Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

Uncle wa mkulu.
Screenshot_20200721-211729.jpg
 
Ukisikiliza hotuba ya tarehe 20/07 baada ya kuapisha wateule ya mwenyekiti wa taifa ambae ndo mjomba mwenyewe basi utagundua jamaa atajaza sana wapwa zake ungwe hii ya pili kwa kisingizio cha kuwa wanasifa na uchapa kazi, alianza hazina, uvccm na sasa bungeni
 
Ni kweli huwezi kunyimwa nafasi kisa ww ni ndugu wa mtu fulani. Lakini jiwe sio mtu anayeheshimu box la kura, hivyo matokeo ya uchaguzi iwapo huyo dogo ndio atakuwa mgombea, yatakuwa ni yale ayatakayo jiwe. Hapo ndio tatizo lilipo.
Haya yatakuwa na uhalali kama undugu wake utambeba. Lakini kwa sasa zaidi ya kubahatisha hakuna anayejua kwa hakika nini kitatokea. Ni hekima kusubiri kuliko kutoa hukumu mapema.

What if anachowaza kisitokee? Kuna mtu atamuomba msamaha? Hiyo ndiyo iliyokuwa hoja yangu. Innocent until proven guilty
 
Kwani Halima alishinda vipi mara ya kwanza? Mbona hakujulikana? Mwanzo wa 10 ni 1, go figure, ...

ccm huwa mnaakili za uji, Halima aligombea kawe alipotoka kuwa mbunge wa viti maalumu sidhani km kuna mtu alikuwa hamjui
 
Habari,

Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa?

Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe?

Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?

Mtoto wa dada wa mzee
 
Haya yatakuwa na uhalali kama undugu wake utambeba. Lakini kwa sasa zaidi ya kubahatisha hakuna anayejua kwa hakika nini kitatokea. Ni hekima kusubiri kuliko kutoa hukumu mapema.

What if anachowaza kisitokee? Kuna mtu atamuomba msamaha? Hiyo ndiyo iliyokuwa hoja yangu. Innocent until proven guilty

Hatuna shaka na mwenendo wa huyo jamaa, na hayo yaliyotokea hajawahi kujali.
 
Bora kakosa. Gwajboy angepata angeligawa kanisa la Bwana. We unadhani kwa siasa zetu za bongo jinsi wabunge wanavyowananga wenye itikadi tofauti nao, unadhani ni mwanachamaa gani wa upinzani angebaki muumini wake!!?? Angebaki na waccm wenzake tu!!!
Mama Lwakatare alikuwa Mbunge alimgawa nani
 
Basi dogo kumbe ni mgombea maalum. Nimejiuliza sana hiyo influence kaipata wapi ?Basi sina swali tena. Na huyu ndo mgombea rasmi wa CCM kupitia kawe. Hapa mkakati ulisukwa aisee.
Nami sina swali wajumbe walipangwa kitambo,unaweza kukuta hata kumfahamu wajumbe hawamjui walipiga kura tu[emoji16][emoji16]
 
Haya yatakuwa na uhalali kama undugu wake utambeba. Lakini kwa sasa zaidi ya kubahatisha hakuna anayejua kwa hakika nini kitatokea. Ni hekima kusubiri kuliko kutoa hukumu mapema.

What if anachowaza kisitokee? Kuna mtu atamuomba msamaha? Hiyo ndiyo iliyokuwa hoja yangu. Innocent until proven guilty
Hizo kelele ndiyo zinazotweza kuzuia. Ugumu ulipo dogo kaishinda kura za maoni kama alivyoshinda Ridhiwani, Salma, January, Nape n.k. Itakuwa ngumu kumtema. Mchezo umepangwa vizuri.
 
Back
Top Bottom