Najua ni shujaa wa Keyboard, lakini usije kufanya. Siyo wanacumzi Tu mpaka walimu wapi wengi sasa jichanganyenkujionyesha Una mdomo.mrefu..Kuna dalili ya kuvuta miguu kuamua ni siku gani vyuo vitafunguliwa, lakini hata iweje tutataka kurudi vyuoni. Tunaporudi tuna letu jambo la moyoni. Hii siyo nchi ya CCM peke yao. Wale vihelehele wa CCM vyuoni tunakukla nanyi.
Taarifa iliyopo wanaandaliwa wanafunzi bandia kuingia vyuoni kutuhadaa kwa vitisho vya migomo. HAPANA! Tulijiandikisha vyuoni, tukawa nyumbani, hatukupata haki ya kupiga kura. Mwisho tumeshuhudia wauaji wa ndugu zetu. Tunakuja.
Acha vitisho ndugu,serikali zina pewa mamlaka na wananchi,na iwapo wakijipa mamlaka hiyo wenyewe inakosa uhalali!Wengine wameshatangaziwa tayari
Tahadhari; ukijichanganya wanakutoa manundu utaishia elimu uliyo nayo hadi unakufa dogo usicheze na serikali utaumia wewe na familia yako
Ni ushauri wa bure tu
Wamehack account yake 😅Wewe nyamwi umekuwa na shida gani siku hizi
Hii itabidi ijulikane kama #MD9.Vuta subra mwanachuo tarehe 09/12/2025 tunaingia tena barabarani, na awamu hii ni mpaka kieleweke haswaa.
Sina majibu ya swali lako la kitoto!Wewe nyamwi umekuwa na shida gani siku hizi
Wewe umeanza kuchanganyikiwa hivi karibuni! Nahisi kuna tatizo kwenye hiyo komweSina majibu ya swali lako la kitoto!
Nina shida!!? nimekwambia sipati choo??
Uliandamana?Wewe umeanza kuchanganyikiwa hivi karibuni! Nahisi kuna tatizo kwenye hiyo komwe
Kupata ajira mwaka jana ndo kunakufanya uwe na utetezi wakipuuzi namna hiyoMtafirimbwa halafu ndo muuwawe vizuri
#hatucheki na wowote
NdiyoUliandamana?
HahahahahaKupata ajira mwaka jana ndo kunakufanya uwe na utetezi wakipuuzi namna hiyo
You're not mentally stable
Na kwann hujafa ?Ndiyo
Watu kama wewe ukibananishwa angle na Django Doer unakaaa kimyaHahahahaha
Nasemaje nasemaje nasemaje ...Hatuchekeshi
Watu kama wewe ukibananishwa angle naHahahahaha
Nasemaje nasemaje nasemaje ...Hatuchekeshi
Legends never dieNa kwann hujafa ?