UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Wewe ulitaka liwe lile jamaa linaloshikishwa ukuta na akina rob amster kule ubeleji? Jamaa lenyewe #dishlimetilt kiasi hicho, utasubiri sana.Tuliempoteza ni yupi. Labda lile likurupukaji liuaji litekaji na livunja katiba? Ndio unamaanisha? Hakuwa na akili hiyo. Aliuwa wenye akili akina Mawazo Ben saanane nk
Bwashee kumbe mtu akiwa Manyara akili inakuwa imefungwa asiweze kufikiria ya Katavi?Boss huna kitu chochote cha kiuchumi unachoweza kuripoti kutoka Manyara hadi uongelee ya Katavi ukiwa Manyara?
Tatizo wewe unaendeshwa na chuki! Magufuli anamabaya na mazuri! Decision maker! Endelea kusikilza watu wenye maneno mengi vitendo zero!Nchi haiwezi kumtegemea mtu, na kibaya zaidi awe dikteta kama yule.
Mawazo alikufa kwenye utawala wa Kikwete wewe mjinga fikiria kabla ya kukurupuka!Tuliempoteza ni yupi. Labda lile likurupukaji liuaji litekaji na livunja katiba? Ndio unamaanisha? Hakuwa na akili hiyo. Aliuwa wenye akili akina Mawazo Ben saanane nk
alishafariki!Hakika mambo mazito kama hayo yanatakiwa kuamuliwa na mtu wenye maamuzi magumu!
Beni saa nane alikuwa anamchango gani kwa bongo.Tuliempoteza ni yupi. Labda lile likurupukaji liuaji litekaji na livunja katiba? Ndio unamaanisha? Hakuwa na akili hiyo. Aliuwa wenye akili akina Mawazo Ben saanane nk
| Kaimu Konseli Mkuu katika Konseli Kuu ya Tanzania, Lubumbashi, Bi. Asha Mlekwa na Waziri wa Mambo ya Ndani na Usalama wa Jimbo la Haut-Katanga, Mhe. Erick Muta Ndala na ujumbe wa wataalam kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi wakiwasili eneo la kuegesha malori kwa ajili ya kujadili utatuzi wa changamoto wanazokabiliana nazo madereva wa Tanzania wanaofanya safari kati ya Tanzania na DRC |