Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Hovyo hovyo tu...coca ana tabia gani ππππ
Ni sawa na lamomy mwanae amuite bichwa komwe πππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hovyo hovyo tu...coca ana tabia gani ππππ
mfyuuuu ππ mimi nina maadili weweeHovyo hovyo tu...
Ni sawa na lamomy mwanae amuite bichwa komwe πππππ
Hamna kazi hapo na mdomo huoπππ¬mfyuuuu ππ mimi nina maadili wewee
Too much informationTukisema ume vunja THE UNIVERSAL DECLARATION OF HUMAN RIGHTS tunakosea πππ π
Sawa mkuuToo much information
Kuna vitu havina sana umuhimu
Elimu yako ya kukariri,sidhani kama ni Kweli mtaani kuna jamaa kadhaa na wanawake watatu tofauti wote kawazalisha mapacha,kati ya hao wanawake hakuna ambaye kwao kuna historia ya mapachaKwanza Nampa Hongera Sana Mkuu kwa Kuongeza Familia
Ni kweli Kabisa Ila Sio kweli kwa 100%
According to epidemiology and Biostatics..
genetic Inacontribute Only to Occurence of Fraternal Twins Na mara Nyingi ni Kwa Upande wa Maternal na sio Partenal..
Ngoja nishuke Nondo za Epidemiology na Biostatistics..
Kwenye Fraternal Twins likelihood ya Kupata fraternal twins (au dizygotic) huwa inaweza Kusababishwa au kuwa Inflenced na Genetic au Lineage kama ulivyosema .
Yaani kama mwanamke akitokea Katika Familia ya Wanaozaa Mapacha na Mara Nyingi chance yake ya kuzaa.Mapacha huwa iko juu sana kuliko ambaye hana Lineage japo inaweza kutkea Asiye na Lineage naya akazaa Japo chance yake sip kubwa sana...
Unajua kwanini??
Kuna kitu Kinaitwa hyperovulation (Kutoa Yai zaidi ya Moja kwa ajili ya Kuwa Fertilized)..
Sasa Hii Tabia "hyperovulation" ndo hurithishwa kwa Wanawake waliozaliwa kwenye Familia ya Mapacha na pale unapopachika Mbegu unajikuta Unachavusha Mayai mawili kwa wakati mmoja..
Kwa mapacha wa Kufanana "Identical Twins" hawa hutokea mfuko mmoja "monozygotic" ..
Na hii ndo ukisikia watu wanasema Majariwa ya Mungu ni haya maana Haihitaji Genetic Predisposition Mbegu Mbili Zifertilize Yai Moja au Yai moja baada ya Kuwa Fertilised lijigawe mara mbili...(ahuu ni Muujiza tu)
Kuna hii nakupa chukua Ethinicity pia Huchangia Kupata Mapacha waarabu na wahindi Ni Vigumu sana Kupata Mapacha Kuliko Waafrika..
Nakuongeza na Hii wanawake wenye Umri wa Miaka 30 na zaidi Wako kwenye Higher Rate ya Kupata mapacha kuliko walio chini ya Hapo unajua kwanini kwa sababu Wanawake wengi Kuanzia Miaka 30 Huanza kutoa mayai Mawili kila mwezi badala ya Moja..
Nawasilisha Mkuu
Umesoma Nilichoandika na Nilivyoandika kuhusu Aina ya Upatikanaji wa Mapacha??Elimu yako ya kukariri,sidhani kama ni Kweli mtaani kuna jamaa kadhaa na wanawake watatu tofauti wote kawazalisha mapacha,kati ya hao wanawake hakuna ambaye kwao kuna historia ya mapacha
Chief, comprehension skills hazipo kwa wabongo wengiUmesoma Nilichoandika na Nilivyoandika kuhusu Aina ya Upatikanaji wa Mapacha??
Watu ambao hawana Historia ya Mapacha wanaweza Kupata Mapacha endapo kuna HyperFetilzation na mara nyingi ni mapacha wasio fanana na nadhani ungesoma Nilichoandika Ungeelewa zaidi..
Watanzania Wengi tunakosa akili ya Kusoma zaidi tumejawa Chuki kwa waliosoma Haitufikishi popte roho hiyo zaidi ya Kutufanya kuwa Wajinga na wapumbavu..
Asante sana kwa Comments Yako ila Jifunze Kusoma kabla ya Kujibu na kingine Jifunze kusoma Between Lines kabla ya KuQoute..
(Concentrative Skills Unazidiwa na Mjukuu wangu ambaye kwa sasa ana miaka 17)
Elimu yako ya kikoloni ya kukariri ndio unajiona genius hahahaha ππUmesoma Nilichoandika na Nilivyoandika kuhusu Aina ya Upatikanaji wa Mapacha??
Watu ambao hawana Historia ya Mapacha wanaweza Kupata Mapacha endapo kuna HyperFetilzation na mara nyingi ni mapacha wasio fanana na nadhani ungesoma Nilichoandika Ungeelewa zaidi..
Watanzania Wengi tunakosa akili ya Kusoma zaidi tumejawa Chuki kwa waliosoma Haitufikishi popte roho hiyo zaidi ya Kutufanya kuwa Wajinga na wapumbavu..
Asante sana kwa Comments Yako ila Jifunze Kusoma kabla ya Kujibu na kingine Jifunze kusoma Between Lines kabla ya KuQoute..
(Concentrative Skills Unazidiwa na Mjukuu wangu ambaye kwa sasa ana miaka 17)
Hakuna Mahali nimesema Mimi Genius na hakuna Elimu nyingine tuliyo nayo Duniani zaidi ya elimu ya Kukariri ya Kikoloni au Mwenzetu Elimu yako Imetoka Peponi ulifundishwa na Mitume na Malaika??Elimu yako ya kikoloni ya kukariri ndio unajiona genius hahahaha ππ