Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Hongera Furaha, sayansi gani katumia huyu kijana kuwabwaga wenzake 175? tujifunze kwa anaejua atujuze!
Ndio watu wajue Success Has No Formula, Age, Jinsia nk. Kuna vijana wasiofahamika kitaifa ila wameshinda wazee (Furaha Dominick Kawe), Wazee wenye experience wameshindwa (Mwanri, Mwakyembe), Vijana walioshindwa (Joshua Nassari, Msando nk), waliokuwa na vyeo awali wameshindwa (Mashinji, Makonda), waliohamia CCM wameshinda (Mkumbo, Mollel -Siha), wengi zaidi waliohamia CCM wameshindwa, wasanii wa music nk nafikiri wote wameshindwa.
 
Nje ya maada, nilikua na mjadala na mdau mmoja akaniuliza swali nmeshindw kujibu, hivi form ya chama kugombea ubunge Ni sh ngp
 
Look nani anazungumza, wewe nyege zimekuouta akili, go and get laid. Ukiwa sexless kwa ulimwengu wa maana yake mtu asiye na uwezo wa kumshawishi msichana au mwanamke, na watu kama nyie huwa mna uhasidi, hasira, chuki na mapungufu mengi sana. Pole na utazidi kuumia.
Pole kwa kupatwa na jiwe la gizani. Ndiyo ukome kuvamia na kula vya watu. Next time uwe na msimamo uache umalaya wa kisiasa.
 
Huyu ndiye Mjomba wa Magufuli aliyeshinda Kura za Maoni Kawe. Yupo GCLA(maabara ya Taifa) yeye ndo incharge, pale hamna mtu wa kumpinga akisema hold mzee ni hold hamna wa kukupa release hata uende wapi, anaishi masaki kwa sasa. Hata cheo alichonacho ni figisu-figisu.

#Wasifu:
Jina: Furaha Dominic Jacob
Kazaliwa: Chato Kagera
Shule: Chato Secondary School
Shule: Makongo High school
Chuo : DIT
Reseach: Technician at International Institute of Tropical Agriculture (IITA)

Na Kwa sasa anaishi Dar es salaam
Mtoto wa dada yake Rais MAGUFULI.View attachment 1512953

Ahsante tumemuona mzaliwa wa Chato Kagera
 
DADA TUMEMCHOKA,HAKUNA ANACHOFANYA KAWE.TOKEA MWAKA 2015 SIJAMWONA AKITEMBELEA JIMBO LAKE KUNA SHIDA YA MAJI SEHEMU ZA MSIGANI NYAKASANGWE N.K MIUNDOMBINU YA BARABARA SHIDA SANA
 
Kwani ndio amepitishwa kupeperusha bendera ya CCM October? Kwa nini usisubiri majibu ya mkutano mkuu ndio uje tujadiri huu utopolo wako?
Kwahiyo kura sio muhimu tena? Basi kumbe NEC na wakurugenzi awafuati nani amepata kura bali wanafuata mambo mengine mfano maagizo nk
 
Habari,

Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa?

Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe?

Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?

Mtoto WA CHATO
 
Back
Top Bottom