Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

Nipe andiko
Screenshot_20221224-140836.png
 
Upo sahihi
Hivyo unakubari kuwa YESU/MASIHA ni msaidiz wa MUNGU/YEHOVA
na alimleta DUNIANI ili kutukomboa sisi tuliokuwa tumepotea kwa kumfanya BIKIRA MARIA kupata MIMBA kwa uwezo wake JEHOVA/MUNGU kwa maana yesu akazariwa bila BABA

Ni kama vile alivyomtoa HAWA/EVA UBAVUNI mwa ADAM kuwa masaidizi wa ADAM
kwa maana hiyo EVA aliumbwa bila MAMA
Kama YESU alivyoumbwa bila BABA
Ili kusudi kutimiza kile ambacho YEHOVA/MUNGU alikikusudia hapa DUNIANI
 
Hata na wewe Akili huna kama unabisha thibitisha kama unazo
Hata kama kweli sina akili, hilo bado linathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Kwa sababu, angekuwepo, kwa uwezo wake, ujuzi wake na upendo wake mkuu, angefanya kila mtu awe na akili.

Kwa hivyo, ikiwa kweli sina akili, hilo nalo linathibitisha Mungu hayupo.
 
UTATU MTAKATIFU

Mungu ni mmoja.

Pia ana nafsi 3:
Baba ni Mungu
Mwana ni Mungu John 1:1-3, Phil. 2:6-7
Roho Mtakatifu ni Mungu.

Hatuwezi kuwatofautisha lakin watotofautiana kwa kazi zao.

Mungu yu katika uwingi
Genesis 1:26 Tumfanye mtu kwa mfano wetu
Genesis 3:22 Amekuwa mmoja wetu
Genesis 18:1 Malaika watatu

Kama lugha ya kiingereza unaelewa nenda kweny hii website

Hata kama kweli sina akili, hilo bado linathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Kwa sababu, angekuwepo, kwa uwezo wake, ujuzi wake na upendo wake mkuu, angefanya kila mtu awe na akili.

Kwa hivyo, ikiwa kweli sina akili, hilo nalo linathibitisha Mungu hayupo.

Sasa kama huna akili utathibitisha vp kama Mungu hayupo nawe huna akili?
 
Hivyo unakubari kuwa YESU/MASIHA ni msaidiz wa MUNGU/YEHOVA
na alimleta DUNIANI ili kutukomboa sisi tuliokuwa tumepotea , kwa kumfanya BIKIRA MARIA kupata MIMBA kwa uwezo wake JEHOVA/MUNGU kwa maana yesu akazariwa bila BABA
Bikira Maria alipata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakifu ,
Mathayo 1 : 18 " Basi, hivi ndivyo Yesu Kristo alivyozaliwa: Maria, mama yake, alikuwa ameposwa na Yosefu. Lakini kabla hawajakaa pamoja kama mume na mke, alionekana kuwa mjamzito kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. "
 
JEHOVAH ni MUNGU Baba na sio Yesu (MUNGU Mwana).
MUNGU alimwambia Musa amwite JEHOVAH . Na Musa hakuwahi kuiona sura ya MUNGU , kwa hiyo huyo ndiye MUNGU Baba - haonekani
Mara yesu ndiye mungu mkuu muumbaji,mbona hamueleweki,huyo yehova hamjawahi hata kumuomba,mnamuomba yesu tu na ndiye kila kitu
 
Hicho ni KIBURI CHA ![emoji12]
Hujathibitisha Mungu yupo.

Kiukweli watu wanaisema Mungu yupo ndio wana kiburi.

Wamejiwekea kiburi cha kusema wanajua chanzo cha ulimwengu, na chanzo hicho ni huyo Mungu wao.

Sisi tunaobisha ni watu wanyenyekevu sana.

Tunajua ulimwengu ni mgumu sana kuuelewa, tumejishusha kwa unyenyekevu tukisema kwamba ulimwengu huu maswali yake ni makubwa sana, na hili jibu jepesi la Mungu ni kiburi, tena cha kijinga.

Unyenyekevu wetu unatutaka tukubali hatujui majibu, tufanye uchunguzi kujua majubu zaidi kuhusu chanzi cha ulimwengu, maisha na kika kitu.

Kwa hivyo, you have it backwards.

Watu wanaosema wao wanamjua Mungu ndiyo wenye kiburi.

Sisi tunaohoji hii imani na kutafuta majibu ya kina ni wanyenyekevu sana, tunajua ulimwengu una maswali magumu yasiyotaka kukurupuka kwa kutoa majibu ya kiimani ambayo hayapi kwenye research.
 
Hata kama kweli sina akili, hilo bado linathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Kwa sababu, angekuwepo, kwa uwezo wake, ujuzi wake na upendo wake mkuu, angefanya kila mtu awe na akili.

Kwa hivyo, ikiwa kweli sina akili, hilo nalo linathibitisha Mungu hayupo.
Na pia kukosa kwako Akili ndio uthibitisho kua Mungu mwenye enzi yupo
 
Sasa kama huna akili utathibitisha vp kama Mungu hayupo nawe huna akili?
Nakwambia hivi, mtu yeyote kukosa akili ni uthibitisho Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo angegawa akili kwa kila mtu bila uchoyo.

Umeelewa?
 
Mara yesu ndiye mungu mkuu muumbaji,mbona hamueleweki,huyo yehova hamjawahi hata kumuomba,mnamuomba yesu tu na ndiye kila kitu
Wewe mwenyewe ndiyo huelewi
Kutokana haupo kujifunza , bali kutaka kubisha
Weka kwana utayari wa kujifunza , ndipo utelewa.
Ukitaka Bablishi , tema kwanza karanga zilizo mdomoni
 
Nakwambia hivi, mtu yeyote kukosa akili ni uthibitisho Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo angegawa akili kwa kila mtu bila uchoyo.

Umeelewa?

Yupo na uthibisho wake ni wewe kukosa akili.
 
Wewe mwenyewe ndiyo huelewi
Kutokana haupo kujifunza , bali kutaka kubisha
Weka kwana utayari wa kujifunza , ndipo utelewa.
Ukitaka Bablishi , tema kwanza karanga zilizo mdomoni
Naisikia na kuisoma hiyo Imani tangu 1990s mlipokua mkituletea biblia na majarida shuleni,yaani nielewe advanced mathematics nisielewe utatu!!..zamani yesu hakuitwa mungu,si walokole Wala Roma,nawajua wote sababu walokole wakifanyia ibada zao shuleni na Roma nimeingia Sana na Nina rafiki wengi,hapa kati 2000 ndiyo yesu kawa mungu na ndiye anayeoombwa na hata mapepo yanamuogopa yakisikia tu jina,hata msamaha anaombwa yesu,awali ilikua mungu baba,mwana na roho mtakatifu,siku hizi mungu mwana na baba ni kitu kimoja
 
Unalazimisha mpaka aibu naona mimi.

Hakuna aibu wewe ni mgumu kuelewa Kiranga halafu unashangaza sana kwanini unashikila hoja ya kukosa kwako akili ndio iwe dalili ya kutokuwepo Mungu Mwenye enzi isiwe ndio dalili ya KUWEPO MUNGU MWENYE ENZI NA UPENDO?
 
Back
Top Bottom