ProfessorReyes
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 382
- 465
Mambo ya imani za watu.
Wewe yanakuhusu nini
Wewe yanakuhusu nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naona kama umepotosha. Mfumo wa kiungu hakuna aujuae. Mambo ya utawala wa urais yalitokana na ufalme na mambo ufalme yalitokana na waisrael kuiga mfumo wa wapagani wa wakati huo.Kwa sababu , hakuna jipya chini ya jua.
Yote tunayoyafanya ni remix
Serikali / Utawala / Madaraka yameanzia mbinguni
Kuheshimu cheo cha chini , kabla ya cha juu kabisa - yameanzia mbinguni
Boss , mbinguni kuna serikaliMkuu naona kama umepotosha. Mfumo wa kiungu hakuna aujuae. Mambo ya utawala wa urais yalitokana na ufalme na mambo ufalme yalitokana na waisrael kuiga mfumo wa wapagani wa wakati huo.
Maana kabla ya hapo( Sauli kupewa ufalme) Taifa la Israel liliongozwa na kuhani. Ambao ndio ulikuwa mpango wa Mungu
Hivyo kufananisha utawala wa urais yaani mifumo ya kiserikali na mfumo wa kiungu ni upotoshaji.
Kifungu cha 15 kunasema naye ni mfano hivyo sio Mungu kamili bali mfano. Je nikisema( kwa mawazo yangu) kuwa kinachoongelewa hapa ni like wazo la Mungu yaani Idea .anzia msitari wa 16 apo uliposema n mzaliwa wa kwanza ,, endelea 17 na 18 anaposema katika KRISTO vitu vyote viliumbwa( kama aliumba vitu vyote yeye aliumbwa na nini sasa hutaona hakuumbwa) maana anaendelea mbele kuseama YEYE amekuwepo kabla ya vitu vyote na tena pasipo YESU KRISTO hakuna kilichoumbwa na kilichokuwepo kabla yake lbda kama lengo lako ni kutete mashaidi wa YEHOVA ...lkn kaa ukijua kuna wa 3 washuhidiao mbinguni tena wote ni MUNGU wenye kujua yote, wenye nguvu zote zisizo na ukomo, wenye kuwapo kila sehem kwa wakat mu1.
Sijakataa kuhusu uwepo wa serikali bali ni serikali ya mfumo upi hili ndio suala la msingi. Sidhani kama hujui kuwa kuna kuwa serikali ni neno pana na kuna mifumo mingi ya kiserikali. Sasa wewe umetumia kigezo gani kuhusisha uongozi wa ki-Mungu na mfumo wa kiserikali wa urais? Mbona hukutumia mfumo wa Kifalme au wa kidini? Au wa kiimla? Je vipi kuhusu mfumo wa kijima?Boss , mbinguni kuna serikali
Philippians 3:20 ERV "But the government that rules us is in heaven. We are waiting for our Savior, the Lord Jesus Christ, to come from there."
Hoja zako zote ni za kufirika . Hauna maandiko yanayo nipingaSijakataa kuhusu uwepo wa serikali bali ni serikali ya mfumo upi hili ndio suala la msingi. Sidhani kama hujui kuwa kuna kuwa serikali ni neno pana na kuna mifumo mingi ya kiserikali. Sasa wewe umetumia kigezo gani kuhusisha uongozi wa ki-Mungu na mfumo wa kiserikali wa urais? Mbona hukutumia mfumo wa Kifalme au wa kidini? Au wa kiimla? Je vipi kuhusu mfumo wa kijima?
Mkuu Serikali ya ki-Mungu haina mfanano na hizi za kidunia. Hizi habari za kufananisha ni propaganda tu. Naamini Mungu yupo ila watu wanatafsiri nyingi kuhusu Mungu mpaka wakaleta mifumo ya kipagani kwenye dini.
Nanukuu kwako;Unaweza kuanza wewe kukubali kwamba umekubali chanzo si lazima?
Huyo kaka yako mimi nakubali inawezekana akawepo, si ajabu, lakini ana chanzo.
Mungu wako ana chanzo?
Unajuaje kwamba kuna Mungu ambaye hana chanzo, na hilo si wazo lako tu? Thibitisha Mungu huyo yupo. Usiseme tu kwa maneno matupu kwamba yupo. Kwa maneno matupu unaweza kusema uongo wowote.Nanukuu kwako;
Unaweza kuanza wewe kukubali kwamba umekubali chanzo si lazima?
Nimejibu post # 252
Huyo kaka yako mimi nakubali inawezekana akawepo, si ajabu, lakini ana chanzo.
Hapo huna uhakika na jibu lako kwa kutumia kauli ya inawezekana akawepo. Toa hoja bila kusita ili upate jibu sahihi.
Mungu wako ana chanzo?
Mungu wetu ni asili, hana chanzo.
Biblia inamwita Roho Mtakatifu wewe unaita Roho Takatifu! Unatumia Biblia ya wapi? Dah; Shetani is so powerful.Majibu sahihi yapo. Biblia ina majibu sahihi. Ukitafuta kwa bidii utayapata.
MUNGU hana nafsi tatu bali MUNGU kama MUNGU ni ROHO na ROHO hizo ziko SABA.
Kuna MUNGU BABA ambaye ni ROHO kwa asili (hana mwili wala umbo) na kuna MUNGU MWANA (KRISTO) ambaye naye hapo mwanzo alikuwa ROHO (NENO) lakini baadaye, alifanyika mwili na kuzaliwa kama mwanadamu na kuwa na UMBO la kibinadamu.
ROHO TAKATIFU siyo nafsi ya MUNGU bali ni nguvu au uweza wa MUNGU anaowapa wale wote wanaomtii kwa kuzishika Amri zake na imani ya KRISTO.
Yeyote anayejazwa au kupewa nguvu hii au uweza huu (ROHO TAKATIFU) humbadilisha mtu huyo no kumfanya kuwa mwana wa MUNGU.
Roho Takatifu ni kama umeme ndani ya bulb. Bila nguvu ya umeme bulb haiwezi kuwaka. Roho Takatifu humfanya mtu kuwa kama MUNGU yaani mtu mwenye Roho Takatifu ataishi milele, hata kama akifa, atafufuliwa na kuishi tena milele na milele.
YESU KRISTO naye alikuwa na ROHO TAKATIFU , uweza wa KIMUNGU wa kutenda kama MUNGU na kuishi kama MUNGU.
Hivyo basi ROHO TAKATIFU siyo nafsi ya tatu ya MUNGU. Hayo yote niliyokuandikia hapo juu yanapatikana ndani ya BIBLIA. Someni nanyi mtafahamu.
Mimi sijatoa hoja bali wewe ndio umetoa hoja ya serikali ya mfumo wa urais nilichofanya ni kuja kuchallenge hoja yako ili utoe uthibitisho wa kutosha. Sasa makasiriko ya nini mkuu? Hapa tunajengana sio kubomoa kama una maoni ya kutete hoja yako wewe yatoe tu tujifunze kutoka kwako na sio kusema "mwisho"Hoja zako zote ni za kufirika . Hauna maandiko yanayo nipinga
Katika serikali lazima kuwepo na Kiongozi Mkubwa na Kiongozi chini ya mkubwa na wa chini yake.
Mwisho
Sasa kiongozi wa mkubwa atakuwaje sawa na kiongozi wa chini tena na anayefatia wawe sawa mpaka kuwa na level moja ya Utatu Mtakatifu?Hoja zako zote ni za kufirika . Hauna maandiko yanayo nipinga
Katika serikali lazima kuwepo na Kiongozi Mkubwa na Kiongozi chini ya mkubwa na wa chini yake.
Mwisho
Level moja kivipi?Sasa kiongozi wa mkubwa atakuwaje sawa na kiongozi wa chini tena na anayefatia wawe sawa mpaka kuwa na level moja ya Utatu Mtakatifu?
Nakufananisha na mwanafunzi , aliyepewa mfano wa hesabu katika mtihani - Senti 5 imenunulia pencil 3 za senti 1 , Zitabaki senti ngapi? - Alijibu senti , haiwezi kununulia kituhoja ya serikali ya mfumo wa urais nilichofanya ni kuja kuchallenge hoja yako ili utoe uthibitisho wa kutosha.
#Tusichokijua#
Tatizo una negative attitude mkuu. Ni kweli mimi ni sawa na huyo mwanafunzi uliyemtaja nimekuja kwako kufundishwa badala unifundishe unaanza kunichamba na kuniambia huna muda wa kubishana nami.Nakufananisha na mwanafunzi , aliyepewa mfano wa hesabu katika mtihani - Senti 5 imenunulia pencil 3 za senti 1 , Zitabaki senti ngapi? - Alijibu senti , haiwezi kununulia kitu
Sina muda wa kubishana Boss , unanimalizia muda na MB
Nakujibu kwa kukunukuu kila kipengele:Unajuaje kwamba kuna Mungu ambaye hana chanzo, na hilo si wazo lako tu? Thibitisha Mungu huyo yupo. Usiseme tu kwa maneno matupu kwamba yupo. Kwa maneno matupu unaweza kusema uongo wowote.
Pia, ukishakubali kwamba Mungu wako yupo na hana chanzo, huoni kwamba hapo ushakubali kwamba kuwa na chanzo si jambo la lazima?
Vitabu vitakatifu gani? Umesoma vitabu vutakatifu vingapi? Dunia ina vitabu vitakatifu vingapi?Nakujibu kwa kukunukuu kila kipengele:
Unajuaje kwamba kuna Mungu ambaye hana chanzo, na hilo si wazo lako tu? Sio wazo wangu tu. Najua kwa kusoma historia yake katika vitabu vitakatifu.
Thibitisha Mungu huyo yupo.
Nimesoma historia yake. na mfumo wa kuthibitisha huyu Mungu yupo, haupo.
Usiseme tu kwa maneno matupu kwamba yupo.
Sio maneno matupu. Nimesoma historia yake katika vitabu husika.
Kwa maneno matupu unaweza kusema uongo wowote.
Uwongo hujitenga kwenye ukweli. Tenganisha uwongo wangu kwenye ukweli wako.
Pia, ukishakubali kwamba Mungu wako yupo na hana chanzo, huoni kwamba hapo ushakubali kwamba kuwa na chanzo si jambo la lazima?
Jibu langu unalo kwa kuwa nimeijibu mara kadhaa hoja hiyo.
Kiranga, usinitie ujinga. Hoja yetu si ya vitabu vitakatifu. Rudi kwenye hoja yetu.Vitabu vitakatifu gani? Umesoma vitabu vutakatifu vingapi? Dunia ina vitabu vitakatifu vingapi?
Umejiridhishaje hivyo vitabu vitakatifu ulivyosoma wewe ndiyo sahihi kati ya maelfu ya vitabu vitakatifu vinavyopingana?
Unaelewa vitabu vitakatifu licha ya kila kimoja kupingana na kingine, kila kimoja kinajipinga chenyewe?
Kwani nani kaleta hoja ya vitabu vitakatifu hapa? Mimi au wewe?Kiranga, usinitie ujinga. Hoja yetu si ya vitabu vitakatifu. Rudi kwenye hoja yetu.
Nasisitiza tena, Mungu yupo na hana chanzo.
Atheism is the religion! Naona unatetea doctrines zenu [emoji4]Hata huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote unayesema yupo hana uhalisia.
Ndiyo maana ukiambiwa uthibitishe yupo huwezi.
Unaishia kutapatapa na hoja mufilisi tu. Hoja ambazo tukiziweka katika darubini kali zinaonekana kukosa mashiko.
Habari ya kuwapo huyo Mungu haina tofauti na habari yavm kuwapo James Bond 007.
Wote wawili, Mungu na James Bond 007, ni characters katika hadithi za kutungwa na watu.
Ndiyo maana huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.