mxrereco
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,906
- 3,986
Halafu kumbe hata single mother mwenyewe akiwa na mtoto wa kiume ukimwambia mwanao ataoa single mother anamaindi hataki. Wao wenyewe wanajua ni vimeoSahihi kabisa.
Wanaooa singo maza : huwa wanajisahaulisha hapa.
Singo mazaz wenyewe : Huwa hawakubali huu ukweli mchungu.