Fursa Congo: Sasa tuboreshe Tazara kuwa SGR, njia nne Mbeya -Songwe na tujenge Barabara na reli ya Kisasa hadi bandari ya Kalemi, Katavi

Fursa Congo: Sasa tuboreshe Tazara kuwa SGR, njia nne Mbeya -Songwe na tujenge Barabara na reli ya Kisasa hadi bandari ya Kalemi, Katavi

Tuliempoteza ni yupi. Labda lile likurupukaji liuaji litekaji na livunja katiba? Ndio unamaanisha? Hakuwa na akili hiyo. Aliuwa wenye akili akina Mawazo Ben saanane nk
Wewe ulitaka liwe lile jamaa linaloshikishwa ukuta na akina rob amster kule ubeleji? Jamaa lenyewe #dishlimetilt kiasi hicho, utasubiri sana.
 
Mawazo mazuri lkn watu kama nyie dunia ama nchi za giza Africa huwa haziwahitaji.

Serikalini yamejaa majitu yasiyo na maono yaanj useless, watu wa muhimu kama mtoa post wanaishia kufungua thread mitandaoni na hakuna la maana nchi inafaidika na watu hawa
 
Tuliempoteza ni yupi. Labda lile likurupukaji liuaji litekaji na livunja katiba? Ndio unamaanisha? Hakuwa na akili hiyo. Aliuwa wenye akili akina Mawazo Ben saanane nk
Mawazo alikufa kwenye utawala wa Kikwete wewe mjinga fikiria kabla ya kukurupuka!
 
Tuliempoteza ni yupi. Labda lile likurupukaji liuaji litekaji na livunja katiba? Ndio unamaanisha? Hakuwa na akili hiyo. Aliuwa wenye akili akina Mawazo Ben saanane nk
Beni saa nane alikuwa anamchango gani kwa bongo.
 
MIMI KWA UPANDE WANGU SIDHANI KAMA RELI YA TAZARA ITABOLESHWA IKIISHA HII YA KATI BIASHARA YA MAROLI ITAPUNGUA SANA TENA SANA, MIMI NAKUMBUKA HII RELI YA KATI MZEE WA MSOGA ALIAMBIWA NA WAJAPANA TANGU WAKAENYA HAWAJAANZA KUJENGA , WAJAPANA WALIKUWA WANATAKA KUJENGA MPAKA MPAKANI MWA RWANDA NA BURUNDI ILA ALIKATAA , ALIKUJA KUKUBALI BAADA YA KUOANA WAKENYA WANAJENGA KUOOGOPA USHINDANI WA BANDARI.
SIDHANI KAMA ITAREKEBISHA HIO YA TAZARA ,
WAKUU WATU WANAMAROLI YAO HUKO.
 

Tuesday, June 13, 2023​

KONSELI KUU YA LUBUMBASHI YAKUTANA NA MADEREVA​

Kaimu Konseli Mkuu katika Konseli Kuu ya Tanzania, Lubumbashi, Bi. Asha Mlekwa akiwa na ujumbe wa wataalam kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na Waziri wa Mambo ya Ndani na Usalama wa Jimbo la Haut-Katanga, Mhe. Erick Muta Ndala walifanya ziara ya kutembelea madereva wa malori ya Tanzania yanayofanya safari kati ya Tanzania na DRC upande wa Jimbo la Haut-Katanga na Jimbo la Lualaba.

1686669627099.png


Madereva wa Malori wakielezea changamoto wanazokutana nazo na kupewa majibu kutoka kwa Wahusika.

Ujumbe huo uliofika maeneo hayo tarehe 12 Juni 2023 ulisikiliza changamoto za kiusalama zinazowakabili madereva wa malori wanaosafirisha mizigo kati ya DRC na Tanzania inayopita katika Bandari ya Dar es Salaam. Mhe. Ndala aliahidi kuendelea kuboresha hali ya usalama wa madereva na mizigo akitoa mfano wa mafanikio yaliyofikiwa katika kupunguza vitendo vya utekaji wa malori yanayobeba madini ya shaba.


1686669753673.png
Kaimu Konseli Mkuu katika Konseli Kuu ya Tanzania, Lubumbashi, Bi. Asha Mlekwa na Waziri wa Mambo ya Ndani na Usalama wa Jimbo la Haut-Katanga, Mhe. Erick Muta Ndala na ujumbe wa wataalam kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi wakiwasili eneo la kuegesha malori kwa ajili ya kujadili utatuzi wa changamoto wanazokabiliana nazo madereva wa Tanzania wanaofanya safari kati ya Tanzania na DRC
Source : KONSELI KUU YA LUBUMBASHI YAKUTANA NA MADEREVA
 
Back
Top Bottom