SIO KINGINE BALI NI
SAMSTUDIO MOROGORO
kwa madij arushaaaaaNice bro nimeipenda hii sana, series unachukulia wapi
Ni shughuli yeyote inayozarauliwa na wasomi ukiifanya kisomi ni rahisi kutoka,kuanzia kuuza chips,takeaway,kuuza Mihogo, Viazi,mkaa, nk,unaweza fanikiwa
Du!!! huo utani sasa. Ujue mi nimekunja ndita nasoma thread moja hadi nyingine ujueKufanya kazi mortuary inalipa sana maiti nyingi za ajari huwa zina pesa mfukoni unajiokotea tu pia unapata nafasi ya kupapasa wale mademu waliokua wanajifanya high class mjini!
Ni biashara nzuri sana mkuu...Nataka nifuge kuku nianze na kuku elfu moja wafugaji nipeni uzoefu sitaki kujaribu nataka nifanye.kuna watu waliniambia wao wamesomeshwa kwa kuku
Ni wazo zuri cha msingi ni kuzingatia chanjo na virutubisho katika chakula pia usafi wa banda na vyombo vya chakula na maji,Nataka nifuge kuku nianze na kuku elfu moja wafugaji nipeni uzoefu sitaki kujaribu nataka nifanye.kuna watu waliniambia wao wamesomeshwa kwa kuku
Nashukuru sana wanalipa?Ni wazo zuri cha msingi ni kuzingatia chanjo na virutubisho katika chakula pia usafi wa banda na vyombo vya chakula na maji,
Nakushauri uanze na vifaranga....
Wanalipa sana hasa ukipata mbegu inayotaga mayai mengi mfano kuku wa malawiNashukuru sana wanalipa?
Ipo mazimbu road? Nataka nije nikuungisheSIO KINGINE BALI NI
SAMSTUDIO MOROGORO
NOP MSAMVU NA 4WAYS(KICHANGANI)Ipo mazimbu road? Nataka nije nikuungishe
Naomba kuuliza mayai yake soko lake lipoje haya mayai yani soko lake ntalipata wapi?Wanalipa sana hasa ukipata mbegu inayotaga mayai mengi mfano kuku wa malawi
Soko ni kubwa kwa mfano mimi nasambaza madukani na vibanda vya chipsiNaomba kuuliza mayai yake soko lake lipoje haya mayai yani soko lake ntalipata wapi?
Nashukuru sanaSoko ni kubwa kwa mfano mimi nasambaza madukani na vibanda vya chipsi
OkNashukuru sana
Ni moja kati ya biashara nyepesi katika uendeshaji, yenye uhakika wa pesa kila siku inategemeana na eneo husika na jamii husika inayokuzunguka pia. Changamoto iliyokuja kuharibu hii biashara ni baada kuwepo kwa muda rasmi wa kufungua na kufunga. Kwangu mimi ikawa shubiri nikaamua kuachana nayo maana kipato kiliporomoka kutoka 40 mpaka 15 kwa siku,Mwenye uzoefu na biashara ya kuchezesha video games tafadhali tuongee