Funga mwaka: Ukweli usemwe kuhusu mambo matatu yaliyomshinda Hayati Magufuli

... Lugha iligoma kabisa kabisa!
... Ukatili uligoma kabisa.
... Majivuno, kiburi, dharau vilitia makao.
Ujinga ni mzigo walituasa wahenga.
Mkuu mlamba asali ana lipi la kutuambia? Mbona alienda kulamba asali kimya kimya na akaondoka kimya kimya bila kuwashirikisha wenzake na kuwajuza chawa wake?
 
Bado hamuamini kama alikufa. Hakuna namna ni kuendelea na taratibu zilizopo tufanyeje sasa!
 
Kalemani anahangaika sana. Pole, nchi hii leo ina furaha na amani.
 
DJ akisikia hamu ya asali tu anaenda magogoni alambe kidogo ndio maana Lissu na Lema wameshtuka wanataka walambe wote
 
Bado hamuamini kama alikufa. Hakuna namna ni kuendelea na taratibu zilizopo tufanyeje sasa!
Na kweli tunafanya siasa. Si unaona mwenyekiti amekwenda peke yake kulamba asali bila hata kumshirikisha katibu mkuu wake. Maana hataki watu wajue kama ni mtu wa system.
 
Kalemani anahangaika sana. Pole, nchi hii leo ina furaha na amani.
Hakika amani ipo kwa mwenyekiti kulamba asali peke yake bila kumshirikisha mtu yeyote wa chama chake. Hii inamaanisha kwamba ule msemo wa jamaa kuwa ni mtu wa system una ukweli wa 100%.

Chawa endeleeni kusubiri ukombozi kutoka kwa wanasiasa uchwara wa upinzani.
 
DJ akisikia hamu ya asali tu anaenda magogoni alambe kidogo ndio maana Lissu na Lema wameshtuka wanataka walambe wote
Wale sio watu wa system ndo maana ni ngumu kwenda nao kulamba asali.
Si unaona kila siku anakwenda peke yake ili wenzake wasijue kilichoongelewa.
 
Alishindwa kuwa na Makamu wa Rais wanayeendana mitazamo.
 
Alishindwa kuwa na Makamu wa Rais wanayeendana mitazamo.
Mitazamo ipi, hii ya kumwita mwana system ikulu akalambe asali ili aendelee kukiangamiza chama chake mwenyewe cha upinzani sababu ya njaa zake?
 
George Weah kule LIBERIA ni nani?
Kwa mfano leo huwezi kusema kuwa Kikwete ni mwanajeshi japo aliwahi kuwa mwanajeshi.

Au hauwezi kusema kuwa serikali ya awamu ya nne ilikuwa inaongozwa na mwanajeshi eti kisa anaeongoza aliwahi kuwa mwanajeshi. Kikwete alikiwa mwanajeshi akatoka kwenye jeshi na kuingia kwenye siasa na baadae kuchaguliwa kuwa raisi kama mwanasiasa na sio kama mwanajeshi.

Nadhani umenielewa vizuri.
 
Mbona Nyerere ameitwa Mwalimu mpaka umauti wake na mpaka sasa bado anaitwa mwalimu?
 
Hii thread yako ni kama vile umerusha jiwa moja likauwa ndege wawili. Wapo wanamjadili mwenda ikulu sijui kulamba asali na wanamjadili hayati Magu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…