Niko kwenye site. Nakuhakikishia hakuna namna huyu jamaa angepata hizo kura kwa nguvu zake. Ni maagizo kutoka juu na yamesimamiwa kilivyo. Una habari Makonda alitaka kugombea kupitia hili jimbo lakini akakwama kutokana na nguvu isiyoonekana ya huyu jamaa? Usione vyaelea ndugu vimeundwa. Hizi ni info za ndani nakupa na siyo speculationsHuu mjadala umejaa speculations nyingi sana na mpaka kuchafuana majina. Nadhani tungejitahidi kuiacha process ichukue mkondo wake tu. Siri kubwa sana ya uchaguzi wowote ni kwa mgombea kujiunganisha na wapiga kura wake; hakuna anayejua bwana mdogo alitumia njia gani kujiunganisha na wapiga kura. Ila madai ya kuwa alitumwa na Rais ni mafinyu sana kwani wajumbe walikuwa wanapiga kura freely kwa siri bila kusimamiwa na yeyote yule.
Tunamsubiri akatoe ushuhuda kanisani kwake J2, dadadeq!!Gwajiboy kapata ngapi tuanzie hapo
kwa hiyo wapiga kuwa wote walikuwa wanasimamiwa kuhakikisha wanampigia yeye? Imekuwaje Gwajima naye kachota kura sabini kama walikuwa wameimamiwa kuhakikisha wanapigia yeye.Niko kwenye site. Nakuhakikishia hakuna namna huyu jamaa angepata hizo kura kwa nguvu zake. Ni maagizo kutoka juu na yamesimamiwa kilivyo. Una habari Makonda alitaka kugombea kupitia hili jimbo lakini akakwama kutokana na nguvu ya huyu jamaa? Usione vyaelea ndugu vimeundwa.
Haha Haha Mkuu. Mbona hayo yapo kabisa. Chezea mipango weye.Hahaa kwamba tutachukua karatasi za kura halafu tu extract finger prints,noma sana ,
Mbona umekazania sana hayo ya mahusiano?
halafu huyu Bint wa Lowassa kaja ni mihemuko
huyu dogo kafanana sana na Katambi aliyeanguka na ukuu wa Wilaya ya Dodoma akauachia
tukirudi kwenye Mada Kawe anayepaweza ni Mama Kizigha mshindi wa pili kura 85 ndipo atampunguza kasi au kumuangusha Halima Mdee, huyu Mama hata 2015 aligombea
Gwajima ataanguka chali kwani wasio Dini yake au dhehebu lake hawatakipigia CCM kura
ni kweli sijui lolote ndio maana nikasema CV kaandikiwa ni walewale wanaosema Kyaka ipo UgandaChato zamani ilikuwa wilaya ya Bihalamuro,mkoa wa Kagera. Wewe ndo huna unalolijua.
True mpwa huyo wa Yesu wa chattleNapata nyepesi ni ndg yake na jiwe,Nephew wake..hope its not true..
Sijasikia huyu Mluguru kama alienda omba kura za maoni kwao Morogoro, tupo naye kila siku.Hivi mkuu vipi Dodoma huko???
Nasikia DED Kunambi alienda kugombea kwao jimbo moja Morogoro huko kaangukia pua
Na mamlaka mbona haikutengua Paukwa pakawa?
Kama vigezo ni 'ujana' na 'umama' - Halima sio mzee, na Halima ni mama!Hatashinda Amina atapita huyu kijana. KUMBUKA wapiga Kura wengi ni vijana na wamama. Watampigia Kura huyu kaka
humu JF wapo waliopiga kura na waliopigiwa wanaijua SIRI ya hapo ukumbini na nashagaa hawataki kuchangiaHuu mjadala umejaa speculations nyingi sana na mpaka kuchafuana majina. Nadhani tungejitahidi kuiacha process ichukue mkondo wake tu. Siri kubwa sana ya uchaguzi wowote ni kwa mgombea kujiunganisha na wapiga kura wake; hakuna anayejua bwana mdogo alitumia njia gani kujiunganisha na wapiga kura. Ila madai ya kuwa alitumwa na Rais ni mafinyu sana kwani wajumbe walikuwa wanapiga kura freely kwa siri bila kusimamiwa na yeyote yule.
Ni sehemu ya kuelimishana pia, elimu haina mwisho mkuu.Wachaa weee Ras Simba, hadi umeamua ku Google kuonesha jinsi dawa ilivyokuingia.
Hata hivyo kwa style hii utapata tabu sana kwenye hili jukwaa. TAKE IT EASY BRO, NOTHING PERSONAL
Itabidi tuamini hapa JF kwamba hii ndio CV yake muhimu, maana siku mbili sasa, na takribani kurasa 23 na mabandiko zaidi ya 400; hakuna mwenye uthubutu wa kuweka anayekijua kuhusu huyu Furaha. Hii ni sababu tosha kwamba huyu katumwa.Dogo katjmwa na uncle wake huyo ukitegemea nani ampinge uncle?
Siyo wote. Walienda kwa mahesabu. Vikao vilifanyika kabla ya upigaji kura. Wajumbe wengi walipewa fedha na mahesabu kupangwa.kwa hiyo wapiga kuwa wote walikuwa wanasimamiwa kuhakikisha wanampigia yeye? Imekuwaje Gwajima naye kachota kura sabini kama walikuwa wameimamiwa kuhakikisha wanapigia yeye.
Natamani ungekuwepo ukumbini umsikie kile alichokisema baada ya kupewa nafasi kuwaomba wajumbe wa mkutano ule. Aliongea maneno machache yenye kuwakumbusha wajumbe walichotumwa wakitekeleze.Huu mjadala umejaa speculations nyingi sana na mpaka kuchafuana majina. Nadhani tungejitahidi kuiacha process ichukue mkondo wake tu. Siri kubwa sana ya uchaguzi wowote ni kwa mgombea kujiunganisha na wapiga kura wake; hakuna anayejua bwana mdogo alitumia njia gani kujiunganisha na wapiga kura. Ila madai ya kuwa alitumwa na Rais ni mafinyu sana kwani wajumbe walikuwa wanapiga kura freely kwa siri bila kusimamiwa na yeyote yule.
hapo kuna mambo mawili; kuna rushwa, na kuna outreach ya kampeini. Mgombea kukutana na wapiga kura mmoja mmoja wakati wa kampeini siyo tatizo, ila lile la kuwagawia hela ni rushwa na kama kuna ushahidi basi sheria ichukue mkondo wake.Siyo wote. Walienda kwa mahesabu. Vikao vilifanyika kabla ya upigaji kura. Wajumbe wengi walipewa fedha na mahesabu kupangwa.