mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Wakuu salamu,
Ninakifahamu kijiji kipo mbeya. Eneo linajoto maana ni karibu na kyela.
Ardhi nzuri Kwa kila zao unalo lijua kama ufuta, Karanga, mpunga , mahindi, ndizi na kila zao unalo lijua.
Changamoto:
Kijiji kinabarabara mbovu ajabu! Kiasi kwamba kimeachwa kama kisiwa na kina changamoto ya madaraja.
Uzuri:
Ardhi nzuri Sana inafaa Kwa kilimo na mifugo.
Ushuhuda:
Nimepata heka 5 Kwa sh. Laki tatu tuu mwishoni mwa mwaka Jana. Nimepanda mahindi, ndizi na kokoa.
Sababu ya kuandika hapa:
Mimi Kwa Asili ni mwanajamii Kwa miaka kenda rudi.
Nimetamani kuipata vijana wachache wasio zidi wanne ambao watapenda kuhamia katika hiki kijiji na kuendesha shughuli za kilimo na ufugaji
Sifa: Nashauri wawe vijana na wasiwe Wale mabepari.
Awe anaanzia maisha na anauwezo wa kuishi kabisa kijijini sio kutuma wafanyakazi. Wanakijiji wanahitaji Mtu wa kuishi nae na sio kuwekeza tuu na kuwaachia mashamba.
Ardhi nzuri mno wanaitoa Kwa gharama nafuu ili wapate watu wa kuishi nae.
N.B. Sitapokea fedha ya Mtu Ila Kwa atakae hitaji nitamuongoza mpaka Kwa wanakijiji ambapo atakabidhi fedha na kukabiziwa mji. Kwa Sasa eneo lolote la ukubwa wowote unao upenda linatolewa Kwa shilingi laki tatu Tu.
Karibuni tulime kijijini kwetu kuzuri.
Karibuni tuchimbe dhahabu ingawa ni vumbi vumbi.
Karibuni tuchome mkaa.
Kwa zaidi PM tafadhari