechoka ila kila siku Muliro anaitisha press anatumbua macho kuitetea ccm.

Kama Chadema imechoka mbona hatujawahi sikia Muliro akiwatishia CUF au TLP?
 
Kwako wewe ni point Mgombea Urais huyo huyo yeye ndio mwenyekiti wa CCM,Rais wa Nchi, Mgombea Urais wa CCM na ndio anaechagua na kuwalipa viongozi wote wa Tume ya Uchaguzi?
Utakuwa mjinga kama huoni same patterns ndani ya Chadema, tunatoka kukimbia Tatizo la Msingi ambalo ni Tatizo la kijamii
 
No reform no election
Nimecheka kama mazuri vile
View attachment 3330839

No reform no election in Tanzania in 2025
 
Martin Niemöller (1892-1984) alikuwa Mchungaji maarufu wa Kilutheri nchini Ujerumani kipindi Cha Adolf Hitler akiendesha mauajii ya halaiki (holocaust). Aliwahi kusema yafuatayo na yakawa maarufu sana duniani;
"...When they came for the Jew,
Ubaya wa fumigation, usipokuwa makini kwenye ku fumigate, ile dawa inakushughukikia hata wewe unaye fumigate!
 
Choo lazima kisafishwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…