Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Napata nyepesi ni ndg yake na jiwe,Nephew wake..hope its not true..
Why hope it's not true? Haruhusiwi kugombea kwa sababu inasemekana ni mpwa? Unless uoneshe amebebwa hoja ya undugu haina mashiko. Huwezi mwadhibu mtanzania kwa kumnyima opportunity eti kwa sababu ni ndugu wa fulani. Kila Mtanzania ana haki zake kama mwananchi!
 
Huyu ndiye Mjomba wa Magufuli aliyeshinda Kura za Maoni Kawe. Yupo GCLA(maabara ya Taifa) yeye ndo incharge, pale hamna mtu wa kumpinga akisema hold mzee ni hold hamna wa kukupa release hata uende wapi, anaishi masaki kwa sasa. Hata cheo alichonacho ni figisu-figisu.

#Wasifu:
Jina: Furaha Dominic Jacob
Kazaliwa: Chato Kagera
Shule: Chato Secondary School
Shule: Makongo High school
Chuo : DIT
Reseach: Technician at International Institute of Tropical Agriculture (IITA)

Na Kwa sasa anaishi Dar es salaam
Mtoto wa dada yake Rais MAGUFULI.
FB_IMG_1595345881689.jpg
 
Kama wajumbe wamemchagua basi wanamjua vizuri sana ngoja tuone mbele itakuwaje?
 
Sio mpinzani sahihi kwa mdee. Kamati kuu waangalie mtu anayekubalika kwa raia na sio pale ofisini kwao kawe vinginevyo wanampa mdee jimbo mapema tuu..
CCM hatutafuti mtu wa kushindana na Mdee.Mdee ni non issue.CCM tunatafuta mtu tunayejua atatusaidia kutekeleza ilani ya CCM tunayoenda nayo kwenye uchaguzi

Mdee hayumo kwenye ilani ya CCM.Focus yetu haiko huko
 
Mwaka mgumu Sana huu kwa makahaba wa kisiasa kama huyu ex- wa CDM
Look nani anazungumza, wewe nyege zimekuouta akili, go and get laid. Ukiwa sexless kwa ulimwengu wa maana yake mtu asiye na uwezo wa kumshawishi msichana au mwanamke, na watu kama nyie huwa mna uhasidi, hasira, chuki na mapungufu mengi sana. Pole na utazidi kuumia.
 
Hivi kuna tume huru kweli Tanzania?


Ni mie Odilli wa kwenye 'A MAN OF THE PEOPLE'
 
Kupita kura za maoni sio uteuzi kugombea jimbo. Bado kikao kikuu cha chama kuwapitisha walioteuliwa subirin kwanzo . na mkumbuke pia ata mshindi wa 4 anaweza kuchaguliwa kuwa mgombea
 
Kwani Halima alishinda vipi mara ya kwanza? Mbona hakujulikana? Mwanzo wa 10 ni 1, go figure, ...
Halima ni mziki mnene yule.
Hakuanzia siasa straightly Kawe.
Alianzia harakati za siasa chuo kikuu, kisha 2005 akalamba ubunge wa viti maalum CHADEMA, ilipofika 2010 akaingia kuomba ubunge Kawe (akamgaragaza mpaka Mbatia wa NCCR), 2015 akamgaragara vibaya Kippi Warioba mbele ya vigogo wote wakuu wa serikalini na dunia ikishuhudia.

Acha kabisa kumfananisha Halima Mdee ni vitu vingine vya ajabu ajabu vya kuokoteza kikabila, kiukoo na kisultani.
 
Habari,

Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa?

Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe?

Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?

Ndiye aliyeshinda,ulitaka wafanyeje.
 
Back
Top Bottom