Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Shimo umejichimbia unadunbukia mwenyew😄😄Kuoa single mother ni kuweka maisha yako rehani kwa makusudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shimo umejichimbia unadunbukia mwenyew😄😄Kuoa single mother ni kuweka maisha yako rehani kwa makusudi
😄😄😄😄Unafanya ni cheke kwa nguvu ujueMtoto akikua hisia zinarudi kwa dingi ake weeeh!!
Bora nusu Shari mkuu ..[emoji1787][emoji1787]Ukweli ndio huu mm pia nilikua naona hiz issue za kuwapondea single mama ni uongo ila mm kwa sasa naishi na single mama lkn najionea uhalisia yaani nilikua na mipango ya kumuoa lkn kwa haya mapicha anayonionyesha nimeghaili moyoni na akilini
Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
Et na mhuni mwingineMtoto wanyoka ninyoka hawanaga shukuran utamhudumia vizur ila ujue yeye siku zote anajua wew sio babake hasa hawa watoto wakiume wanakuaga nawivu kuona mama yao anabanduliwa namhuni mwingine[emoji2][emoji2][emoji2]
Wahurumieni maana ata wao ukute hawakutaka kua hivoNahunga mkono hoja 👍🏼Nilitaka ni yakanyage kwa single mother mwenye watoto watatu pumbuvu sana yule dada lilijifanya kunipenda kumbe lilitaka kunitumia nimerishitukia nimeripiga chini linajifanya kulia lia nikaribrock na kufuta kabisa namba . Baba aliniambia usije oa single mother mwenye watoto wengi
SawaSingle mothers sio wa kuwaoa ila ni wazuri katika kudate nao wanakua na mpevuko mkubwa wa kimawazo, wazuri katika kudinyana na pia wastaarabu kwenye mawasiliano.
Kikubwa usiishi nae sehemu Moja, msaidie vihela kidogo kidogo hawanaga shida
Tatizo Yule mwanaume aliyezaa nae kuna kipindi anaikumbuka mbususu ya mzazi mwenzie.Kwamba bado anampenda pia mwanaume aliye mzalisha?
Kabisa mkuu,,Mtoto wanyoka ninyoka hawanaga shukuran utamhudumia vizur ila ujue yeye siku zote anajua wew sio babake hasa hawa watoto wakiume wanakuaga nawivu kuona mama yao anabanduliwa namhuni mwingine[emoji2][emoji2][emoji2]
Ndy hivyo mkuu..Mkuu nimewahi kushuhudia mama wa miaka 60 anamsikiliza baba aliyezaa naye mtoto wa kwanza na kumdharau mumewe, kumbuka waliachana zaidi ya miaka 40 iliyopita
Usipo IPA likeHakika na sadiki maneno yako ni kweli...Ukithubutu kuoa single mother ni kukaribisha umauti wako mapema au kuwa mtu wa depression maisha yako yote..
😳😳😳Kuchapiwa njenjeTatizo Yule mwanaume aliyezaa nae kuna kipindi anaikumbuka mbususu ya mzazi mwenzie.
Tena anaweza akasababisha hata ratiba zenu za kustarehe na mkeo zikabadilika..[emoji15][emoji15][emoji15]Kuchapiwa njenje
Mimi nshasema siwezi kuyatiringanyisha tena Wacha nami Nile tu😆Tena anaweza akasababisha hata ratiba zenu za kustarehe na mkeo zikabadilika..
Maana kila siku single mother atasema anaumwa na hayupo sawa kukupa mbususu.
Kumbe baby dady wake anamchosha huko nje [emoji23][emoji23].