Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app

Nikate mzizi wa fitina kwanza.
Huyu kwanza ajawaomba kura wajumbe.
Anajiamini kuliko kikomo( over confidence)
Anatabia za kisera sana ata miondoko inaonyesha ana amini kua ameisha shinda.
Apo wajumbe walisha jua na kuogopa kua ni mtoto wa mwenye chama.
Ustaarabu wake ni zero.
 
Sijajua sana, maana na mie sikujua hata kama ametangaza nia hakuwa na makuu. Dogo mmoja yupo humble sanaa.. kila nikikutana nae hata kama sina time nae ataniita hata kwa mbalii au atanikimbili kikubwa tupeane hata salamu. Huyu nita msaport aisee ingawa mie sio kijani.. ila kwa namna alivyo nita mpa suport yangu. Ni mtu sahihi kabisa..
Mpwaa imebidi uikane CCM ...kumbe ni aibu. Kwahiyo kukusalimia wewe ndiyo kigezo cha yeye kua mbunge! Ameifanyia nini CCM huko nyuma?
 
Mpwaa imebidi uikane CCM ...kumbe ni aibu. Kwahiyo kukusalimia wewe ndiyo kigezo cha yeye kua mbunge! Ameifanyia nini CCM huko nyuma?
Namfahamu zaidi ya hapo. For me ni mtu mzuri kuanzia character yake. Mie ni muhuni tu humu jukwaani hata ukifatilia kichango yangu imejaaa ngono tu, huwezi nikuta kwenye siasa.. ila kwa huyu jamaa ninavyo mfahamu ninaona ni mtu bora na kwa namna nimjuavyo ndio maana nimesema hata kumpa suport huyu naweza ingawa sio mwana ccm wala chama chochote kile
 
Why hope it's not true? Haruhusiwi kugombea kwa sababu inasemekana ni mpwa? Unless uoneshe amebebwa hoja ya undugu haina mashiko. Huwezi mwadhibu mtanzania kwa kumnyima opportunity eti kwa sababu ni ndugu wa fulani. Kila Mtanzania ana haki zake kama mwananchi!
Nilishangaa CCM wanatoa fomu moja alafu wanakataa Membe asigombee kupeperusha bendera ya CCM - 2020.
 
Kwa hili la Kawe jina la Ndugulile likirudi nakunywa mzinga WA konyaji.
 
Why hope it's not true? Haruhusiwi kugombea kwa sababu inasemekana ni mpwa? Unless uoneshe amebebwa hoja ya undugu haina mashiko. Huwezi mwadhibu mtanzania kwa kumnyima opportunity eti kwa sababu ni ndugu wa fulani. Kila Mtanzania ana haki zake kama mwananchi!

Ni kweli huwezi kunyimwa nafasi kisa ww ni ndugu wa mtu fulani. Lakini jiwe sio mtu anayeheshimu box la kura, hivyo matokeo ya uchaguzi iwapo huyo dogo ndio atakuwa mgombea, yatakuwa ni yale ayatakayo jiwe. Hapo ndio tatizo lilipo.
 
Namfahamu zaidi ya hapo. For me ni mtu mzuri kuanzia character yake. Mie ni muhuni tu humu jukwaani hata ukifatilia kichango yangu imejaaa ngono tu, huwezi nikuta kwenye siasa.. ila kwa huyu jamaa ninavyo mfahamu ninaona ni mtu bora na kwa namna nimjuavyo ndio maana nimesema hata kumpa suport huyu naweza ingawa sio mwana ccm wala chama chochote kile
Ameifanyia nini CCM?
 
Ameifanyia nini CCM?
Unafikiri kwanini wajumbe wakawe wamempa kawe ? Mie hapa nazungumzia kumjua yeye binafsi na sio kumjua kupitia chama, na hata sikuwahi kujua kama ni mwanachama wa huko mwala sikujua hata kama katia nia, nimekutana na habari yakr tu humu.. mie na siasa mbali mbali mkuu
 
Nilikuwa nasubiria hii comment.. mtu asipofahamika sana huwa lazima tudhani ni usalama
Ni kweli mkuu mimi tangu nimalize chuo sijapangiwa kituo cha kazi naishi kininja tu sarakas za hapa na pale sometimes natoka jion halafu sirud home sometimes nakaa home week ila siishi kinyonge japo apecha wadau wameshindwa kuisoma hio pattern saiv naitwa bro wa usalama naheshimika na wahuni na askari polis wa eneo langu wanialika sana gambeni nawapiga chenga kuendeleza hio sintofaham
 
Labda kwa msaada wa watu wa lumumba kwa kura halali za wananchi sahau na kule hakuna mbulula kama uvyodhani wanaojielewa kule ndio kwao unaanzaje
Acha uongo sisi ndiyo wapigakura wa Kawe Mdee hatutaki hata kumsikia alivyotutenda hii miaka mitano hatuwezi msahau. Tangu tumchague hajawahi itisha mkutano wowote wa wananchi!!
 
Nimejaribu kutafiti kujua huyu dogo ni nani na imekuaje hata akashinda sijapata jibu.

Wengi wanajiuliza maswali yasiyo na majibu.

1. Amekuaje mwanachama wa kuaminika kwa umri huo.

2. Anaonekana ni kijana anayefanya kazi ya kawaida sana IITA.

3. Elimu yake siyo kubwa kama baadhi ya wagombea.

4. Ushiriki wake kwenye siasa za ccm umeanza lini.

Wengine wamekuja na dodoso kwamba huyu kijana ni mzaliwa wa chato geita.

Naomba wanao mfahamu watupe cv yake, tusije jikuta tunapata waziri mkuu mwenye umri chini ya 35.
IMG-20200721-WA0036.jpeg
 
Kwani ndio amepitishwa kupeperusha bendera ya CCM October? Kwa nini usisubiri majibu ya mkutano mkuu ndio uje tujadiri huu utopolo wako?
Hakuna cha Mkutano Mkuu hapo. Ni Kamati ya Siasa Wilaya, itaenda Kamati ya Siasa Mkoa, huko mbele ni baraka za Halmashauri ya CCM Taifa na hawatabadili kitu wanachama halali walichokitaka kwani wao ndio watakaopambana na upinzani k ACT na CDM ya Halima Mdee
 
Back
Top Bottom