Fursa kwa wana IT: Wateja wanahitaji Kariakoo ya mtandaoni inayofanana na Alibaba.Com, kama una uwezo chukua hatua bila kusita

Fursa kwa wana IT: Wateja wanahitaji Kariakoo ya mtandaoni inayofanana na Alibaba.Com, kama una uwezo chukua hatua bila kusita

Ndo unavyowajibu wateja wako? Kiburi ndo kitu kinawafelisha vijana wengi. Wewe ni mfano hai.

SIJIBU WATEJA WANGU HIVI,NAJIBU WATU WANAOONA MATATIZO KWENYE KILA FURSA KAMA WEWE.

Hicho kiburi unakiona wewe tu.

Umetoa hoja basi ukiulizwa swali jibu kwa hoja.Sio umekosa hoja za msingi za kutetea akili yako dhaifu yakuona kila kitu hakiwezekani unakuja kijificha nyuma ya kivuli et vijana tunakiburi na ujuaji.SASA KAMA UMEKOSA USIAMBIWE UKWELI,MIMI SINA NIDHAMU YA UWOGA.

KAMA UKWELI UTAKUUA WEWE KUFA TU
 
Huyu mleta uzi mwenyewe ni kijana wa hovyo na kujifanya mjuaji. Huyu aendelee kuwa winga tu. Kwa hii ego aliyo nayo anapoteza muda kufikiria jambo kama hilo.
Angalia mwenzako nilivomuuliza swali alivojibu kwa hoja kwani umeona tumekwaluzana sehemu yeyote.Wewe akili ndogo unakosa hoja unakimbilia kusema watu wajuaji
 
Kwanini bro.
 
Wewe kama wewe unashauri nini katika hili swala?
 
Wewe kama wewe unashauri nini katika hili swala?
labda IT wa Kenya au Rwanda, Bongo Viswahili vingi, kazi mbovu
na pia msichana wa jana hapo juu ana hoja, Bongo nidhamu hakuna kabisa, upande wa muuzaji na upande wa mteja pia, kote changamoto

mie kama mteja, kwenye ad, delivery inasema free, ukimpigia anasema utaongezea sh. 5000
siyo mara moja unapiga unaambiwa hiyo bidhaa haipo, maana kashindwa ku-update kwenye ad
yaani Bongo bora liende
na kero nyingine kibao, kuongeza bei kiholela, etc,etc
 
Nimekuelewa vizuri sanašŸ¤šŸ¤

Msichana wa jana pia nimemuelewa vizuri sana.
 
SIJIBU WATEJA WANGU HIVI,NAJIBU WATU WANAOONA MATATIZO KWENYE KILA FURSA KAMA WEWE.

Hicho kiburi unakiona wewe tu.

Umetoa hoja basi ukiulizwa swali jibu kwa hoja.Sio umekosa hoja za msingi za kutetea akili yako dhaifu yakuona kila kitu hakiwezekani unakuja kijificha nyuma ya kivuli et vijana tunakiburi na ujuaji.SASA KAMA UMEKOSA USIAMBIWE UKWELI,MIMI SINA NIDHAMU YA UWOGA.

KAMA UKWELI UTAKUUA WEWE KUFA TU
Wewe tayari umeshafeli.
 
Hellow members,nimekuja kushare nanyi fursa hii niliyogundua kuwa inahitajika kwenye soko la kuuza na kununua bidhaa hasa kariakoo.

Nimekuwa nasafirisha bidhaa za watu mbali mbali kutoka kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani kwa mda sasa.

Katika hizi harakati mara nyingi nimekuwa napata changamoto ya watu kutaka kujua bei ya bidhaa flani na picha ya bidhaa husika.Sasa hili swala la kutafuta bei ya bidhaa na picha kila siku limekuwa changamoto sana.

Sasa juzi kati hapa nilipata mteja mmlawi anahitaji bidhaa kariakoo ila changamoto ikawa anataka picha za bidhaa mbali mbali aangalie then achague halafu mimi nikalipie nimsafirishie.

Sasa kuna mda inakuwa ni changamoto kupata picha za bidhaa ukizingatia wauzaji wengi wa kariakoo wapo bize na hawapendi usumbufu wa kuomba omba picha.

Sasa katika kuwaza nikagundua kungekuwa na platform like alibaba.com ambapo wauzaji wa kariakoo wanalist bidhaa zao na bei zao za jumla na rejareja ambapo mtu yoyote kutoka sehemu yoyote anaweza akaingia na kuchagua bidhaa then sisi wasafirishaji tukafika duka husika na kumsafirishia bidhaa zake.

Kila la kheri

Nilishafikiria hii kitu ugumu unakuja nani ataweka bidhaa kwenye app?
 
Au unaweza kuwa agent wa maduka ya kkoo, unakuwa registered unaweka mfumo wa malipo mtu anaweka oda ya bidhaa anayotaka analipia pamoja na usafiri wewe kazi yako ni kwenda kununua au kupiga sim duka husika wafunge mzigo au unaenda mwenyewe. Unachukua buku kwa kila bidhaa unaweka limit ya oda labda 100pcs kwa kila bidhaa ili upate chochote kitu ukiwa mtu kazi.
 
Wazo zuri
 
Back
Top Bottom