Kusema za ukweli mie huwa siamini haya mambo. Ni bahati mbaya maana hata Dr ndungulile alivumishiwaKuangusha mke siyo mchezo wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema za ukweli mie huwa siamini haya mambo. Ni bahati mbaya maana hata Dr ndungulile alivumishiwaKuangusha mke siyo mchezo wewe.
Sasa Mbona Kawe inabaki njia panda?!
Halima kwa kweli watu wameshamchoka sana na huyo Furaha hatumjui !
Labda tusubiri tumpe nafasi ya kumsikiliza kwenye campaign lakini hapo ni kama mashaka fulani hivi.
Kwanini hawakumpitisha Gwajima chapakazi jamani !
Yani mmeacha wananchi kwenye sintofahamu kubwa!
Safari hii watu wanatarajia mabadiliko ya kumtoa Halima
Dogo ni alumni mwenzangu wa dit huyo bora makonda huyu ni hatari kweli kweli halafu ana majivuni sana ila sikuwahi kujua kama ni mpwa namba 1 ..otho alikuwa na kibri
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Mimi nazani ishu isiwe kwamba hatumjui huyo Furaha Dominic,
Kwa hiyo inamaana tusiojulikana tusije kugombea?
La hasha!
Hoja ya msingi ni kuwa ataweza kuaminika na kushawishi wapigakura kuwa ana uwezo wa kuchapa kazi na kushirikiana na serikali katika kuondoa matatizo sugu ikiwemo migogoro ya ardhi katika kuwapatia watu haki zao?
Je ataweza kuwa karibu na wananchi katika kusikiliza kero zao na kushirikiana na serikali kuziondoa kwa wakati?
Je atakuwa na ushawishi na kukubalika huko serikalini katika kushirikiana kutatua matatizo na kero za wananchi?
Tuyatafakali hayo na mengineyo kabla ya kuamua kufanya uchaguzi .
Mimi nazani kama anko Magu atampisha huyu FUraha basi tumpe nafasi tumsikilize wakati wa campaign atasemaje?
Kisha tutamhoji tunaona majibu yake!
Ndiomana Bashite aliamua asiende Kawe.Aliogopa kupambana na Mpwa
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Sasa Mbona Kawe inabaki njia panda?!
Halima kwa kweli watu wameshamchoka sana na huyo Furaha hatumjui !
Labda tusubiri tumpe nafasi ya kumsikiliza kwenye campaign lakini hapo ni kama mashaka fulani hivi.
Kwanini hawakumpitisha Gwajima chapakazi jamani !
Yani mmeacha wananchi kwenye sintofahamu kubwa!
Safari hii watu wanatarajia mabadiliko ya kumtoa Halima
Nasikia ni mpwa wa raisi ila Sina uhakika pleaseHongera Furaha, sayansi gani katumia huyu kijana kuwabwaga wenzake 175? tujifunze kwa anaejua atujuze!
Nilivyosikia kutoka kwa wadau ni kuwa huyu jamaa ni mtu wa kitengo halafu ana undugu kabisaaa na mheshimiwa sana.Naona hamna mtu anayemjua vizuri humu. Watu wanaongeaongea tu
Siyo umbea, mdau katoa fact!Umbeya unakusaidia nn. Dume zima shilawadu. Ovyoooo
In short wajumbe wamehongwa bahasha zimetoka chamwino
Mkuu hii nchi ina mambo mengi usiyoyajua....Kumbe. Sasa hiyo influence kwa wajumbe aliifanya lini ?Au kakulia Osterbay kwa Magufuli ?Mtoto wa dada yake yupi ?
Kuna wakati maghorofa yote marefu hapa mjini yalikuwa ya Ridhiwan Kikwete. Speculation at work.Napata nyepesi ni ndg yake na jiwe,Nephew wake..hope its not true..
Kura kapataje?Inaelekea hakuwa anafahamika sana na wengi.
home boy huyu, wacha na sisi tutese, zamu yetu hiiKumbe ni wa hom chato
Umesikia wasukuma pekee ndio wanaosha nyota!Ni Kijana Mmoja Mnyenyekevu, Mkarimu, Mwerevu, siyo Mjivuni kama Mtu Mmoja aliyekimbilia Kutuomba Msamaha wake wa Kipopoma / Kipumbavu na Mnafiki, ana Elimu yake nzuri tu, anakubalika na wana Kawe na wala hahitaji kwenda Kuosha Nyota yake Kijijini ' Usukumani ' Kishirikina ( Kiutamaduni ) kama wengine, siyo Maarufu Mitandaoni kama walivyo Waomba Misamaha ya ' hovyo hovyo ' Kwetu, hana Unafiki, Sanifu na Dharau kama Waliotuomba Misamaha na mwisho ni Mtu wa Watu hasa.
Mtoto Mdogo ( Kijana ) ambaye hana hata ' Umaarufu ' ulionao anapata Kura 101 halafu Kongwe, Jivuni na Jitu lenye ' Kiherehere ' linaambulia Kura yake 1 tu.Hongera sana Kijana Furaha Dominic Jacob japo najua una Kazi ' pevu ' kwa Dada yangu Halima Mdee ila nakuamini utamshinda na kuwa Mbunge tu.
Kwa wale ambao hamjapata Matokeo ya Mwisho haya hapa tafadhali....
1. Mr. Furaha Dominic Jacob 101
2. Mrs. Angela Daisy Kizigha 85
3. Mr. Mathias Josephat Gwajima 79
4. Mr. Benjamin Samuel Sitta 61
5. Mr. Kipi Joseph Warioba 3
6. Mr. Njaa Naombeni Msamaha 1
Kila la Kheri!