Furaha ya mama ipo zaidi kwa mtoto wake hasa wa kwanza, Balaa ni pale unapooa single mom, mwenzake aliempa heshima ya kuwa mama ni mwiba usiokwepeka.

Kuna jamaa yng mmoja alioa single mother,,

Tulimuonya Sana akashupaza shingo,,

Ilifika muda akakimbizwa kwenye nyumba ambayo alikuta kiwanja chumba kimoja akamalizia kujenga,

Baada ya nyumba kuisha alikimbizwa na watoto wa yule single mother,,
Nusu auawe..

Tatizo la single mothers sio aliyezaa nae pekee ,,hata wale watoto wake pia ni Sawa na kufuga chatu chumbani,,

Jamaa hadi Leo hana hamu na single mother.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dah! Katwishwa jabali😂😂😂
 
Duuu! Si mchezo.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
"ALIEMPA HESHIMA YA KUWA MAMA" Uzi mzima upo hapo mkuu. Ukilijua hili hutahangaika na single mother anymore.

Wajinga wanaendelea kupagawishwa na ufinyiaji wao wa ndani. Mtakufa vibaya
Nawanajua kwel kufinyia kwandani utakuta mbususu zimetight kinoma kumbe wameogea mgagani ila niukwel uliowazi mtu alimzalisha mtoto wakwanza hua hawawez kumwacha
 
Kuna jamaa yng mmoja alioa single mother,,

Tulimuonya Sana akashupaza shingo,,

Ilifika muda akakimbizwa kwenye nyumba ambayo alikuta kiwanja chumba kimoja akamalizia kujenga,

Baada ya nyumba kuisha alikimbizwa na watoto wa yule single mother,,
Nusu auawe..

Tatizo la single mothers sio aliyezaa nae pekee ,,hata wale watoto wake pia ni Sawa na kufuga chatu chumbani,,

Jamaa hadi Leo hana hamu na single mother.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtoto wanyoka ninyoka hawanaga shukuran utamhudumia vizur ila ujue yeye siku zote anajua wew sio babake hasa hawa watoto wakiume wanakuaga nawivu kuona mama yao anabanduliwa namhuni mwingine[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Labda niwarudishe kidogo kwenye biology,

Mbwa, ambaye anafahamika kama "the man's best friend" inasemekana ni mnyama loyal kuliko wote, lakini akizaa mtoto atahamishia mapenzi kwa mtoto wake kwa mda,

Mwanamke kumpenda mtoto na baba ni swala la kibaolojia ambalo yeye mwenyewe hawezi kujizuia

Ndio maana tunawaasa kila siku ukipenda single mother nenda at your own risk, usije kulia kilio cha mbwa koko

Mwanamke aliye na mtoto akili yake yote inawaza maslahi ya mtoto, sasa kama mtoto sio wako wewe utakuwa kama daraja tuu

Naongea haya sio kuwapondea, nyumbani kwetu wamejaa, ila huu ndio uhalisia
 
Watoto wa single mother wanauza Ramani zote za vita kwa baba yao.

Kwnza hawatokupenda kwa kuamini wewe pengine ndy chanzo cha mahusiano ya wazazi wao kivunjika.
Mkuu nimewahi kushuhudia mama wa miaka 60 anamsikiliza baba aliyezaa naye mtoto wa kwanza na kumdharau mumewe, kumbuka waliachana zaidi ya miaka 40 iliyopita
 
Hao ni kupiga pumbu tu, jichanganye uweke ndani likukute jambo
 
Mtoto wanyoka ninyoka hawanaga shukuran utamhudumia vizur ila ujue yeye siku zote anajua wew sio babake hasa hawa watoto wakiume wanakuaga nawivu kuona mama yao anabanduliwa namhuni mwingine[emoji2][emoji2][emoji2]
Kabisa mkuu
 
Sasa kadri tunavyoendesha Maisha ya sasa utandawazi unazidi kuporomosha maadiri kila Leo masingle mama wamekua wengi na kila aliepigwa na kitu kizito hukuakikishia kua utakua peke yako dah kadri unavyozidi kua nae unaona mabadiriko zaidi ndipo unapogundua kua shamba lenye mgogoro siku zote huwezi vuna mazao maana mbegu utayoipanda tayari imetiriwa najisi na kupunguza kabisa ili isiweze kustawi katika shamba ilo sasa wanaume wote tusio na wake muite kikao cha dharura kulitatua ili jambo tujue uelekeo zaidi ni yupi ana FAA au yupi hafai
 
Back
Top Bottom