Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

Unaelewa nikikuuliza kuwa chanzo ni kitu cha lazima au si kitu cha lazima, ukijibu kwamba chanzo ni kitu cha lazima kwa vingine vyote, ukimuondoa Mungu, ambaye hana mwanzo, ulichojibu hapo kimsingi ni kusema kwamba chanzo si kitu cha lazima?

Yani ni kama nimekuuliza, wilaya ya Ilala inapatikana katika nchi ya Tanzania au haipatikani katika nchi ya Tanzania?

Halafu unanijibu kwamba, ukiutoa mkoa wa Dar es salaam, ulio nchini Tanzania, ambao una wilaya ya Ilala, wilaya ya Ilala haipatikani Tanzania.

Kwa nini unataka kuuondoa mkoa wa Dar es salaam wakati swali langu halijauliza uuondoe mkoa wa Dar es salaam?

Kwa nini unasema "licha ya Mungu" wakati swali langu halikuuliza "licha ya Mungu"?
Tayari nimekujibu post # 209. Kitu asilia hakina chanzo, na wewe unajua hivyo.

Huo mfano wako ni wa kiporojo zaidi kuliko uhalisi. Hauna afya ya mjadala wetu. Rudi kwenye hoja ya uwepo wa Mungu au la.

Hoja yangu ilijengwa katika msingi wa "Licha ya Mungu" kwa kuwa natambua uwepo wa Mungu. Nisingefanya hivyo, ningekuwa nimeikubali kizembe hoja dhaifu. Hata hivyo, kwa nini unakerwa na hiyo sentensi?
 
Kumbukumbu la Torati 6:4 Sikiza, Ee Israeli; BWANA, Mungu wetu, BWANA ndiye mmoja.

1 Yohana 5:8 Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja.

Utatu Mtakatifu ni Mungu Mmoja katika Nafsi Tatu. Hatuna Mungu Watatu. Tuna Mungu Mmoja katika Nafsi Hai Tatu.
 
Kwanza hakuna jina la Mungu linaitwa Jehova, Mungu hana Jina
 
Tayari nimekujibu post # 209. Kitu asilia hakina chanzo, na wewe unajua hivyo.

Huo mfano wako ni wa kiporojo zaidi kuliko uhalisi. Hauna afya ya mjadala wetu. Rudi kwenye hoja ya uwepo wa Mungu au la.

Hoja yangu ilijengwa katika msingi wa "Licha ya Mungu" kwa kuwa natambua uwepo wa Mungu. Nisingefanya hivyo, ningekuwa nimeikubali kizembe hoja dhaifu. Hata hivyo, kwa nini unakerwa na hiyo sentensi?
Ukishasema kitu asilia hakina chanzo, ushakubali kwamba chanzo si kitu cha lazima.
 
Yohana 1:1
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

Yohana 1:2
Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.

Yohana 1:3
Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
Kwanza anza na maandiko hayo halafu ubishe kuhusu Mungu katika nafsi zake. Mimi naamini Mungu ni mmoja ambaye hujigawanya katika nafsi tofauti kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake.

1 Yohana 5:6
Huyu ndiye aliyekuja kwa maji na damu, Yesu Kristo; si katika maji tu, bali katika maji na katika damu.

1 Yohana 5:7
Naye Roho ndiye ashuhudiaye, kwa sababu Roho ndiye kweli.

1 Yohana 5:8
Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja.
Kumbuka Mungu alishasema hawezi kututokea sisi tumuone kama alivyo katika ubinadamu wetu maana tukimuona kutokana na dhambi tutakufa, hivyo alikuja kama mwanadamu ili tuishi naye na kukombelewa kutoka dhambini. Yesu alikuwa binadamu kwa asilimia mia moja na mwanadamu asilimia mia moja.
 
So mungu yesu pale msalabani alikua anamlilia nani!?..na aliyemtia mimba Maryam nani!?..na neno wa yohana ni nani,na aliyemtuma yesu nani!?
 
Kama wewe. Ni mkristo na hujui Baba,mwana na Roho mtakatifu Imani yako imetindikiwa kwa sababu hapo ndipo penye Imani ya mkristo.Hata Yesu akawaambi wafuasi pokeeni roho mtakatifu na kila mtakaye msamehe dhambi na mbinguni imefutwa.Yoh 20:22-23.
Hii ilikuwa siku ya Pentecoste ambapobwatu 3000 walibatizwa
 
Nimeamrishwa kupigana na watu wote mpaka waseme La ilah ila Allah Muhammad rasul allah
Sasa Huyo allah mpaka akuambie upigane kusambaza imani ya MUDI NA MAARABU WENZIE MBONA MAYAHUDI WAMEMUSHINDWA MPAKA LEO!!!TATIZO SISI SIO MAARAABU MWAMBIE HUYO allah na MUDI SISI TUNASEMA YESU NI MUNGU NA HAKUNA ANAEWEZA KUTUPIGA NA SIFA YA MUNGU WETU NI UPENDO!!!!
 
😂😂,Mambo ya imani hayalazimishwi, maana ni vitu za kubuni,, kuna wanaoabudu mtu kama wewe, kuna wanaoabudu ng'ombe, etc,,
Kila mtu yuko huru kuabudu chochote
 
Nimeamrishwa kupigana na watu wote mpaka waseme La ilah ila Allah Muhammad rasul allah
Hebu mndenge pata ilimu!
Uislamu [emoji56][emoji56]
[emoji116][emoji116]
: وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ

[ ASH-SHUURA - 7 ]
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Miji na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.
: وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ

[ ASH-SHUA'RAA - 214 ]
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.

claims!; Saudi author Muhammad al-Arifi Wahab Cleric said:

ARABS are the true Muslims and the true descendants of Prophet Muhammad (pbuh)..

"Non—Arabs who without shame, called themselves Muslims are just plain Converts whom are lowly cowards with unhonourable souls That were overwhelmed with ease by the Swords of Allah, thus they deserved to be called as our Dogs."
 
So mungu yesu pale msalabani alikua anamlilia nani!?..na aliyemtia mimba Maryam nani!?..na neno wa yohana ni nani,na aliyemtuma yesu nani!?
Alikuwa Anamlilia Mungu Akiwa Ktk Hali yake ya Ubinadamu Kamili!
Sema Mungu Hawezi!
 
JEHOVAH ni MUNGU Baba na sio Yesu (MUNGU Mwana).
MUNGU alimwambia Musa amwite JEHOVAH . Na Musa hakuwahi kuiona sura ya MUNGU , kwa hiyo huyo ndiye MUNGU Baba - haonekani
Musa aliabudu dini gani?
 
Kwanza hakuna jina la Mungu linaitwa Jehova, Mungu hana Jina
Umesoma Mungu hana jina kulingana kitabu gani!
Andika huo mstari hapa? Mm nitakuonyesha mistari yenye kuonyesha Mungu ana jina!
 
Uzuri ni kwamba haya mambo yapo practically
Kama ni jina la Yesu - kuna mapepo yanapiga kelele yakisikia jina hili
Kama ni Roho Mtakatifu - anadhirika katika maombi kwa uwazi ( kuna nguvu huja na msisimko na ndoto muda wa maombi - kwa wanaosali katika roho na sio mwilini)
Kama JEHOVAH (Baba) - Hauwezi ukamjua kama humjui Yesu na Roho mtakatifu

Ukimuita Allah atatoa ishara yoyote?

Inategemea Allah unamuita katika kitu gani. Na pia jifunze kuwa Uislamu hauamini katika miujiza kama nyie. Tunaamini atakalotaka Mola ndio litakalotokea sio kulazimisha wewe unavyotaka. Keep Allah out of you nonsense.
 
Nilijibu hoja hiyo post # 209.
Uliandika hivi.

"Mungu ni asili. Licha ya asili, sijakubali kwamba chanzo sio kitu cha lazima."

Unaelewa hapa umekubali kwamba chanzo si kitu cha lazima?
 
Alikuwa Anamlilia Mungu Akiwa Ktk Hali yake ya Ubinadamu Kamili!
Sema Mungu Hawezi!
Kama mungu alikua katika Hali ya ubinadam,alikua akimlilia nani Sasa!?..maana huko akaako mungu haikuwepo alikua galilaya
 
Uliandika hivi.

"Mungu ni asili. Licha ya asili, sijakubali kwamba chanzo sio kitu cha lazima."

Unaelewa hapa umekubali kwamba chanzo si kitu cha lazima?
Unaweza kufafanua kukubali kwangu katika hiyo post?
 
Back
Top Bottom