Fungua jicho la tatu

Hizi mada za kufungua jicho la tatu waachie kina Mshana.Nimesoma huu Uzi umeandika ushuzi mtupu,nimegundua lengo lako ni kuponda uislam na kutukuza ukristo.
Huo uzi unahusu Waarabu, Wazungu na Waafrika...

Kwa hiyo tukiwazungumzia waarabu inamaanisha tumezungumzia waislamu....? Tukidisi wazungu hamsemi kitu, ila tukidisi waarabu unasema tumezungumzia Uislamu... Mbona mnatukuza sana Waarabu...
 
Kwa upande wa uislam dini Yao imejitosheleza Kwa kila kitu Yani Haina editing.Papa juzi kabariki ndoa za wase.nge halafu Bado unakomaa na uislam au hujazisikia hizo taarifa??au unajizima data!!!
Papa sio mkuu wa wakristo, papa ni mkuu wa dhehebu la wakatoliki... Papa aongozi wakristo wote.

Alafu pili mada yangu inaongelea wazungu, waarabu na waafrika... Kwa hiyo tukigusa waarabu ndio tumegusa Uislamu... Ebu nifafanulie kwa nini nilivyoongelea waarabu umeguswa, wakati waarabu ni asili tu? Alafu nioneshe ni wapi nimeponda uislamu
 
Huo uzi unahusu Waarabu, Wazungu na Waafrika...

Kwa hiyo tukiwazungumzia waarabu inamaanisha tumezungumzia waislamu....? Tukidisi wazungu hamsemi kitu, ila tukidisi waarabu unasema tumezungumzia Uislamu... Mbona mnatukuza sana Waarabu...
Kwahiyo hapo ndio umefungua watu jicho la tatu?!!
 
Alitaka kubalance ila chuki hzijifichi zipo real ndio maana karopoka naona kkakazani uislamu .

Hajui chochote nabaki nacheka tu πŸ˜…
 
Hapana bro hapo nimeongelea Waarabu na Wazungu na wafrika... Sijaongelea Dini kihivyo... Wewe hayo mambo ya Dini umeyaleta wewe kaka
Sasa uislamu sio uarabu basi ! Naona umebase sana kwa waislamu.

Hayao tukubali nchi za waislamu zinasapot ushogaπŸ˜…πŸ˜…naona juzi papa katoa tamko unaona uje hapa kutetea.


Tuseme uislamu unasapo ushoga kwa kifupi .
 
Kwa upande wa uislam dini Yao imejitosheleza Kwa kila kitu Yani Haina editing.Papa juzi kabariki ndoa za wase.nge halafu Bado unakomaa na uislam au hujazisikia hizo taarifa??au unajizima data!!!
Mhaya soma hapo
 
Biashara ya utumwa ilianza enzi hata mtume muhamad hajazaliwa na mda huo huo hata marekani haijavumbuliwa
 
Hakuna mahali nimeandika havijulikani, usipakazie maneno... Mimi niko hapa kukufungia jicho la tatu
Kuhusu kusoma umekosea....hizo shule za kikristo wamesoma waislam wengi, maelfu wamemaliza vyuo kila mwaka. Uwiano ni ndogo kulingana na wakristo ila ni wengi tu wasomi wa kiislam, Hapo hakuna ukweli.
 
Hakuna kitu hapo... Imejitosheleza kivipi, mbona waarabu sio wavumbuzi wakati kitabu kimejitosheleza

Wagunduzi wengi ni wagiriki... Ambao kimsingi ni wakristo
Ukristo ulikuja miaka 2000 tu, wagiriki wameendelea zaidi ya miaka 4000+..
 
🀣🀣
 
Wala sikuona sababu yakuanza huko mbali kote,

Ndo shida ya kutaka kusema Jambo ambalo ndani yake Lina ulakini yaan unaanzia mbali kuliko kawaida, umeandika mengi hapa lakin mwisho wasiku ulichotaka kusema hujasema hapa!?

Jicho latatu gan unalosemea wewe la iPhone au?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…