Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

Mkuu unaweza kunieleza gharama zote za visa,nauli na michakato yote kwa ujumla hadi kufika Canada na kuanza kutafuta kazi kule?
Mkuu sina ufahamu mkubwa juu ya hilo
Ila nijuavyo Canada wana program yakutoa visa kupitia canada Express entry kwa watu wenye ujuzi mbali mbali unaweza temebelea web yao ukapata mwanga zaidi ili tushare ulichokielewa

Screenshot_20210819-232254_Brave.jpg
 
Mkuu sina ufahamu mkubwa juu ya hilo
Ila nijuavyo Canada wana program yakutoa visa kupitia canada Express entry kwa watu wenye ujuzi mbali mbali unaweza temebelea web yao ukapata mwanga zaidi ili tushare ulichokielewa

View attachment 1898878
Hii nina ufahamu nayo,ambacho bado sijakipatia majibu ni kujua niandae kiasi gani cha pesa ili niwe na confidence ya kuuanzisha huo mchakato lengo ni kwamba nikianza ufuatiliaji nisikwame na kuishia kati.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Vizuri kwa kushare!

Hizi nj scholarship za bachelor degree na Masters zinatolewa na Mwalimu JK N memorial Uni kwa ajli ya wanafunzi wenye ufaulu wa juu wanahotaka kujiaunga na vyou mbali mbali hapa Tz ..!! _ nimeongezea nyama tu...!
 
Hii nina ufahamu nayo,ambacho bado sijakipatia majibu ni kujua niandae kiasi gani cha pesa ili niwe na confidence ya kuuanzisha huo mchakato lengo ni kwamba nikianza ufuatiliaji nisikwame na kuishia kati.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Nimekupata mkuu sina jibu la moja kwa 1 ila wameziweka kwa makundi hizi gahrama kurtegemeana ana aina yako ya kazi.

mfano health worker gharama zake zinaweza kuwa tofauti na engineers..

Hii apa site yenye FEE LIST

Naamnin ukipita category moja hadi nyingine utakuwa na data za kutosha..

Maana wanaweza kjkujumuishia Visaa Fee + permanent residence fee or Temporary residence fee e.tc !
Kama $800+
 
ooh asante mkuu kwa info

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Uzi upo moto ila humu ndani kuna mwanajamvi alishawahi kutoa uzi flani hivi wa kwenda nje kihalalo na kirahisi kupitia kuomba kwenye website flani hivi nimezosahau majina ambapo utakuta watu wanatoa mialiko ya kwenda kuwasaidia kazi huku wew wakikupa hifadhi na chakula kwa muda husika
 
Nafikrie u

Unazungumzia hii site hapa chini?

Screenshot_20210820-001521_Brave.jpg

LAbda wadau watuambie inakuwaje ...unaweza kupata visa just kwa mualiko utakoupata humu??
 
Wiki kadhaa zilizopita rais wa Kenya alikuwa U.K kaongea na moja ya waziri huko ...kuhusu masuala ya wafanyakazi sekta ya healthy care,

Sasa hivi wakenya wana chance kubwa ya kupata kazi za health care huko U.K kutokana na uhaba uliopo..
 
Nashukuru kwa Tag mkuu, hili ndio nilikuwa nazungumzia hongera kwake Rais wa Kenya Kuwatafutia huu mchongo hao nurses- nje za ulaya na marekani nurses wanalipwa vizuri sana sana!!!..
 
Nafikrie u
Unazungumzia hii site hapa chini?

View attachment 1898916

LAbda wadau watuambie inakuwaje ...unaweza kupata visa just kwa mualiko utakoupata humu??
Hii site iko vipi mkuu,tupe maelezo kidogo kama una uelewa nayo
 
Unaweza kuitumia ku host wageni wanaotoka nje ya nchi kuja Tz... au wewe ukatafuta host kwenye nchi unayotaka kwenda kuvisit!
 
Watz wapo wana pambana kielimu uchumi etc... Na taasisi za kimataifa zipo pia katika kusaidia wakishirikiana na serikali ya jmt

Screenshot_20210827-043940.png

Screenshot_20210827-043627.png

Screenshot_20210827-043651.png

Screenshot_20210827-042501.png

Screenshot_20210827-043117.png

Screenshot_20210827-043505.png
 
Back
Top Bottom