Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

Inaoneka haujui utatu mtakatifu(MUNGU)
MUNGU ni kama raisi . U-Raisi umetengenezwa na vyeo vitatu raisi mwenyewe , makamu raisi na waziri mkuu
MUNGU imetengenezwa na vyeo vitatu
I - JEHOVAH (MUNGU Baba) yeye huwa haonekani
II - Yesu / Masihi ( MUNGU Mwana ) yeye ndiye kiumbe cha kwanza kuumbwa mbinguni , ndo mana anajulikana kama kaka wa kila kilicho umbwa na ndiye yeye pia alishiriki katika uumbaji wa mbingu(malaika) na dunia(wanadamu)
III Roho Mtakatifu (MUNGU Roho) - Roho ya Mungu ina act kama kiumbe. Huja kwa maumbo mbalimbali - kama nguvu , kama mwanadamu , kama njiwa
Ukristo hauna mafundisho haya, unapotosha.
 
Ndiyo umemaliza hapo?

Uumbaji ni nini na unathibitishaje Mungu huyo yupo?
Ndio nimemaliza, mpangilio huu wa ulimwengu lazima una mwanzo, au mbunifu aliyefanya hiyo kazi, bila shaka ni Mungu hakuna anayeweza kufanya aliyofanya
 
Nasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo.
Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na roho takatifu ambayo waamini wa utatu wanaita roho mtakatifu kama vile ni mtu.
Je Mungu anaonekana? Yesu alionekana
Hakuna aliemuona Mungu hata Musa mwenyewe.
Andiko la Yoh 17:3 lina maana gani? Ikiwa Yesu ni Mungu?
Methali 8:30 ina maanisha nini?
Mwanzo 1:26 Mungu alikuwa akizungumza na nani?

Ningependa kupata majibu ya maandiko, jibu hoja kwa andiko ili tuamini unachosema.
Maandiko yapo mengi sana yanayo tifautisha Mungu, Yesu na roho/nguvu ya Mungu ya utendaji.
aliumbwa na nini Huyo yesu wa mashaidi wa yehova maana huyu wa yohana 1 :1 -3 biblia inasema pasipo YEYE hakikufanyika chochote
 
Attachments

  • Screenshot_20221224-135810_Bible.jpg
    Screenshot_20221224-135810_Bible.jpg
    148 KB · Views: 11
Uzuri ni kwamba haya mambo yapo practically
Kama ni jina la Yesu - kuna mapepo yanapiga kelele yakisikia jina hili
Kama ni Roho Mtakatifu - anadhirika katika maombi kwa uwazi ( kuna nguvu huja na msisimko na ndoto muda wa maombi - kwa wanaosali katika roho na sio mwilini)
Kama JEHOVAH (Baba) - Hauwezi ukamjua kama humjui Yesu na Roho mtakatifu

Ukimuita Allah atatoa ishara yoyote?
Umemaliza
 
Dhehebu langu linahusianaje?. Hivi biblia inabadilika kulingana na dhehebu ama kanisa unalosali?.
We jibu kwa mujibu wa biblia na sio kwa mujibu wa dhehebu ama kanisa
Shenzi type . We sio Mkristo
Upo ki-ubishani na sio kutaka kulewa usipo paelewa
 
anzia msitari wa 16 apo uliposema n mzaliwa wa kwanza ,, endelea 17 na 18 anaposema katika KRISTO vitu vyote viliumbwa( kama aliumba vitu vyote yeye aliumbwa na nini sasa hutaona hakuumbwa) maana anaendelea mbele kuseama YEYE amekuwepo kabla ya vitu vyote na tena pasipo YESU KRISTO hakuna kilichoumbwa na kilichokuwepo kabla yake lbda kama lengo lako ni kutete mashaidi wa YEHOVA ...lkn kaa ukijua kuna wa 3 washuhidiao mbinguni tena wote ni MUNGU wenye kujua yote, wenye nguvu zote zisizo na ukomo, wenye kuwapo kila sehem kwa wakat mu1.
Kuna haja gani ya kuwa na majina tofauti ili hali ni mtu huyo huyo? Kwani Yesu au YEHOVA?
 
Kama wewe. Ni mkristo na hujui Baba,mwana na Roho mtakatifu Imani yako imetindikiwa kwa sababu hapo ndipo penye Imani ya mkristo.Hata Yesu akawaambi wafuasi pokeeni roho mtakatifu na kila mtakaye msamehe dhambi na mbinguni imefutwa.Yoh 20:22-23.
 
Nasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo.
Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na roho takatifu ambayo waamini wa utatu wanaita roho mtakatifu kama vile ni mtu.
Je Mungu anaonekana? Yesu alionekana
Hakuna aliemuona Mungu hata Musa mwenyewe.
Andiko la Yoh 17:3 lina maana gani? Ikiwa Yesu ni Mungu?
Methali 8:30 ina maanisha nini?
Mwanzo 1:26 Mungu alikuwa akizungumza na nani?

Ningependa kupata majibu ya maandiko, jibu hoja kwa andiko ili tuamini unachosema.
Maandiko yapo mengi sana yanayo tifautisha Mungu, Yesu na roho/nguvu ya Mungu ya utendaji.
na unaposema nini maana ya yohana 17..3 nenda soma mpaka msitari wa 5 anaposema sasa unitukuze mimi pamoja nawe kwa utukufu ule niliokuwa nao kabla ya ulimwengu kuwako,,, lbda kama hujui maana ya ulimwengu ni dunia sayar zote mbalamwez zote vacuum zote living and non living things before any living and non living thing the 3 coexsting powers were there🙄🙄🤒
 
Yesu ndio kiumbe wa kwanza kuumbwa baada ya yeye vitu vyote vikaumbwa kupitia yeye
kwa kusema hv bas n dhahiri ivo vitu ( materias) vilivotumika kumuumba yesu wa mashaidi wa yehova vilikuwepo kabla yake na tena huyo yesu wa mchongo wa mashahid wa yehova sio alfa na omega kama inavosema ufunuo wa yohana 1 fungu la 8
 
na unaposema nini maana ya yohana 17..3 nenda soma mpaka msitari wa 5 anaposema sasa unitukuze mimi pamoja nawe kwa utukufu ule niliokuwa nao kabla ya ulimwengu kuwako,,, lbda kama hujui maana ya ulimwengu ni dunia sayar zote mbalamwez zote vacuum zote living and non living things before any living and non living thing the 3 coexsting powers were there🙄🙄🤒
Usipende kulazimisha maana ya biblia iende unavyotaka, kwa hiyo mstari huyo una maana gani
 
Mungu hayupo over kanywe bia sasa ufurah ....mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna MUNGU[emoji56][emoji56][emoji856][emoji40]
Upumbavu kuweza kuwapo nao ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, kwa upendo wake mkuu, angeumba ulimwengu ambao upumbavu hauwezi kuwepo.

Kwa hivyo, hata kama kweli mimi ni mpumbavu, huo nao ni uthibitisho Mungu huyo hayupo.
 
Back
Top Bottom