Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

Kitendo alichofanya Neema ni unexplainable/unjustified especially ni kitendo kinachoonekana alikipanga na sio ghafla tu.

Yeye sio wa kwanza kuwa cheated and she will never be the last. Huenda ana matatizo ya akili.

You never know maybe hata yeye alishawahi ku-cheat kwenye moja ya mahusiano yake. Problem ya binadamu tupo selfish sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani huyu kijana simmalizi. Kapanga geto hapo makumbusho. Nilishangaa kukutana naye. Tumesoma wote chuo kimoja. Eti alisikiaga nna hela sana akaanza niombisha nyimbo na anajua mshkaji wake alikua bf wangu. Nikaenda mtukana huyo ex wangu na huyu jamaa wake. Maana namba ametoa kwa ex wangu. Basi mtaji wake ndo hilo dudu lake labda itakua na ulimi. Yaan anawachunaaa Mungu wangu. Kama hajatumiea jini la ajali siku sijui. Na ningelioenda maybe lingenichuna sana maybe ni vile ninachagua sana. Yaan we falaaaaa moto wako unakujaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu umeamua kuja kunipiga vijembe Hadi huku?!!!

Ila sawa bana haina noma
 
.

Zungu amepokea mshahara wake aliositahili. Bado wewe unae-cheat sijui utapokea lini.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Grace Janes Mushi (25) kwa tuhuma za kumchoma moto ndani ya nyumba aliyekua mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Khamis Abdallah (25)

Dini yake inamruhusu mpaka wanne
 
Nianze kwa kulaani kitendo alichofanya huyu Grace, cha kumuua mpenzi wake kwa kumteketeza kwa moto. Ni kitendo cha kinyama sana.

Funzo:
1. Tunatakiwe tuwe real kwenye mahusiano yetu. Ni dhambi kubwa sana kumuaminisha mtu kuwa unampenda halafu kumbe kuna mwingine unampenda na umeshamtambulisha kwenu.

Biblia inasema, "Upendo una nguvu sawa sawa na kifo" Si vyema kucheza na hisia za watu.

Kama mtu humupendi kwanini umdanganye?

Zungu amepokea mshahara wake aliositahili. Bado wewe unae-cheat sijui utapokea lini.

NB: Msianze kuhusisha kabila la mtu na upumbavu wake. Mambo hayo ni ya kizamani sana. Mimi Nebuchadinezzer nina mchumba mmoja tu tena Mchaga wa Machame. "She is very humble, beautiful and God-fearing.

Kama una mpango na demu wako, mwambie mwanzo kabisa sio kumfanya dada wa watu anawekeza kwako halafu mwisho wa siku, faida anakula mtu mwingine.

Poleni sana wafiwa.

PIA SOMA
Kaka yake Zungu amesema siku tatu nyuma alimuomba Grace waachane kwani hapo kosa li wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kumtetea Neema, Neema ni mchaga. Wachaga sio watu wazuri. Na kama ndugu yako ameoa mchaga mwambie aendelee kupumulia mashine. Siku zake zinahesabiwa😄😄😄😄😄😄
Ukileta fyoko fyoko,unanyooshwa tu.😀😀

Sema kimeumanika 😂😂
 
Mi ndugu zangu kwa upande wa baba wameoa Wachaga na sasa hadi wana Wajukuu mkuu.

Mimi mwenyewe nina mchumba mchaga wa Machame. Very humble and God-fearing....kuna siku nitamleta humu JF.
Pata hela mkuu akaunti iwe nzito ndo utaelewa kwanini wakubwa wanakwambia wachaga sio watu bali ni( wacha_ga )kwa sisi kabila letu maana yake na afe
 
Nianze kwa kulaani kitendo alichofanya huyu Grace, cha kumuua mpenzi wake kwa kumteketeza kwa moto. Ni kitendo cha kinyama sana.

Funzo:
1. Tunatakiwe tuwe real kwenye mahusiano yetu. Ni dhambi kubwa sana kumuaminisha mtu kuwa unampenda halafu kumbe kuna mwingine unampenda na umeshamtambulisha kwenu.

Biblia inasema, "Upendo una nguvu sawa sawa na kifo" Si vyema kucheza na hisia za watu.

Kama mtu humupendi kwanini umdanganye?

Zungu amepokea mshahara wake aliositahili. Bado wewe unae-cheat sijui utapokea lini.

NB: Msianze kuhusisha kabila la mtu na upumbavu wake. Mambo hayo ni ya kizamani sana. Mimi Nebuchadinezzer nina mchumba mmoja tu tena Mchaga wa Machame. "She is very humble, beautiful and God-fearing.

Kama una mpango na demu wako, mwambie mwanzo kabisa sio kumfanya dada wa watu anawekeza kwako halafu mwisho wa siku, faida anakula mtu mwingine.

Poleni sana wafiwa.

PIA SOMA
Huyo jamaa yake dini yake ilikuwa inamruhusu,ila manka mushi hakuelewa somo labda.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani huyu kijana simmalizi. Kapanga geto hapo makumbusho. Nilishangaa kukutana naye. Tumesoma wote chuo kimoja. Eti alisikiaga nna hela sana akaanza niombisha nyimbo na anajua mshkaji wake alikua bf wangu. Nikaenda mtukana huyo ex wangu na huyu jamaa wake. Maana namba ametoa kwa ex wangu. Basi mtaji wake ndo hilo dudu lake labda itakua na ulimi. Yaan anawachunaaa Mungu wangu. Kama hajatumiea jini la ajali siku sijui. Na ningelioenda maybe lingenichuna sana maybe ni vile ninachagua sana. Yaan we falaaaaa moto wako unakujaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nyi wanawake kununulia mwanaume mumoja tu ka subaru maneno mengi. Sisi wanaume tunahonga mpaka mikoa ila hatusemi. Watu wamehonga mpaka reli tukiachilia mbali meli, tren, ndege zote tunahonga tu na tuko kimya. Mwacheni huyo dogo awe anaturudishiapo hasara. Ukute hata hizo wanazompa nazo wanatoa kwa vibosile tu
 
Hahahahaa mpk wizara za utalii na fedha
 
Kitendo alichofanya Neema ni unexplainable/unjustified especially ni kitendo kinachoonekana alikipanga na sio ghafla tu.
Yeye sio wa kwanza kuwa cheated and she will never be the last.Huenda ana matatizo ya akili.
You never know maybe ata yy alishawahi ku-cheat kwenye moja ya mahusiano yake.Problem ya binadamu tupo selfish sana.
Haya mambo yapo na yataendelea kuwepo
Kuna Binadam wengine awe mwanamke/mwanaume hapendi kuchezewa hisia zake ,siku akijua anadanganywa basi anaweza chukua uamuz mmbaya

Ova
 
Ujumbe, vijana waache kudanga.

Kuna kijana aiashi makumbusho hapo, ana subaru impreza na forester. Anadanga kupita maelezo. Ni ana mademu kama wote. Yaan haya yote anayomiliki ni kutokea migukoni mwa wanawake anaowarubuni. Chalii yangu kiama chako chajaa[emoji23][emoji23] na anajisifiaga balaaa anawadanga. Iko siku
Soon atajenga hio ndio tunaita “kudanga kwa weledi ” hahaha sema dah hayo sio maisha yani mpaka mtu anafikia kujisifia ni aibu aisee!
 
Back
Top Bottom