Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

Ukristo hauna mafundisho haya, unapotosha.
 
Ndiyo umemaliza hapo?

Uumbaji ni nini na unathibitishaje Mungu huyo yupo?
Ndio nimemaliza, mpangilio huu wa ulimwengu lazima una mwanzo, au mbunifu aliyefanya hiyo kazi, bila shaka ni Mungu hakuna anayeweza kufanya aliyofanya
 
aliumbwa na nini Huyo yesu wa mashaidi wa yehova maana huyu wa yohana 1 :1 -3 biblia inasema pasipo YEYE hakikufanyika chochote
 

Attachments

  • Screenshot_20221224-135810_Bible.jpg
    148 KB · Views: 11
Umemaliza
 
Dhehebu langu linahusianaje?. Hivi biblia inabadilika kulingana na dhehebu ama kanisa unalosali?.
We jibu kwa mujibu wa biblia na sio kwa mujibu wa dhehebu ama kanisa
Shenzi type . We sio Mkristo
Upo ki-ubishani na sio kutaka kulewa usipo paelewa
 
Kuna haja gani ya kuwa na majina tofauti ili hali ni mtu huyo huyo? Kwani Yesu au YEHOVA?
 
Kama wewe. Ni mkristo na hujui Baba,mwana na Roho mtakatifu Imani yako imetindikiwa kwa sababu hapo ndipo penye Imani ya mkristo.Hata Yesu akawaambi wafuasi pokeeni roho mtakatifu na kila mtakaye msamehe dhambi na mbinguni imefutwa.Yoh 20:22-23.
 
na unaposema nini maana ya yohana 17..3 nenda soma mpaka msitari wa 5 anaposema sasa unitukuze mimi pamoja nawe kwa utukufu ule niliokuwa nao kabla ya ulimwengu kuwako,,, lbda kama hujui maana ya ulimwengu ni dunia sayar zote mbalamwez zote vacuum zote living and non living things before any living and non living thing the 3 coexsting powers were there๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿค’
 
Yesu ndio kiumbe wa kwanza kuumbwa baada ya yeye vitu vyote vikaumbwa kupitia yeye
kwa kusema hv bas n dhahiri ivo vitu ( materias) vilivotumika kumuumba yesu wa mashaidi wa yehova vilikuwepo kabla yake na tena huyo yesu wa mchongo wa mashahid wa yehova sio alfa na omega kama inavosema ufunuo wa yohana 1 fungu la 8
 
Usipende kulazimisha maana ya biblia iende unavyotaka, kwa hiyo mstari huyo una maana gani
 
Mungu hayupo over kanywe bia sasa ufurah ....mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna MUNGU[emoji56][emoji56][emoji856][emoji40]
Upumbavu kuweza kuwapo nao ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, kwa upendo wake mkuu, angeumba ulimwengu ambao upumbavu hauwezi kuwepo.

Kwa hivyo, hata kama kweli mimi ni mpumbavu, huo nao ni uthibitisho Mungu huyo hayupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ