kyemo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2010
- 570
- 718
Kitendo alichofanya Neema ni unexplainable/unjustified especially ni kitendo kinachoonekana alikipanga na sio ghafla tu.
Yeye sio wa kwanza kuwa cheated and she will never be the last. Huenda ana matatizo ya akili.
You never know maybe hata yeye alishawahi ku-cheat kwenye moja ya mahusiano yake. Problem ya binadamu tupo selfish sana.