Fursa nchini Morocco: Biashara ya mbuzi inalipa sana

Pamoja na kuwa na wazo la kuuza Mbuzi mnyama, nimewaza kumbe unaweza kuwa unauza Mbuzi Choma hasa kama utapata fundi mzuri wa Kuchoma

Uzuri wake maombi ya passport yamerahisishwa miaka hii
 
Pamoja na kuwa na wazo la kuuza Mbuzi mnyama, nimewaza kumbe unaweza kuwa unauza Mbuzi Choma hasa kama utapata fundi mzuri wa Kuchoma

Uzuri wake maombi ya passport yamerahisishwa miaka hii
Ee unaweza ukapata site ukachoma nyama kule, ila sehem iwe classic sio unaenda kuwachomea wa kirumba mwaloni mwanza au vingunguti dar. Mtu aje kupark cardilac yake kula nyama yako
 
Tanzania si nasikia tuna export nyama ya mbuzi huwa wanapeleka wapi?
Kwenye nchi za kiarabu ikiwemo Morocco,kuna kiwanda kikubwa tu cha kuchakata nyama kinachomilikiwa na muhindi mkoani Arusha huwa kinafanya uchakataji na usafirishaji nyama (ya mbuzi tu) kwenda huko, kiwanda kina uwezo wa kuchakata hadi mbuzi mia tano kw sikuna bado wanasema soko mzigo hautoshi, ni biashara nzuri ila inahitaji mtaji mkubwa,, wat3ja huwa wanatoa order ya kuanzia mbuzi 100 na kuendelea,nilishajaribu kutafuta wateja huko kupitia Go4worldbusiness.com na nikawapata wengi tu, issue ni vigezo na masharti yanakuwa mengi huku mtaji pia ukiwa changamoto, asante kwa kutusanua tena.
 
Mimi nimefika sehem husika nimeshuhudia,naongea nilichokiona
 

kwani hapa tz mbuzi ni bei gani hata ukauze Morocco ???
 
Hapo inabidi usafirishe mzigo kwenye ndege ya mizigo. Utahitaji mtaji mkubwa sana.
Nadhani hakuna ndege ya mizigo au ya abiria ya moja kwa moja TZ kwenda Morocco.

Hapo gharama ya kupeleka kiwandani kuchinja na packaging, uwe na vibali vyote vya usafi, export na mkemia
Hii sio fursa ya kuletwa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…