Fungate (Honeymoon) ni kwa mwanamke uliyemkuta Bikira. Nje ya hapo ni bosheni. Hakuna chafungate hapo Bro

Kama ni hivyo basi wote muwe "bikra"

Wanaume sisi tunapenda sana kujihesabia sana haki.

Wewe umeharibu weee mabinti za watu...
Kwenye kuoa unataka bikra.

Suala liko wazi mtu huvuna alichopanda.
Comments bora kabisa hii, ila nna uhakika ina unafiki ndani yake, kwa kuwa imeguswa uwanja wake. Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha wivu Babu, fungate tunakula na Bado tunaendelea kuinjoy nilimuambia makusudi akurushie mafoto tukurushe roho , kisa TU kukukatalia kuwa na wewe unakuja kulia huku jf , .
Kula paracetamol ulale Mzee, .

We zilipendwa tu
Demu ashafukuliwa kila sehemu, yaani umemkuta kwa mumewe wewe ukajipendekeza ukawa mchepuko eti leo uko fungate?
Hujiulizi bikra ziliwekwa kwa sababu gani?
 
Halafu bruh watu wakienda fungate wewe inakuumiza nn ?? Ikiwa hujamuoa huyo bikra

Wakati mwingine kuna vitu Huwa havimeki sensi kabisa,

Usioe bikira mara mwenye mtoto sjui aliyefiwa

Huwezi na huna mamlaka juu ya maisha ya mwanaume mwenzio kimawazo, mtazamo kiuchumi na mamlaka yake

Kila mmoja anaamua afanye nn ama asifanye nn

Bushmamy kipenzi chetu tunakungoja hapa jukwaani
 
Halafu unaweza kukuta hata hiyo hela ya fungate hana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…