Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Juma pili tena anakuja na muendelezo wa somo la huduma ya kupanua na waumini wanapanua tuu Kuna Mambo yanahitaji kujitoa ufahamu
 
Hongera Furaha, sayansi gani katumia huyu kijana kuwabwaga wenzake 175? tujifunze kwa anaejua atujuze!
Ndio watu wajue Success Has No Formula, Age, Jinsia nk. Kuna vijana wasiofahamika kitaifa ila wameshinda wazee (Furaha Dominick Kawe), Wazee wenye experience wameshindwa (Mwanri, Mwakyembe), Vijana walioshindwa (Joshua Nassari, Msando nk), waliokuwa na vyeo awali wameshindwa (Mashinji, Makonda), waliohamia CCM wameshinda (Mkumbo, Mollel -Siha), wengi zaidi waliohamia CCM wameshindwa, wasanii wa music nk nafikiri wote wameshindwa.
 
Nje ya maada, nilikua na mjadala na mdau mmoja akaniuliza swali nmeshindw kujibu, hivi form ya chama kugombea ubunge Ni sh ngp
 
Pole kwa kupatwa na jiwe la gizani. Ndiyo ukome kuvamia na kula vya watu. Next time uwe na msimamo uache umalaya wa kisiasa.
 

Ahsante tumemuona mzaliwa wa Chato Kagera
 
DADA TUMEMCHOKA,HAKUNA ANACHOFANYA KAWE.TOKEA MWAKA 2015 SIJAMWONA AKITEMBELEA JIMBO LAKE KUNA SHIDA YA MAJI SEHEMU ZA MSIGANI NYAKASANGWE N.K MIUNDOMBINU YA BARABARA SHIDA SANA
 
Kwani ndio amepitishwa kupeperusha bendera ya CCM October? Kwa nini usisubiri majibu ya mkutano mkuu ndio uje tujadiri huu utopolo wako?
Kwahiyo kura sio muhimu tena? Basi kumbe NEC na wakurugenzi awafuati nani amepata kura bali wanafuata mambo mengine mfano maagizo nk
 
Mtoto WA CHATO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…