Furaha ya mama ipo zaidi kwa mtoto wake hasa wa kwanza, Balaa ni pale unapooa single mom, mwenzake aliempa heshima ya kuwa mama ni mwiba usiokwepeka.

Furaha ya mama ipo zaidi kwa mtoto wake hasa wa kwanza, Balaa ni pale unapooa single mom, mwenzake aliempa heshima ya kuwa mama ni mwiba usiokwepeka.

Jaman mbona mi sijawahi hata kumpigia simu mwanamke niliyemzalisha toka 2015 na mtoto ninaye huwa akitaka kuwasiliana nae namwambia ampigie mke mwenzie nachoona tatizo lipo kwetu wanaume kutaka kukumbushia ila jamaa huko alipo nahisi ana amani ya moyo maana hajawahi kusumbuliwa
 
Watoto wa single mother wanauza Ramani zote za vita kwa baba yao.

Kwnza hawatokupenda kwa kuamini wewe pengine ndy chanzo cha mahusiano ya wazazi wao kivunjika.
Wakuu nimekuwa msomaji sana wa ishu za single moms mjue tunatishana kila mtu anawaongelea vibaya
Ukweli ndio huu mm pia nilikua naona hiz issue za kuwapondea single mama ni uongo ila mm kwa sasa naishi na single mama lkn najionea uhalisia yaani nilikua na mipango ya kumuoa lkn kwa haya mapicha anayonionyesha nimeghaili moyoni na akilini

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
.. mtoto akitaka aonane na baba yake hata kama wazazi wa mtoto hawaelewani basi mama yupo tayari kufanya lolote kwa ex wake huyo ilimradi tu aone mtoto wake ana furaha,
Na hii ndo chanzo cha kiporo kupashwa kama kawa
 
Usije kujidanganya hata siku moja kwamba mwanamke atakupenda kuzidi watoto au mtoto wake, tena yule wa kwanza huwa ana nafasi yake maalum huwezi mwambia mwanamke chochote kuhusu mtoto wa kwanza aliejifungua, huyu ndie anampa heshima kwa mara ya kwanza kuitwa mama.

Na ndio hapa tunapotoaga onyo kwamba linapokuja suala la ku date ama kutaka kumuoa single mom hakikisha sana umemchunguza vizuri mwenzako aliemtunga mimba ya kwanza na kumpa heshima ya kuwa mama, mapenzi ya mama kwa mtoto atafanya chochote kwajili ya furaha ya mtoto, mtoto akitaka aonane na baba yake hata kama wazazi wa mtoto hawaelewani basi mama yupo tayari kufanya lolote kwa ex wake huyo ilimradi tu aone mtoto wake ana furaha,
Hii mada naiunga mkono kwa sababu nimeyashuhudia yaliyomkuta mdogo wangu, alioa "singo mom". Ni hatari sana.

tena ameoa mwanamke msomi wa hali ya juu na ana elimu zote ya secular na ya dini, ameishi nae miaka mingi sana na huyo singo mom mpakq tukashangaa walipoawachana.

Kama dada mtu ikabidi nimuulize kwanza aliyekuwa wifi yangu, hakutaka kufunguka chochote.

Nikamuuliza mdogo wangu, mkasa alionipa, nikaduwaa na nikamsifu kustahamili na kuyabeba kwa muda mrefu. Alichonambia kilichomfanya astahamili ni mapenzi aliyokuwa nayo kwa mkewe na mwanawe lakini ikafikia kiasi maji yamemzidi kimo.

Visa alivyonipa havielezeki, kwa ufupi ni heri uowe mjane kuliko singo mom.
 
Miaka yote hapa JF nimekuwa nikipinga hilo jina walilojipachika la "singo mom".

Hakuna "singo mom" duniani. Ni kujidanganya na kudanganya wengine tu.
 
Miaka yote hapa JF nimekuwa nikipinga hilo jina walilojipachika la "singo mom".

Hakuna "singo mom" duniani. Ni kujidanganya na kudanganya wengine tu.
😂😂😂😂Kumbe wanaitwaje walioterekezwa
 
Back
Top Bottom