Fungate (Honeymoon) ni kwa mwanamke uliyemkuta Bikira. Nje ya hapo ni bosheni. Hakuna chafungate hapo Bro

NDOA INAHITAJI MAMBO MENGI ZAIDI YA HISTORIA YA NGONO
BIKRA SIO KIUNGO NI MYTH!
NB:Hakuna ushahidi wa kisayansi unaoonyesha kwamba mwanamke ambaye hajawahi kufanya ngono ni mke bora kuliko mwanamke ambaye amewahi kufanya ngono.
 
Huyo mpare mwenzio nimempiga na kitu kizito hataki Kuamini Hadi Sasa, ndoa nimefunga na fungate ndo tupo na Ba mzurii lakini haishi kunililia maana haamini
Kumbe na wewe unapenda mambo yetu?🤣🤣

Nilijua huko Arusha ni mirungi na bangi !
 
Na Kwa mwanaume aliye bikira inaitwaje?
 

STRESS HIZI ZITAWAPAGAWISHA WENGI SANA. SISI WANAUME WNGINE HATUPENDI SHIDA ZA KUONDOA BIKRA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…