Fumigation iliyopulizwa CHADEMA iongezwe, bBado kuna wadudu wanatambaa!

ukitaka kujua kuwa bado kuna wasaliti wengi, tena viongozi,angalia juzi alipoguswa mbowe, naman boniyai, mnyika na wengien walivyoibuka, unafikiri hao watakuja kumsaliti mbowe?
 
Bado Yericko Nyerere
 
@Yericko Nyerere bado wewe ndumila kuwili.
Unasubiri nini tema bungo sasa hivi mende wote na viroboto mtasepa taratibu
 
Kwani watu kuhama chadema wameanza Leo mkuu? Hawa wamefanya press, Kuna wengi tu walihama kimyakimya lakini chadema Bado ipo...

Walikuwa wanahama sana mkuu ,hawajaanza leo!!! Tone Tone itakuwa mbadala wa ruzuku mkuu ,hakuna kushiriki uchaguzi.
 
CHADEMA ilijaa uchafu tupu mpaka kulikuwa na majoka makubwa haswa sahivi ndiyo yanakimbia
 
Mkuu kwani Msigwa ameretreat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…