Futa milele leseni zote za madereva waliogoma bila kufuata utaratibu.

Wanachogomea ni wasiadhibiwe wakifanya makosa ya barabarani. Mbona wafanyakazi wengine kama vile madaktari, wauguzi, walimu wanafutiwa leseni zao kama wakikosea? Utasikia amesababisha mama kajifungua mwenyewe bila msaada futa leseni yake. Ajali tena hapa mwisho wa mwaka ni nyingi sana na za makusudi. Kwanini tusiadhibiwe kama tukipita kwenye taa nyekundu? Kipita vibao vya 50 kwa speed kubwa?, ku overtake kwenye kona? Kupita zebra cross bila kusimama? Kunywa pombe na kuendesha? Kuongea na simu huku unaendesha? Kwanini usifunge mkanda kwa usalama wako? Kwanini ujaze abiria kuliko uwezo wa gari na matairi?
 
Uko sahihi sema tu kwenye hili lengo mama la serikali ni kupunguza ajali zinazotokana na upande wa madereva. Wanachokifanya kaka zangu hawa hapa wanataka wasababishe ajali lakini wasiadhibiwe au wapewe adhabu ndogo. Wafanye makosa lakini wasipewe adhabu kali mno.

Ajali ni nyingi watu wanajeruhiwa na kufariki kwa ajali zinazozuilika.
 
Wewe ni kilaza na huyu jamaa pia. Eti umekanyaga msitari kidogo tu wakati wa kurudi kwenye njia yako anakukamata. Hutakiwi uukanyage ule mstari unaokukataza usiovertake maana mstari ule huwa unachorwa sehemu ambayo mbele huoni kwa umbali mrefu kwasababu ya kona au kwenye daraja njia nyembamba. Kwanini uukanyage?

Hiyo fine kwa RTO anasema hana ushahidi, maana yake ni habari za kusikia.
 
Kama gari haina kosa una wasiwasi gani. Sare zao zimeandikwa majina yao kamali na namba zao kwanini huripoti tabia hizo?. Kwani ukikataa kutoa atakufanya nini?

Shida ni dereva hataki kuandikiwa kulipa 30,000.
 
Kuna wale waliotunishana misuli na maafisa wa polisi, mkuu wa wilaya ya Ubungo, waliwapuuza na kuwaoneshea dharau hadharani wanaambiwa toeni mabasi yenu waliwapuuza nia yao ni kutaka kuchochea km vurugu, haku ya Mungu km vp huyu Rais atupishe wale ni wa kuwafungia milele mpk wanakufa.
Kuna moja nilimwona anasema kwani afande ni nani, DC ni nani? Ye anamjua nani nchi hii? Mi naona Samia anapandikiza mbegu mbaya sana, jamii isiyoheshimu mamlaka, jamii ya kambarage hakuna mkubwa maana wote wana ndevu. Tatizo la nchi hii ni Rais kutuletea mwanamke tena mzanzibari. We wapumbavu wenye kiburi km wanyakyusa wa Mbeya watamsikiliza huyu mzanzibari? Ingawa wanawake zao wanawapeleka mchamchamka? Mzanzibari wa kawaida mwanaume ni rojo, mlaini, mdebwedo sembuse mwanamke awe AMIRI JESHI MKUU? Hii tumeuzwa jumla na itatusumbua mpk 2030. Hao madereva wakishirikiana na wamiliki wao kuanzia mwezi wa 2 wameongeza nauli mpk mara 2 hasa maeneo ya wilayani LATRA imejificha, Rais amejificha. Rais yuko km msukule tunaoona ni uteuzi akijaza ndg zake waislam, ndicho kilichomweka pale? Rais gani hana mechanism ya kuongea na wananchi? Mkapa alikuwa anaongea na wananchi kila mwisho wa mwezi. Kikwete naye alikuwa na utaratibu wake, huyu wa sahv ni km msukule anaogopa wananchi wake. Tatizo siyo kuwa mwanamke ni kwamba hili mwanamke halina uwezo, angalieni mwamba Rais wa Namibia yuko km dume anawatolea wazungu zaidi ya mwanaume. Waliotuletea huyu mwanamke mzanzibari Kikwete na Magufuli uzao wenu ULAANIWE MILELE!
 
Sisi tuliosoma Cuba tunajua kama ukiona kobe juu ya mti kuna mtu kampandisha pale, mtafute huyo mtu haraka.

Wenye D tatu wanajua kuwa kunguru hana kibiyongo, kama ukiona kibiyogo kainama anaokota kitu. Muwahi kabla hajaruka nacho, huenda akaruka na kifaranga chako na hata chupi ya mtu.
 
Kabisaa hiyo ndio dawa. Futa leseni zao ili washike adabu. Madereva wapo wengi mitaani.
Futa kabisa leseni zao kwakuwa mgomo wao sio wa kudai maslahi bali kupinga sheria ya kupunguza makosa ya barabarani na ajali za magari. Tena sheria ambayo haijaanza kufanyakazi. Lazima kuna mtu aliyempandisha kobe juu ya mti, lazima atatafutwa na kuambiwa ubaya wa kitendo chake kwa mtu mmojammoja aliyetarajia kupata huduma yao kwa kujibu wa usajiri wap na kwa taifa.
 
Si kila jambo la serikali tunapinga kwa mazoea. Suala la point linatumika nchi zilizoendelea. Ni mfumo mzuri wa kuwajibisha madereva wasiojali kanuni na sheria za matumizi ya barabara.
 
Unadharau wanawake bila kujua hata mama yako ni mwanamke pia. Yaani unataka kuwaambia majaji kuwa hata mama yako ni mpumbavu?. Hii ndio inayosababisha vyama vya upinzani viseme vinaonewa kila siku. Havina watu wa maana wengi, ni matambala yaliyojaza begi. Washeli
 
Hizi sindio akili zenu kina Wassira... Hata angetoa mabasi marekani hawezi kumleta madereva wa marekani ..... Washauri hivyo waone kitakachotokea....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…