Fursa gani zinadharauliwa lakini zinaweza kukutoa kimaisha?

Fursa gani zinadharauliwa lakini zinaweza kukutoa kimaisha?

Kufanya kazi mortuary inalipa sana maiti nyingi za ajari huwa zina pesa mfukoni unajiokotea tu pia unapata nafasi ya kupapasa wale mademu waliokua wanajifanya high class mjini!
Du!!! huo utani sasa. Ujue mi nimekunja ndita nasoma thread moja hadi nyingine ujue
 
N
Nataka nifuge kuku nianze na kuku elfu moja wafugaji nipeni uzoefu sitaki kujaribu nataka nifanye.kuna watu waliniambia wao wamesomeshwa kwa kuku
Ni biashara nzuri sana mkuu...
Wakati nasoma diploma, tulikuwa tunafuga na sister wangu broilers, tulianza na 250 na ndani ya miezi 6 tulifuga batch 4 tukafika kuku 800. Mara ya mwisho kabla ya kuhama mkoa tulipata faida net 1.2M kwa kuuza kuku 800! So inalipa
 
Nataka nifuge kuku nianze na kuku elfu moja wafugaji nipeni uzoefu sitaki kujaribu nataka nifanye.kuna watu waliniambia wao wamesomeshwa kwa kuku
Ni wazo zuri cha msingi ni kuzingatia chanjo na virutubisho katika chakula pia usafi wa banda na vyombo vya chakula na maji,
Nakushauri uanze na vifaranga....
 
Ni wazo zuri cha msingi ni kuzingatia chanjo na virutubisho katika chakula pia usafi wa banda na vyombo vya chakula na maji,
Nakushauri uanze na vifaranga....
Nashukuru sana wanalipa?
 
Mwenye uzoefu na biashara ya kuchezesha video games tafadhali tuongee
Ni moja kati ya biashara nyepesi katika uendeshaji, yenye uhakika wa pesa kila siku inategemeana na eneo husika na jamii husika inayokuzunguka pia. Changamoto iliyokuja kuharibu hii biashara ni baada kuwepo kwa muda rasmi wa kufungua na kufunga. Kwangu mimi ikawa shubiri nikaamua kuachana nayo maana kipato kiliporomoka kutoka 40 mpaka 15 kwa siku,
 
Msaada wana jamvi
Naomba kujuzwa juu ya masharti ,sheriA Na taratibu za kufungua cosmetics shop pamoja na mtaji minimum wa kuanza nao
Asalaam nawasilisha
 
Back
Top Bottom