Funga mwaka: Ukweli usemwe kuhusu mambo matatu yaliyomshinda Hayati Magufuli

Attachments

  • images (1).jpeg
    27.8 KB · Views: 3
  • download.jpeg
    10.7 KB · Views: 4
Tatizo alikuwa mwongo alafu hao mabeberu ni kina nani hasa ????
 
Wafanyabiashara wakwepa kodi?
Sio wote waliokwepa kodi kwani wale waliokua wakifuatwa na kuambiwa watoe hela walikwepa kodi na tra wanafanya nn kama walikwepa kodi ukandamizaji tu ndio uliendelea.

Basi tu marehemu hasemewi vibaya ila magu kuna upande alikua anatesa watu kipumbavu sana alaf unakuta jitu linatetea kwakua halikua na biashara wala chochote kula kwa shemeji ndo kama ww
 
Huko CCM ushoga unakubalika sana
 
Akili fupi sana hata kuandika nishida kwako.
Nyie ndio vyeti feki wenyewe.

Ukiona mtu anashindwa kunyoosha sentence zake vizuri kama wewe ujue ni standard seven failure.
Kwa sababu umetaka ligi ya lugha, twende kwenye ligi ya lugha.

Wewe usiyejua kuandika "ni shida" unaandika "nishida", ndiye wa kunirekebisha lugha mimi?

Wewe usiyejua kuandika "sentensi" Kiswahili, unaandika "sentence" ndiye wa kunirekebisha mimi Kiswahili?

Wewe unayepima elimu kwa madarasa ndiye unajiona una akili?

Wewe guluguja tu, unajibinuabinua umeshindwa kujibu hoja unamshambulia mtoa hoja.

Typical ad hominem attack from a pompous nincompoop.
 
Ndugu mwana JF tambua kwamba ulambaji wa asali ni mzuri kwa afya yako [emoji23][emoji1787][emoji1787]


Mwisho wa kunukuu.
Ndio maana mwenyekiti anakwenda kulamba mara kwa mara ili kuendelea kuijenga afya yake.
 
... Lugha iligoma kabisa kabisa!
... Ukatili uligoma kabisa.
... Majivuno, kiburi, dharau vilitia makao.
Ujinga ni mzigo walituasa wahenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…