camp konzi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 581
- 1,122
alaa basi sawa ngoja niagize kikombe cha mwisho cha gahawa ili niendelee kusalia apa apaHawa sio wageni kwangu. Sio wageni pia JF kwa hiyo wewe tulia tuu shuhudia kinachoendelea.
Kikawaida wanawake ni wajanja kuliko wanaume wengi. Hapa utajifunza tabia zao ambazo wanawafanyia wanaume wengi lakini kwangu wanajua fika haiwezekani. Wanajua hilo. Alafu nikuibie siri kwa ndani kabisa wanatamani kuzaa watoto wakiume wawe kama Mtibeli. Wasiwe kama hao wanaume misukule wanayoiendesha na kuitumikisha
😂😂😂😂 wewe sio kweli ni utani tu.Utani gani 😅 bushmamy kapotea ghafla labda asirudi mbn huyu atakimbia jukwaa
Sasa hapo ni kuchangamsha genge tu!!! wambea tupo live mpaka mwisho tuujue
Itoke wapi watu wenye hela huo muda wa kukaa na kuandikia watu aya za ngano kama riwaya za takadini anatoa wapi ???Halafu unaweza kukuta hata hiyo hela ya fungate hana.
Hatukusimangi lakini kwa nini uumie watu kwenda honey moon kwa hela zao?
Coca tutegemee uzi kupaa 😅 tuwe serious😂😂😂😂 wewe sio kweli ni utani tu.
😂😂😂Coca tutegemee uzi kupaa 😅 tuwe serious
Hapo umemaliza wanaume wenye pesa hawana kelele kabisa.Itoke wapi watu wenye hela huo muda wa kukaa na kuandikia watu aya za ngano kama riwaya za takadini anatoa wapi ???
Ukute mkewe kaomba vocha ya buku ndipo kaamua kutua humu 😅 kupooza machungu
Nawazaga mtu badala utoe bandiko lenye kujenga hoja unakuja shauri watu juu ya fungate na hela sio zako 😅Hapo umemaliza wanaume wenye pesa hawana kelele kabisa.
Nakumbuka kitu kimoja hivi ngoja bushmamy aje halafu nikumbushie kitu cha nyuma
Mimi sijawahi na sitegemei kuhonga kiumbe anayeitwa mwanaume.Nitumie hela sasa za hao misukule wako. Sio nitoe nguvu zangu bure hapa
Kabisa sasa nae bushmamy sijui kakimbilia wapi??? katuachia vumbi tu 🤣 😂Nawazaga mtu badala utoe bandiko lenye kujenga hoja unakuja shauri watu juu ya fungate na hela sio zako 😅
Huyu kijana hovyo kabisa
Hapo umemaliza wanaume wenye pesa hawana kelele kabisa.
Nakumbuka kitu kimoja hivi ngoja bushmamy aje halafu nikumbushie kitu cha nyuma
Tusabu skraibu uzi 😅Kabisa sasa nae bushmamy sijui kakimbilia wapi??? katuachia vumbi tu 🤣 😂
Mimi sijawahi na sitegemei kuhonga kiumbe anayeitwa mwanaume.
utaratibu huo sina kabisa na dhambi hiyo sitaki kuimiliki.
me tayari fo fyucha refelensiTusabu skraibu uzi 😅
Babu wewee maliza kuongoea yote....Ukiona hivyo. Uliyenaye hajafika kwenye kiti chako cha enzi. Hiyo ndio tafsiri ya maelezo yako.
Ni sawa useme mwanaume bahili. Anakuwa bahili kama hujafika kwenye grade fulani. Hata chuma inayeyuka. Inategemea na kiwango cha moto
😂😂😂TutakufatiliaAsante asante dada leo umetufumbua macho.
Kumbe nyuzi huwa sio mafundisho ni malalamiko ya kuachwa yaliyojificha kwenye kujidai mwandishi.
Nimefanyaje tena aaliyah😂😂😂Tutakufatilia
Ulikutana na muhogo wa jang'ombe ukaamua kuachana na kibamia cha mtibeli!Gubu daily, nani anakutaka Mzee, urefu wa Bure lakini ndani kama mbilimbi TU ndo mana nkakupiga chini mapema sana
Kwamba..🤣🤣Sina wivu.
Ila na wewe uache kunisumbua. Tulia na Bro. Mapenzi yetu yalishaisha. Endelea na maisha yako