Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Naona dalili zote za bashite kurudi.. na atawasulubu sana ccm 20_25
Kama alifanya MAOVU awamu ya kwanza hadi kuwa na hofu ya kutaka sheria ya kumlinda kwenye MAOVU yake basi awamu ya pili itakuwa ni BALAA maana sheria ya kumlinda tayari anayo hivyo MAOVU mwanzo mwisho Mkuu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Bila hata ungosha, kijana yupo smart na maisha yake yapo smart kuanzia uhusiano wake hana makuu.. ana mpenzi wake mmoja wanapenda sanaaa.. wapo kama kumbi kumbi.. nafurahi maisha yake kuanzia chuo, ya mahusiano na hata kijamii
Yote tisa! Kumi pesa ya kuhonga wajumbe kaitoa wapi?
 
2462218_Edc-TIXXkAM3LJs.jpg
Uno boyi
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Back
Top Bottom