Koffi Yardley
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 620
- 496
Ni Kijana Mmoja Mnyenyekevu, Mkarimu, Mwerevu, siyo Mjivuni kama Mtu Mmoja aliyekimbilia Kutuomba Msamaha wake wa Kipopoma / Kipumbavu na Mnafiki, ana Elimu yake nzuri tu, anakubalika na wana Kawe na wala hahitaji kwenda Kuosha Nyota yake Kijijini ' Usukumani ' Kishirikina ( Kiutamaduni ) kama wengine, siyo Maarufu Mitandaoni kama walivyo Waomba Misamaha ya ' hovyo hovyo ' Kwetu, hana Unafiki, Sanifu na Dharau kama Waliotuomba Misamaha na mwisho ni Mtu wa Watu hasa.
Mtoto Mdogo ( Kijana ) ambaye hana hata ' Umaarufu ' ulionao anapata Kura 101 halafu Kongwe, Jivuni na Jitu lenye ' Kiherehere ' linaambulia Kura yake 1 tu.Hongera sana Kijana Furaha Dominic Jacob japo najua una Kazi ' pevu ' kwa Dada yangu Halima Mdee ila nakuamini utamshinda na kuwa Mbunge tu.
Kwa wale ambao hamjapata Matokeo ya Mwisho haya hapa tafadhali....
1. Mr. Furaha Dominic Jacob 101
2. Mrs. Angela Daisy Kizigha 85
3. Mr. Mathias Josephat Gwajima 79
4. Mr. Benjamin Samuel Sitta 61
5. Mr. Kipi Joseph Warioba 3
6. Mr. Njaa Naombeni Msamaha 1
Kila la Kheri!
... kuna miezi kadhaa kule North Korea, dadae Kim alifanya yake. Dadas could be as powerful. Imagine mtoto wa dadae ambae ni bonafide mjomba aweza kuibua powers zake pia.