Utaula wa chuya
JF-Expert Member
- Sep 19, 2022
- 495
- 1,344
Safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe unaishi mtaa gani boss. Huduma zetu ni nzuri sana boss. Ukipata matatizo kama hayo tena wasiliana na mimi nikutatulie tatizo lako kwa wakati.... mwanzoni nilidhani gesi ikiisha unalipia na kupata huduma kama ilivyo LUKU; kumbe hadi usubiri uletewe! Hilo ni tatizo na customer service za kibongo zilivyo za kindezi unapigia jitu ambalo ni wajibu wake litoe huduma halipokea simu au haipatikani kabisa.
Kwa bongo hii huduma za aina hii bado sana. Kwanini nikiishiwa gesi nisivuke tu mtaa wa pili nikabadili mtungi au nikamtuma boda chap! This is more reliable kuliko huo uzungu tunaojaribu kuuiga wakati tabia na desturi zetu bado sana.
sanaahuduma safi sana hii
Boss gesi zote gharama ni sawa tu na inategemeana na matumizi yako.Hatakiwi kuhama na mtungi wake
Haitakiwi apitishe wiki 2 bila kununua gesi
Gesi yenu bei juu ya buku ni dk 0 tu, mtungi wenu ule mdogo mpaka unaisha anajikuta kaishalipia zaidi ya 40-50 elfu, wakat kampuni nyingine ni 22k.
Kopa-Gas tutaendelea kuwepo siku zote boss usiwe na hofu. Karibu upate huduma yetu.Wakenya kwa kukopesha tu hamjambo,ubaya wake ni kwamba huwa hizi huduma zenu zinaenda na zinapotea.
Mtaacha watu kwenye mataa hawatoamini macho yao,M-GAS nawakumbuka na M-KOPA yani mkianzaga tu mnaanzaga kwa speed ya kimbunga
sasa hivi humalizi dk 5 haijakatza pikipiki ya M-GAS nasikitika kimoyo moyo kwasababu nyie ni mabinga wa kuanzisha ila kuendeleza na kudumu katika mlichoanzisha ni jambo lingine kabisa.
Siharibu biashara yenu,najua wakati mnaifanya hii biashara hamtakua na kasoro ila shida yenu ni hamdumu ktk mlichoanzisha,mtawaacha raia kwenye mataa najua.
Biashara ya kukopesha Gas hamtoboi tena kwa Watanzania hawa hawa Hamtoboi hilo nina uhakika nalo.
Wateja mtawapata ila wateja wanaochakecha na kupembua vitu kabla ya kufanya maamuzi hao hamtowapata,Hivi Dar es Salaam yote ni mjini wakuu?
nilikua nataka washauri hawa ndugu zangu wajikite Daslamu vijijini kule wateja ni wengi kwasababu ya uhaba wa gas hata hizi za kawaida ila kwa walioko daslam mjini kwenye gas hadi za 13k kujaza,Kuwapata ni ntiti.
Vitendo ni vizuri kuliko maneno,mkifika 2025 ntajua mpo serious.Kopa-Gas tutaendelea kuwepo siku zote boss usiwe na hofu. Karibu upate huduma yetu.
Tutakuwepo mpaka 2040 boss ondoa shaka kabisa. Hapa tunachokamilisha ni kusambaza huduma yetu Tanzania nzima.Vitendo ni vizuri kuliko maneno,mkifika 2025 ntajua mpo serious.
SawaMeneja Wa Makampuni gesi yangu ikiisha nafunga hii. Nipo Kimara.
Tupigie au tuma ujumbe kwenye namba 0747744895 tupate kukusajili mapemaMeneja Wa Makampuni gesi yangu ikiisha nafunga hii. Nipo Kimara.
Kwa ushauri wangu, tumia utaratibu huu, eneo ulilopo nenda kwa wakala wa M-Gas umwuulize kwasababu kila mtaa huwa unakuwa na wakala wa M-Gas. Ukishindwa kutatuliwa tatizo lako ndio uende makao makuu.Nimeikuta sehemu nikaitamani,bahati nzuri wakati natafuta namba zao,ndo nimekumbana na hizi comments. Kumbe 90% hawajalidhia huduma zao.
Meneja mwenyewe,maelezo yake hayajitoshelezi. Sehemu moja wanadai mtungi ni bure. Tena eti ulipie elfu 40. Tena badae unaambiwa kuna hela ya jiko. Na mbona kwenye maelezo haipo? Hio itakuwa kama ile ya TANESCO.
Kwa ufupi,ni janja janja siyo! Sasa anapodai kwambakutompelekea mtu gesi,inatokana na wingi wa wateja, hiyo inamhusu nini alieishiwa gas? Hili ndo sijapenda mie.
Kwa nini msiweke vituo sehemu mbali mbali,basi kwa anaeona kusubili hawezi,awe anafata mwenyewe? Na ya nini muwe waongo, mkimwambia asubiri siku 2 mnapungukiwa nini? Japo kwa sasa huduma ya gesi si ya kusubiri?
Bei ya jiko uliyotaja huenda ikawa chanzo ndo Sh ngapi? Na hukatwa kwa mda gani?Kwa ushauri wangu, tumia utaratibu huu, eneo ulilopo nenda kwa wakala wa M-Gas umwuulize kwasababu kila mtaa huwa unakuwa na wakala wa M-Gas. Ukishindwa kutatuliwa tatizo lako ndio uende makao makuu.
Ni bora uende ofisini kwa wakala wa M-Gas aliye kwenye mtaa wako huyo ndio utaratibu mzuri ambao utasaidia kumaliza tatizo lako.Yaan najuta hawa jamaa wameniingiza choo cha kike na 40,000 yangu
Ninapokaa hakuna wakala,mbona namba zenu hazipatikani????huku yombo hakuna wakala,harafu yule alieleta mtungi mbona akipigiwa simu anasema yeye hausiki???Ni bora uende ofisini kwa wakala wa M-Gas aliye kwenye mtaa wako huyo ndio utaratibu mzuri ambao utasaidia kumaliza tatizo lako.