UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Wewe ulitaka liwe lile jamaa linaloshikishwa ukuta na akina rob amster kule ubeleji? Jamaa lenyewe #dishlimetilt kiasi hicho, utasubiri sana.Tuliempoteza ni yupi. Labda lile likurupukaji liuaji litekaji na livunja katiba? Ndio unamaanisha? Hakuwa na akili hiyo. Aliuwa wenye akili akina Mawazo Ben saanane nk