Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Nikate mzizi wa fitina kwanza.
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Labda kwa msaada wa watu wa lumumba kwa kura halali za wananchi sahau na kule hakuna mbulula kama uvyodhani wanaojielewa kule ndio kwao unaanzajeAnachukua jimbo la Kawe mapema sana.
Kwani Mdee alikuwa waziri na katibu wa maji?DADA TUMEMCHOKA,HAKUNA ANACHOFANYA KAWE.TOKEA MWAKA 2015 SIJAMWONA AKITEMBELEA JIMBO LAKE KUNA SHIDA YA MAJI SEHEMU ZA MSIGANI NYAKASANGWE N.K MIUNDOMBINU YA BARABARA SHIDA SANA
Mpwaa imebidi uikane CCM ...kumbe ni aibu. Kwahiyo kukusalimia wewe ndiyo kigezo cha yeye kua mbunge! Ameifanyia nini CCM huko nyuma?Sijajua sana, maana na mie sikujua hata kama ametangaza nia hakuwa na makuu. Dogo mmoja yupo humble sanaa.. kila nikikutana nae hata kama sina time nae ataniita hata kwa mbalii au atanikimbili kikubwa tupeane hata salamu. Huyu nita msaport aisee ingawa mie sio kijani.. ila kwa namna alivyo nita mpa suport yangu. Ni mtu sahihi kabisa..
Namfahamu zaidi ya hapo. For me ni mtu mzuri kuanzia character yake. Mie ni muhuni tu humu jukwaani hata ukifatilia kichango yangu imejaaa ngono tu, huwezi nikuta kwenye siasa.. ila kwa huyu jamaa ninavyo mfahamu ninaona ni mtu bora na kwa namna nimjuavyo ndio maana nimesema hata kumpa suport huyu naweza ingawa sio mwana ccm wala chama chochote kileMpwaa imebidi uikane CCM ...kumbe ni aibu. Kwahiyo kukusalimia wewe ndiyo kigezo cha yeye kua mbunge! Ameifanyia nini CCM huko nyuma?
Nilishangaa CCM wanatoa fomu moja alafu wanakataa Membe asigombee kupeperusha bendera ya CCM - 2020.Why hope it's not true? Haruhusiwi kugombea kwa sababu inasemekana ni mpwa? Unless uoneshe amebebwa hoja ya undugu haina mashiko. Huwezi mwadhibu mtanzania kwa kumnyima opportunity eti kwa sababu ni ndugu wa fulani. Kila Mtanzania ana haki zake kama mwananchi!
Why hope it's not true? Haruhusiwi kugombea kwa sababu inasemekana ni mpwa? Unless uoneshe amebebwa hoja ya undugu haina mashiko. Huwezi mwadhibu mtanzania kwa kumnyima opportunity eti kwa sababu ni ndugu wa fulani. Kila Mtanzania ana haki zake kama mwananchi!
Ameifanyia nini CCM?Namfahamu zaidi ya hapo. For me ni mtu mzuri kuanzia character yake. Mie ni muhuni tu humu jukwaani hata ukifatilia kichango yangu imejaaa ngono tu, huwezi nikuta kwenye siasa.. ila kwa huyu jamaa ninavyo mfahamu ninaona ni mtu bora na kwa namna nimjuavyo ndio maana nimesema hata kumpa suport huyu naweza ingawa sio mwana ccm wala chama chochote kile
Unafikiri kwanini wajumbe wakawe wamempa kawe ? Mie hapa nazungumzia kumjua yeye binafsi na sio kumjua kupitia chama, na hata sikuwahi kujua kama ni mwanachama wa huko mwala sikujua hata kama katia nia, nimekutana na habari yakr tu humu.. mie na siasa mbali mbali mkuuAmeifanyia nini CCM?
Ni kweli mkuu mimi tangu nimalize chuo sijapangiwa kituo cha kazi naishi kininja tu sarakas za hapa na pale sometimes natoka jion halafu sirud home sometimes nakaa home week ila siishi kinyonge japo apecha wadau wameshindwa kuisoma hio pattern saiv naitwa bro wa usalama naheshimika na wahuni na askari polis wa eneo langu wanialika sana gambeni nawapiga chenga kuendeleza hio sintofahamNilikuwa nasubiria hii comment.. mtu asipofahamika sana huwa lazima tudhani ni usalama
Acha uongo sisi ndiyo wapigakura wa Kawe Mdee hatutaki hata kumsikia alivyotutenda hii miaka mitano hatuwezi msahau. Tangu tumchague hajawahi itisha mkutano wowote wa wananchi!!Labda kwa msaada wa watu wa lumumba kwa kura halali za wananchi sahau na kule hakuna mbulula kama uvyodhani wanaojielewa kule ndio kwao unaanzaje
Ni mtoto wa dadamtu! Yale ya Malawi Yaja bongo! Serikali ya familia na ukoo wa bwana yesu Yaja!Si jina geni sana hapo Kawe lakini tunaomba wanaomfahamu vizuri waje watujuze.
Hakuna cha Mkutano Mkuu hapo. Ni Kamati ya Siasa Wilaya, itaenda Kamati ya Siasa Mkoa, huko mbele ni baraka za Halmashauri ya CCM Taifa na hawatabadili kitu wanachama halali walichokitaka kwani wao ndio watakaopambana na upinzani k ACT na CDM ya Halima MdeeKwani ndio amepitishwa kupeperusha bendera ya CCM October? Kwa nini usisubiri majibu ya mkutano mkuu ndio uje tujadiri huu utopolo wako?
Halima kazi sana kupita,labda viti masMpinzani wa Halima ni msimamizi wa uchaguzi, sio huyu.