Furaha ilioje, leo mimi ni baba wa mapacha!

Elimu yako ya kukariri,sidhani kama ni Kweli mtaani kuna jamaa kadhaa na wanawake watatu tofauti wote kawazalisha mapacha,kati ya hao wanawake hakuna ambaye kwao kuna historia ya mapacha
 
Elimu yako ya kukariri,sidhani kama ni Kweli mtaani kuna jamaa kadhaa na wanawake watatu tofauti wote kawazalisha mapacha,kati ya hao wanawake hakuna ambaye kwao kuna historia ya mapacha
Umesoma Nilichoandika na Nilivyoandika kuhusu Aina ya Upatikanaji wa Mapacha??

Watu ambao hawana Historia ya Mapacha wanaweza Kupata Mapacha endapo kuna HyperFetilzation na mara nyingi ni mapacha wasio fanana na nadhani ungesoma Nilichoandika Ungeelewa zaidi..

Watanzania Wengi tunakosa akili ya Kusoma zaidi tumejawa Chuki kwa waliosoma Haitufikishi popte roho hiyo zaidi ya Kutufanya kuwa Wajinga na wapumbavu..

Asante sana kwa Comments Yako ila Jifunze Kusoma kabla ya Kujibu na kingine Jifunze kusoma Between Lines kabla ya KuQoute..
(Concentrative Skills Unazidiwa na Mjukuu wangu ambaye kwa sasa ana miaka 17)
 
Chief, comprehension skills hazipo kwa wabongo wengi
 
Elimu yako ya kikoloni ya kukariri ndio unajiona genius hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umeingia kwenye mfumo, kapime DNA kwanza, usishangilie penalty shangilia goli
 
Mimi namuomba Mungu anijalie mapacha wanaofanana wa kike
πŸ™πŸ™
 
Elimu yako ya kikoloni ya kukariri ndio unajiona genius hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakuna Mahali nimesema Mimi Genius na hakuna Elimu nyingine tuliyo nayo Duniani zaidi ya elimu ya Kukariri ya Kikoloni au Mwenzetu Elimu yako Imetoka Peponi ulifundishwa na Mitume na Malaika??

Hakuna mahali nimeomba Uquote Nilichoandika au Ureply....

Elimu yangu ya Kukariri ya kikoloni mpaka sasa Imesaidia Watu wengi sana Kuna watu wameona tabasamu Kupitia Mimi hospitalini, Kuna vijana ambao Nimewatibu wakiwa wadogo tangu nimeanza kazi mwaka wa 23 sasa ni Majabali watu wazima ,Nimesaidia Watu zaidi ya 10 Milion na Elimu yangu ya Kikoloni..

HIyo kwangu Inatosha Sana tena Sana na Shukrani zao na maombi yao hao watu huenda ndo vinanifanya mpaka Leo naishi miaka yote hii

Kwa siku naona Wagonjwa Si chini ya 30 Hiyo inamaanisha kwa Mwezi naona wagonjwa zaidi ya 1000... kwa mwaka naona wagonjwa si Chini ya 12,000
NIna furaha kuona Elimu yangu ya Kikoloni inaweza Kurudisha Tabasamu la Watoto Si chini ya 12,000..

VIpi elimu yako Kutoka Peponi/Kutoka kwa Mitume Imesaidia watu wangapi mpaka sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…