Fungua jicho la tatu

Fungua jicho la tatu

Hizi mada za kufungua jicho la tatu waachie kina Mshana.Nimesoma huu Uzi umeandika ushuzi mtupu,nimegundua lengo lako ni kuponda uislam na kutukuza ukristo.
Huo uzi unahusu Waarabu, Wazungu na Waafrika...

Kwa hiyo tukiwazungumzia waarabu inamaanisha tumezungumzia waislamu....? Tukidisi wazungu hamsemi kitu, ila tukidisi waarabu unasema tumezungumzia Uislamu... Mbona mnatukuza sana Waarabu...
 
Kwa upande wa uislam dini Yao imejitosheleza Kwa kila kitu Yani Haina editing.Papa juzi kabariki ndoa za wase.nge halafu Bado unakomaa na uislam au hujazisikia hizo taarifa??au unajizima data!!!
Papa sio mkuu wa wakristo, papa ni mkuu wa dhehebu la wakatoliki... Papa aongozi wakristo wote.

Alafu pili mada yangu inaongelea wazungu, waarabu na waafrika... Kwa hiyo tukigusa waarabu ndio tumegusa Uislamu... Ebu nifafanulie kwa nini nilivyoongelea waarabu umeguswa, wakati waarabu ni asili tu? Alafu nioneshe ni wapi nimeponda uislamu
 
Huo uzi unahusu Waarabu, Wazungu na Waafrika...

Kwa hiyo tukiwazungumzia waarabu inamaanisha tumezungumzia waislamu....? Tukidisi wazungu hamsemi kitu, ila tukidisi waarabu unasema tumezungumzia Uislamu... Mbona mnatukuza sana Waarabu...
Kwahiyo hapo ndio umefungua watu jicho la tatu?!!
 
Nilipoisoma hii paragragh nikagundua huyu kijana ana mashaka:-

"Ukienda upande wa Waislamu, wanavutiwa sana na Waarabu, yaani mtu akionekana kuwa ni Mwarabu halafu akaenda msikitini kuswali, watu wanaona kama malaika fulani ameingizwa msikitini."

Sijui ni nani alimwambiaga haya maneno, au anaropoka tu kama kanywa maji ya kuchambia ndani ya choo cha umma
Alitaka kubalance ila chuki hzijifichi zipo real ndio maana karopoka naona kkakazani uislamu .

Hajui chochote nabaki nacheka tu 😅
 
Hapana bro hapo nimeongelea Waarabu na Wazungu na wafrika... Sijaongelea Dini kihivyo... Wewe hayo mambo ya Dini umeyaleta wewe kaka
Sasa uislamu sio uarabu basi ! Naona umebase sana kwa waislamu.

Hayao tukubali nchi za waislamu zinasapot ushoga😅😅naona juzi papa katoa tamko unaona uje hapa kutetea.


Tuseme uislamu unasapo ushoga kwa kifupi .
 
Kwa upande wa uislam dini Yao imejitosheleza Kwa kila kitu Yani Haina editing.Papa juzi kabariki ndoa za wase.nge halafu Bado unakomaa na uislam au hujazisikia hizo taarifa??au unajizima data!!!
Mhaya soma hapo
 
Kuna k2 umepotosha,,,waarabu walikuwa wakifanya biashara ya watumwa na wazungu,wazungu walikuwa wanawanunua na kuwapeleka kwenye mashamba mfano ya miwa hukoCUBA, HAITI, BRASIL, AMERICA n.k....sio kwamba walitaka waafirca wasome no{hawana upendo huo} walifanya ivo baada ya mapinduzi ya viwanda na uvumbuzi wa mashine za uzalishaji.

Jiulize kwa nini ina watu weusi kuliko morocco? Walitoka wapi???? na kwa nini uarabuni hamna waafrika wengi kuliko ulaya?

Ulikua unaandika uku unakaanga mayai!!
Biashara ya utumwa ilianza enzi hata mtume muhamad hajazaliwa na mda huo huo hata marekani haijavumbuliwa
 
Hakuna mahali nimeandika havijulikani, usipakazie maneno... Mimi niko hapa kukufungia jicho la tatu
Kuhusu kusoma umekosea....hizo shule za kikristo wamesoma waislam wengi, maelfu wamemaliza vyuo kila mwaka. Uwiano ni ndogo kulingana na wakristo ila ni wengi tu wasomi wa kiislam, Hapo hakuna ukweli.
 
Hakuna kitu hapo... Imejitosheleza kivipi, mbona waarabu sio wavumbuzi wakati kitabu kimejitosheleza

Wagunduzi wengi ni wagiriki... Ambao kimsingi ni wakristo
Ukristo ulikuja miaka 2000 tu, wagiriki wameendelea zaidi ya miaka 4000+..
 
Wakati mwingine nasema sijui niwafumbue watu macho, muone kile watu wengi wanavyoviona ama niache. Nikiandika kidogo, watu wanakuja na kusema bro! Mwisho utakufuru...bro! Haya mambo ni makubwa sana... Na kadhalika.

Nisikilize! Hii dunia ina siri kubwa sana. Ina siri kubwa ambazo ukizisikia utajiona hufahamu kitu chochote kile, ila kwa dunia ya sasa hivi hawataki kuona wewe ukifumbuliwa macho, na yeyote anayejaribu kuwafumbua macho basi wanamuua.

Ndiyo!

Walimuua Dk. Sebi kwa sababu alisema magonjwa yote duniani yanaponywa kwa matunda tu, unaumwa Ukimwi, anakwambia nenda kale tunda fulani na fulani kwa siku kadhaa, unaumwa kansa, anakwambia nenda kale tunda fulani na fulani. Yaani kila mtu anayejifanya kimbelembele ni lazima apotezwe.

Kwa dunia ya sasa hivi ukisema una dawa ya Ukimwi wanakumaliza haraka sana, kwa nini? Ni kwa sababu mambo ya jicho la tatu hutakiwi kuyatoa mbele ya watu wengine, elimu ya jicho la tatu haitakiwi kupokewa na kila mtu, wapokee wachache, na wakae kimya, vinginevyo tunakuua.

Hapa Tanzania kuna mambo mengi ya ajabu huwa yanatokea, ila huwezi kuyaona kama huna pesa. Ukitaka kujua siri za jiji la Dar es Salaam na Tanzania yake basi tafuta pesa.

Kwanza utayasikia na kuyaona usiyowahi kuyaona tangu uzaliwe, kuna vitu huwezi kufumbuliwa macho bila kuwa na pesa, hata hapa duniani kupo hivyohivyo. Unaambiwa matajiri wanajua mpaka kuhusu Mungu. Nawazungumzia matajiri wakubwa duniani, yaani wao wanamjua Mungu wa kweli ni yupi na wa uongo ni yupi! Inawezekana wewe unayemuabudu siyo yule anayejulikana kwamba ni wa kweli, hii ndiyo siri waliyoiweka ambayo hawataki hata tuisikie.

Ukienda upande wa Waislamu, wanavutiwa sana na Waarabu, yaani mtu akionekana kuwa ni Mwarabu halafu akaenda msikitini kuswali, watu wanaona kama malaika fulani ameingizwa msikitini.

Haya mambo yalitengenezwa, yaani si kwa hiari yako bali kuna watu walikaa kikao na kusema tufanye hivi na hivi, Mwarabu aheshimiwe, wakaseti mambo yao, kila kitu kikawa hivyo.

Kwa Wakristo wao Wazungu, wanamuheshimu Mzungu utadhani nini. Bro! Kila kitu kimewekwa hivyo, yaani wanajua ni kipi kinachotakiwa kufanywa.

Leo ukienda Uarabuni ndipo watu wanaongoza kufirwa (Hili neno si tusi, limeandikwa mpaka kwenye Biblia). Wafiraji ni wengi sana Uarabuni, na wanaofirwa ni wengi sana, lakini watu hao hao leo wanakwambia ukifanya hivi kuna lile na hili, jaribu kukaa na msichana aliyekwenda Uarabuni na kuishi huko.

Waarabu na Wazungu wanaongoza kwenye suala la ufiraji lakini kitu kinachotokea kwa Waarabu hawataki kujionesha. Kuna jamaa yangu alipata demu wa Kiarabu akaniambia yule manzi yaani hataki mbele, yeye ni nyuma tu, na nikawa nampelekea moto. Sehemu nyingi ambazo Waarabu wameishi kwa wingi zamani, kwanza hazina maendeleo, la pili michezo ya kufirana imekuwa mingi. Angalia Kilwa, Tanga, Bagamoyo, Dar na sehemu nyingine.

Okay! Tuendelee.

Hii dunia watu walikupangia Mungu wa kumuabudu, wakatengeneza stori nzuri sana za kukuaminisha kila kitu. Wakataka kuona Waafrika wasiendelee, wasishikilie elimu bali dini, na wakafanikiwa.

Leo! Vijana wengi wa Kiislamu wanasimamia dini kuliko elimu ya darasani. Kuna jamaa mmoja alikuwa anazungumzia mambo ya anga tu, kila mtu akawa anamsifia, oya! Huyu Shekhe amesoma sana, yaani anafafanua mambo hatari...mambo aliyokuwa akiyafafanua, niliyajua miaka kumi iliyopita.

Kwa nini walishangaa?

Kwa sababu familia nyingi za Kiislamu zinawataka watoto wakazanie dini kuliko elimu ya darasani. Yaani unaweza kukuta mashehe kumi hakuna hata aliyemaliza kidato cha nne. Wengi wanaishia la saba.

Tunaongea kidogo. Naanzia mbali lakini nitahakikisha tunafika pale tunapotakiwa kufika.

Hii dunia wakati inatawaliwa na Waroma, wao walihakikisha kila mtu anapata elimu. Waroma waliona kabisa hii dunia inapokwenda kuna siku elimu itakuwa muhimu zaidi, nini kufanyike? Kwanza wakahakikisha wanakuwa na elimu kubwa na ndiyo maana wakajenga vyuo vikubwa mpaka kuiba elimu ya Wamisri kwa kuwa walihitaji kujifunza zaidi.

Waroma wakahakikisha wanatoa elimu kwa waumini wao, shule za Kiroma ndizo zinazoongoza Tanzania kwa kufaulisha, ama nadanganya? Ukienda kusomea upadri, huwezi kuwa padri bila kuwa na PhD, kwa nini? Kwa sababu siku zote Waroma wanaamini kwenye elimu.

Ukija kwa Waarabu, wao wanaamini kwenye pesa, utajiri na biashara. Tangu zamani Mwarabu alikuwa mfanyabiashara mkubwa sana. Hakukuwa na mfanyabiashara wa Kiarabu aliyesitisha utumwa, wao waliuza na kununua watumwa, Wazungu ndiyo walipiga marufuku utumwa, kwa nini? Kwa sababu waliona mbali na yote huyu mwafrika alitakiwa kusoma.

Waarabu wakaleta umwinyi. Wakawa hawafanyi kazi kwa kuwa wana pesa. Sasa walipokuja huku Afrika, wakaambukiza hicho kitu na ndiyo maana ukienda Tanga wazee wapo wanacheza bao tu, ukienda Kilwa na kwingine, kule kote Mwarabu alipeleka mambo yake, Waafrika tukayachukua bila kujua kwamba huyu aliyetuletea haya mambo yeye ni tajiri, hata asipofanya kazi atakula.

Braza! Bado sijafika pale ninapotakiwa kufika na kujaribu kukuonesha jicho la tatu linaonekanaje kwenye hii dunia. Nitataka ujifunze baadhi ya mambo, usikasirike, wewe soma hapa kisha yachukue yale muhimu, yale mabaya, yapotezee.
Wala sikuona sababu yakuanza huko mbali kote,

Ndo shida ya kutaka kusema Jambo ambalo ndani yake Lina ulakini yaan unaanzia mbali kuliko kawaida, umeandika mengi hapa lakin mwisho wasiku ulichotaka kusema hujasema hapa!?

Jicho latatu gan unalosemea wewe la iPhone au?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala sikuona sababu yakuanza huko mbali kote,

Ndo shida ya kutaka kusema Jambo ambalo ndani yake Lina ulakini yaan unaanzia mbali kuliko kawaida, umeandika mengi hapa lakin mwisho wasiku ulichotaka kusema hujasema hapa!?

Jicho latatu gan unalosemea wewe la iPhone au?


Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣
 
Back
Top Bottom